Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wapendwa habarini za muda. Napenda niulize kwa wale wanaofahamu hususani mtaalam wetu Baba MZIZI MKAVU. Ni nini FAIDA na HASARA ya hiki kitunguu ktk miili yetu, hasa tunaokitumia kama dawa.
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Heshima mbele, jamani toka jana nasikia kichefu chefu cha ajabu sana.najua wapo watakao sema ni mimba lakini sina mimba nina uhakika na pia malaria sina.sasa sijajua hichi kichefu chefu kinatokana...
0 Reactions
48 Replies
36K Views
napenda kuuliza inawezekana dactari msaidizi yaani [AMO] assistant medical officer kuijunga na chama cha madacktari,na taratibu za kujiunga ziko je? naomba kuwasilisha
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tangu kuingia kwa dawa za kuvubaza VVU (ARVs) kumeripotiwa kuwepo kwa mafanikio makubwa katika kuboresha afya za watu wanaoishi na VVU kwa kusaidia kupunguza idadi ya VVU na kuongeza idadi ya...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Naomba kupata mawazo ya wana jf juu ya kuwa na daktari wa familia,je ni sifa zipi awe nazo?je awe kijana au wa makamo ,awe mwanamke au mwanaume na faida na hasara zao ni zipi?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Redirect
Heshima Mbele Wadau, nina mtoto wangu anasumbuliwa na kigugumizi kwa muda sasa, tagu azaliwe amekuwa na tatizo hili na anapata shida sana wakati wa kuongea, umri wake ni miaka 3. naombeni...
0 Reactions
Replies
Views
Nina kauvimbe kwenye jicho, sio jipu , hauwashi wala haumi, ila unanikera sana kuungalia. Uvimbe huu huwa unajitokeza na kupotea mara nyingi ila kwa sasa uko kwa muda mrefu. Ni zaidi ya wiki tatu...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
  • Redirect
za asubuhi wakuu nimekuwa na tatizo la tumbo kujaa gesi na huwa linanguruma- kama kuna mwenye kujua suluhisho na hii kitu msaada unahitajika
0 Reactions
Replies
Views
Habar wakuu hiv kuna mpango wowote unaendelea kuvumbua hyo dawa maana naona kimya
0 Reactions
21 Replies
3K Views
COLD WATER - Body has to expend energy to warm up water in order to use it. Helps to cool down the body after workout/exercise. Constricts blood vessels, this reduces hydration and absorption...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Salaam madaktari&wana Jf. Naomba kujuzwa 1:mechanism behind kutekenywa(Kwapani,tumboni,kwene mbavu nk) na kwanini mtu akitekenywa anacheka. 2:Kwanini,as age advances,hiyo hali inapungua...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
HEART ATTACKS & HOT WATER: A very good article which takes two minutes to read. Heart Attacks And Drinking Warm Water This is a very good article. Not only about the warm water after your...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Naomba msaada wa kujua gharama ya kuweka jino bandia maana nasikia kuna aina tofautitofauti na gharama tofauti, kikubwa jino langu limekatika juzi kulikuwa na ugomvi kidogo, lipo nusu tena la...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kutana na mtaalamu anayetibu kisukari kwa kwenda kuondoa tatizo kwenye KONGOSHO ambalo linakuwa limepatwa na tatizo la kushindwa kutengeneza insulin iliyo na kazi ya kurekebisha sukari kwa kiwango...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekua nikitumia folic acid kabla sija concieve ila nahisi kuwa mjamzito ila nikipima matokeo ni negative je folic acid inaweza kuwa sababu ya matokeo kuwa not accurate labda dawa imejaa kwenye...
0 Reactions
8 Replies
12K Views
Operesheni ondosha vitambi kwa kina mama. Wamama wengi siku izi ukikutana nao wanaonekana kama ni wajawazito, lakini si wajawazito, wana vitambi ama viriba tumbo kama wanaume, hii si hali ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naombeni msaada nina siku kama nne nikienda haja kubwa maharage yanatoka mazima
0 Reactions
5 Replies
2K Views
TIBA YA MKOJO:UMETENDA MAAJABU, SIWEZI KUELEZA!!! Naweza kushuhudia sasa, ni tiba, inatenda maajabu nami siwezi kueleza, siwezi kueleza...nilisoma hapa...
9 Reactions
61 Replies
22K Views
  • Redirect
wadau wiki ya mbili hii naumwa mafua makali yasiyopona nimekunywa dawa mbali mbali ikiwa na pamoja na kutafuna tangawizi lakin bado hayajapona .......cha kushangaza cjawah kuumwa mafua kipindi...
0 Reactions
Replies
Views
habari za muda huu ndugu zangu mimi ninamtatizo ya kuumwa na miguu chini ya unyayo aswa nikitoka kulala au nikikaa chini kwa muda mrefu wakati wa kunyanyuka inauma sana je ilo ni tatizo gani?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom