Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

New Pill for HIV Treatment Approved by FDA SHARE: Adjust text size: Scanning electron micrograph of HIV-1 budding (in green) from cultured lymphocyte Enlarge picture The combination pill...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
hivi kovu la kuungua linaweza kufutika Kabisa na sehemu iliyoungua irudi kama ilivyokuwa mwanzoni? kwa kupitia wenzetu India?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa nayakati tofauti tofauti imewahi kuwasikia kina mama wawili (ambao ni wauguzi) wakiwakaripia vikali sana watoto wao kwa tabia yao ya kula ndizi mbivu kama mbadala wa chakula wakati wa mchana...
1 Reactions
4 Replies
17K Views
Hali zenu Waheshimiwa, naomba ushauri/msaada, nina mgonjwa anapatwa na shida kifuani, mara nyingi kunakuwa na mvutano kifuani, kuna daktari alituambia moyo umepanuka, alipewa dawa na alishamaliza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu zangu salama? Naomba kujua kama nina mtoto wa miaka 6. 1)Naweza kupata wapi utaalamu wa kumfanya kama watoto wengine awe na hamu ya kijisomea,bila vitisho.eg kwenye bus akiwa na kitabu...
0 Reactions
0 Replies
870 Views
  • Redirect
Huu uzi nimeukuta huku jf na kuna walio pendekeza uje huku jf Dr ili majibu yapatikane ila kun vilaza waliona jamaa alikosea coz kwao kila kitu ni kutoamapovu tu. Kwa upande wangu naona kuvaa...
0 Reactions
Replies
Views
Wanajf ni kweli kuna mchawi? Eti ukirogwa unaugua ?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Me kijana nimemaliza chuo 2010, sijicfii hila ni handsome wadada wananipenda mtaani,kazini kila dem anataka niwe mpenzi wake lakini mpaka umri huu nimegonga demu mmoja na nilijuta maana mwenyewe...
0 Reactions
49 Replies
17K Views
Habari zenu nyote.naomba mnisaidie jinsi ya kuzuiaimba kwa njia ya asili.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
  • Redirect
wana jamvi naomba kujuzwa madhara ya kuacha pombe ghafla kama ulikua mnywaji wa kila siku .... je unaweza kudhurika???
0 Reactions
Replies
Views
habr ndg zangu,nisaidieni kutopata hedhi leo ni siku ya 56,nimeshapima ujauzito kwa kutumia hcg yaan urine test ziadi ya mara tatu na leo nimetest hamna kitu licha ya mwanzoni nilipata kuumwa na...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
naomba kuuliza garciana Cambogia ni aina gani ya tunda na jina lake kwa kiswahili. pia naweza kulipataje
0 Reactions
0 Replies
998 Views
If you've ever been to see an acupuncturist, odds are even that you had a brush with Chinese herbal medicine. If you didn't take herbs, maybe you saw shelves lined with pretty, exotic labels. Or...
1 Reactions
4 Replies
26K Views
Habari za hapa, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 na nipo ndani ya ndoa kwa muda wa miaka 2 sasa, kikazi naweza kusema ni fundi ambae muda mwingi huutumia ktk laptop (yaani kukaa kwa muda...
0 Reactions
15 Replies
8K Views
habari wakuu, naomba msaada ktk hili kwa mwenye utaalam ni hivi mtoto wangu ana miezi 6 sasa shida ni kuwa usiku analala kwa masaa machache sana almost matano afu akiamka halali tena yaani...
0 Reactions
57 Replies
6K Views
  • Redirect
Habari za mchana waungwana mimi nina tatizo nahitaji msaada nina mtoto kafikisha miaka minne na nusu hajatembea wala kuongea sasa sijui ana matatizo gani nahitaji msaada jamani
0 Reactions
Replies
Views
Habari zenu wapendwa!!! Jamani eeh.......! mwenzenu kuna bidada anataka kunikaba koo mie kisa tu na yeye anataka kuwa kimodo mwenye big butt!!!!!!! Mwanzoni nilichukulia masihala sasa jana...
0 Reactions
49 Replies
4K Views
Habari JF Doctors, nna mchumba wangu ana tatizo kwenye mzunguko wake mara ya kwanza alikua anapata siku zake kwa mzunguko wa siku 28, lakini kwa sasa imechange sana mwezi uliopita alipata mzunguko...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nina vidonda kwenye ulimi,je upungufu wa vitamini au tatizo gani?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari, mimi ni mwanamke na mama wa mtoto mmoja, tatizo langu ni kwamba miezi miwili nyuma nilijifungua kwa operation, sasa ule mkono ambao ulitumika kutundikiwa drip na kupitishia dawa umekua km...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom