Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

habari wanaJF! Kuna tatizo hili inawezekana linakutokea au limemtokea mtu wa karibu yako. Unakuta mtu akila tu nyama au baadhi ya samaki basi anatokwa na damu puani,je tatizo hili linasababishwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Chemotherapy can damage healthy cells? Say it isn't so? You don't need a degree to figure this one out. Poison kills indiscriminately– always has and always will. While damaging healthy...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kifupi ni kwamba ni natatizo la kuto umwa njaa hata nikikaa bila kula masaa 24.Sasa nakula tu kwa sababu nafahamu mtu inabidi ale ili aishi ila kiukweli ,njaa huwa hainiumi.Mwenye uelewa na tatizo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Daktari mmoja wa Kiholanzi amesema, hivi sasa ana uhakika kwamba, kuna homa ya mapenzi ambayo huwapata baadhi ya wanaume, mara wanapomaliza kufanya mapenzi. Amesema wanaume wanaopatwa na homa...
11 Reactions
33 Replies
5K Views
Good stuff Benefits of Walking The human body is made to walk. Â Walking 30 minutes a day cuts the rate of people becoming diabetic by more than half and it cuts the risk of people...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Huyu jamaa anayeelezea dawa za kuongeza nguvu za kiume za vivid herbel anapatikanaje ili tukutane nae atufafanulie kuhusu dawa hizo na mie nipo tayari kununua dozi nzima ya miezi mitatu kama...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Habari wanajamvi hili makini la JF DOCTOR. Kwanza nawashukuru kwani lile tatizo nililowasilisha kwenu la "Kuumwa tumbo baada ya kufanya mapenzi" lilipona kabisa. Hii kutokana na Michango, ushauri...
2 Reactions
27 Replies
7K Views
Mama mmkubwa wangu anawatoto 10 ila baadaya kujifungua mtoto wake huyu wa mwisho alianza kubadilika ghafla akaanza tabia ya kuongea mwenyewe yaani kama anajibizana na watu na mara nyingine anafoka...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
ADVANTAGES OF USING DRINK. 1.cleansing. cleanses the digestive system, assists in purifying blood, eliminates bacteria, disinfects and detoxify. 2. balancing. balances body acid alkali...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mbu ainezae Malaria. Majaribio ya chanjo mpya ya malaria ijulikanayo kama PfPZ ambayo mtu akipatiwa hataugua tena ugonjwa wa malaria maisha yake yote, yataanza kutolewa nchini mwezi ujao...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Asalaam aleykum, bwana Yesu asifiwe wapendwa wa JF Tafadhali anayefahamu yule daktari wa ngozi aliyekuwa pale Luther House alihamia wapi anijuze jamani. Mwanangu ana tatizo la ngozi. Nitashukuru...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
jipatie aloe gelly Kwa matumizi yafuatayo kusafisha mfumo Wa damu kuboresha mfumo usagaji chakula asthma kisukari presha maumivu ya tumbo maumivu ya moyo kupunguza uzito kukosa hamu ya Kula na...
0 Reactions
0 Replies
615 Views
top ten reasons to drink argi. acts to release anti aging hormones. affects insulin sensitivity so it is particularly useful in maintaining blood glucose control. reduce blood cholesterol...
0 Reactions
0 Replies
685 Views
COCOLLAGEN --For a Beautiful Skin-A CHOCOLATE FLAVORED BEVERAGE ENRICHED WITH HIGH GRADE QUALITY MARINE COLLAGEN It provides elasticity and shape, giving skin its firmness as well as the ability...
0 Reactions
0 Replies
805 Views
Wadau eti lipi bora kati ya haya yafuatayo? kungonoka kwa kondomu kwa mwenza ambaye unajua ameathirika (mlienda kupima wote na majibu mkapokea wote) au kungonoka na kondomu na mwenza ambaye hujui...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hello wapendwa, Jamani nisaidieni nataka kupungua tumbo! je ipo dawa ya kufanya hivyo? Nimefanya mazoezi ila sioni mabadiliko. Mimi ni mpenzi wa pombe ila sio eti mnywanji ile saaana. Kiasi tuu...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
nimepewa dawa za minyoo vidonge vitano hospital nimeambiwa nitumie mida ya asubuhi, ila mtoa dawa hajaniambia kama nitafune au vip..kwa upande wangu naona nimeze na maji bila kutafuna kama Bublish
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nina umri wa miaka 27 sasa nipo Dar nataka nichukue likizo nisingizie nimesafiri nipo mkoani siku 10, kiukweli nataka niakondoe mkono wa sweta ninao hadi sasa hivi.Je ni hospitali gani naweza...
2 Reactions
28 Replies
6K Views
Wanajamii wenzangu! Kwanza niwatakie mapumziko mema ya kumalizia weekend. Tatizo kuu linalonisibu mimi, ni kuumwa sana hasa nyakati za baridi kiunoni na kwenye makorodani. Tatizo hili mara...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nakojoa mkojo wa njano kila nifanyapo tendo, hata bila kondom bado tatizo lipo. Nombeni dawa please.
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Back
Top Bottom