Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Salamu! kwa wale wakristo na waamini wengine ati medically speaking, na kwa physiological facts naombeni sababu zilizopelekea kifo cha Yesu. 1. hypovolemic shock 2. shock due to pain 3...
0 Reactions
1 Replies
899 Views
nahitaji msaada wadau, kila nikifanya mapenzi napata shida ya kuvimba sehemu ya chini ya penis ambapo nimetahiriwa kama miaka nane iliopita, tatizo hilo limeanza mwaka huu, kwahiyo siwezi...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nielimisheni kuhusu zile dawa za kumkinga mtoto dhidi ya vvu
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari! ndugu zangu mimi nipo Dodoma nina tatizo moja nasumbuliwa na vidonda vya tumbo nimekata tamaa kabisa, hivyo naomba mwenye maelezo anipe njia elekezi namna ya kupata tiba au nifanyeje...
0 Reactions
2 Replies
950 Views
Wana jamvi naomba mnipeni ushauli kwa siku ya leo hii,nilikuwa najilinda sana kuhusu mademu kutoka kipindi kirefu sana sasa naona jinsi siku zinavyo zidi kusonga mbele wanawake naona kama watu wa...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
kama m2 umeanza kupata siku zako tarehe moja? siku za kupata mimba ni zipi?:A S 2152:
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu cjui nina bahati mbaya au ni nini.katika mademu watano nliyokutana nao kimwili miezi ya hivi karibuni watatu kati yao wana hivyo vinyama kama si kimoja basi ni vitatu.kwa kweli vinaondoa...
0 Reactions
39 Replies
8K Views
naomba mnifahamishe eti mtoto kutokwa na udenda kwa mtoto ambae hakuwahi kutokwa na udenda wakati akiwa na umri wa miezi ni tatizo ? nakama ni tatizo linasababishwa na ninii?
0 Reactions
1 Replies
929 Views
Habari za kwenu wakuu,,! Siku kumia zilizopita nimetoka kumfanyia tohara kijana wangu wa miaka kumi na nane,,, shida ipo hivi yeye anafanya kazi ya kuuza duka la jumla nilimpuzisha kwa siku...
0 Reactions
5 Replies
19K Views
Nimeenda hosp nikaambiwa Nina dalili za cataract maana sioni vizuri naona kama Kuna utando hivi,sasa nimepewa predinisolene na eye drop,wataalamu je nitaponaje kwa haraka?
0 Reactions
1 Replies
825 Views
Habari za kwenu wakuu,,! Siku kumia zilizopita nimetoka kumfanyia tohara kijana wangu wa miaka kumi na nane,,, shida ipo hivi yeye anafanya kazi ya kuuza duka la jumla nilimpuzisha kwa siku...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba kujifunza nini chanzo cha maradhi ya MOYO KUWA MKUBWA kuliko kawaida? Mokoyo
0 Reactions
6 Replies
11K Views
NZI wa kijani anayefahamika kwa jina la kitalaamu kama Lucilia Sericata (green bottle fly) ni kati ya wadudu wanaoogopwa na binadamu kwa sababu ni chanzo cha ugonjwa wa kipindupindu na magonjwa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
mm naishi mwnyw chumba kimoja, but kama week mbili ivi kaja Uncle na anaumwa kifua kikuuuu so anapata matibabu kwa sasa, bt uck anakohoa kweliiii kias kwamba napata was was kwa kuwa ugonjwa huuu...
0 Reactions
5 Replies
964 Views
WATANZANIA wametakiwa kujiepusha na vitendo vinavyochangia kueneza Ugonjwa wa Ukimwi kufuatia matokeo ya utafiti wa kibiolojia na kitabia uliofanywa na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kupitia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nasikia maumivu makali sana kwenye kibofu cha mkojo,na pia nakojoa mkojo wa njano,nimejalibu kupima mala kadhaa,lakini vipimo vinaonyesha sina tatizo lolote,sasa cjajua kwakweli tatizo...
0 Reactions
0 Replies
703 Views
habari! naomba kujuzwa vidonda kama vipere ndan ya kolomeo ni tatizo gani naona vinanitoka mara kwa mara na vinatibikaje! vinanitesa nikila hata sipati radha yachakula nisaidien kunijuza tafadhari
0 Reactions
1 Replies
3K Views
WANAUME wengi humu JF wanapoamua kuzungumzia kuhusu matatizo yao wanazungumzia sana kuhusu nguvu za kiume, lakini kuna tatizo la wanaume ambao wanashindwa kuwapa wake zao mimba pamoja na kwamba...
1 Reactions
23 Replies
14K Views
Hallo Wanajamvi habari za jioni. Ni matumaini yangu kuwa hamjambo na mnaendelea vema. Kuna jambo ambalo linanisumbua sana kwa sasa. Ni miezi miwili na nusu tangu mke wangu alipojifungua na...
0 Reactions
6 Replies
10K Views
Habarini, jamani najua kwenye jukwaa kuna watu wenye fani mbali mbali humu ndani. Mimi nina wazo la kufungua Duka la Dawa mkoani Singida. Nahitaji anaye fahamu utaratibu WA kufungua duka...
0 Reactions
0 Replies
989 Views
Back
Top Bottom