Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Dawa za Kichina. Kati ya bidhaa 36, zilizonunuliwa 32 kati yake zilikuwa zina chembechembe aina tatu za dawa hizo za kuulia wadudu. 17 kati yake zina chembechembe za dawa za kuulia wadudu...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Jamani wataalamu wa biology naomba msaada kwanini kuna kipindi mwanamke inatokea breed haikomi kuendelea? Mwanzo alikuwa anapata breed kawaida.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani wanajukwaa naombeni msaada wenu,wakati nasafisha sikio kwa kutumia zile pamba za masikio,bahati mbaya kile kipamba cha mbele kimechomoka na kubaki kwenye sikio,ishu inakuja kwenye...
0 Reactions
0 Replies
789 Views
Jisomee mwenyeweeeee....... British drug maker GlaxoSmithKline is seeking regulatory approval for the world's first malaria vaccine after trial data showed that it had cut the number of cases in...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
kuna ndugu yangu anaishi mkoa huko mbeya.ni tajili mfanya biashara.sasa huyu ndugu yangu sijui anabaraa gani? akisafili tu kwenda dar kununua bidhaa.atafunga mzigo anapakiabaada ya hapo akili...
0 Reactions
4 Replies
938 Views
Nilikutana na mpenz Wang cku za hatar. Awal alidai anackia dalili za mimba tulivopima hakukutwa nayo. Baadae mpenz Wang akanambie alinunua flag il akanywa masaa saba baada ya ten do kwa lengo LA...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari zenu wandugu, Nimekuwa nasumbuliwa sana na tumbo, mwanzoni nilijua ni Typhoid au Amoeba, lakin nmepima sijakutwa na ugonjwa wowote. Nimepima kila kitu lakini sijakutwa na ugonjwa wowote...
0 Reactions
0 Replies
781 Views
Kikundi cha wanasayansi wa kimataifa kinasema kuwa homa ya mapafu ilitokana na waafrika waliokuwa wana hama hama miaka 70,000 iliyopita Utafiti wa wanasayansi hao bila shaka ni kinyume na dhana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Sleeping for between six and eight hours a night 'reduces risk of heart problems and strokes' Fewer than six hours means you're twice as likely to suffer heart attack Sleeping for more than...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
mimi kijana mwenye umri wa miaka 24 namshukuru mungu nimejaariwa mashine ya ukweli yenye inchi zaidi ya 4 na unene wa kutosha tatizo langu kuwa ninapokuwa kwenye tendo la ndoa huwa nachukua muda...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
nina rafiki yangu...yeye nimezoeana nae sana na ni muwazi sana kwangu. Amekuwa addicted to sex. i call him sex Maniac. Na mara nyingi anapotaka kufanya sex kama hawezi hufanya masturbation...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
INGIA KWA LINK APOhttp://www.bizjournals.com/sanfrancisco/blog/biotech/2013/10/hiv-aids-warner-greene-gladstone-caspase.html
0 Reactions
7 Replies
2K Views
naomba mnisaidie kuna dawa nimeiona inatagazwa kwenye blog ikisema inapunguza unene kwa siku 14 na dawa ni asili haina madhara wanavyodai. Wasiwasi nisije kufa maan kufunguza mwaili wiki 2 sio...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Salam wana Jamvi niko na ndg yangu mke wake ni MJAMZITO anasema mkewe anapenda sana hivyo vinywaji So ameniuliza km najua ikiwa vinamadhala au la! kwakuwa mm cna ufaham wa hayo mambo nimeona nije...
0 Reactions
0 Replies
21K Views
Wasalaam nyote. Natumaini kama binadamu sote tunakuwa na hasira ama huzuni mara kadhaa. Swala ni je,tunakabiliana nazo vipi?Ningependa kujua kutoka kwa wataalam wa saikolojia,afya ya akili na...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Nimepatwa na uvimbe sehemu ya haja kubwa ,mara ya kwanza juzi nilijua tu ni kichunusi ,kila nikiviangalia kwenye kioo (viupele viwili) naona vimetuna lakini sioni kama vimeiva .Sasa kama kuna mtu...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Wakuu mpwa wangu anasumbuliwa na busha sana tu natafuta Clinic nimpeleke wakampasue ili apone yupo Dar nataka nijue na bei zake za upasuaji wa busha hilo. Msaada tafadhari mpwa amechoka kujambishwa
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanajf Hirizi inaweza kumtibu mtu maradhi yake na kumkinga mikosi?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF?? Napata maumivu makali sana chini ya kitovu wakati wa MP ambayo yanapelekea kuninyima usingizi.Msaada kwa anayejua tiba yake.Nawasilisha.
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Back
Top Bottom