Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Naombeni jibu je!,ni matatizo gani haya,ninapomtongoza mwanamke akianza ongea sauti ya kimahaba mimi risasi ishafyatuka!
0 Reactions
2 Replies
893 Views
NJOO UKUTANE NA MADAKTARI BINGWA WA MAGONJWA HATARISHI MFANO hYPERTENSION, DIABETES, UVIMBE TUMBONI (FIBROIDS), KUPOTEZA ULIJALI (IMPORTENCE) UELEWE NAMNA YA KUJIKINGA NA NAMNA YA KUONDOA KAMA...
0 Reactions
0 Replies
613 Views
Habari,mwenzenu mimi hutumia mpira mara kwa mara kwasababu situmii njia zingine za uzazi wa mpango.sasa kama wiki mbili zilizopita nilipata uti,wakati nimeitibu,tulikutana na mume wangu kimwili na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu!! Mm ni binti nina 24 yrs nina tatizo la kusumbuliwa sana na tumbo wakati wa siku zangu nina mzunguko wa siku 28 na natoka damu siku 5 na siku zote hizo tumbo linaniuma balaa yaan hadi...
1 Reactions
0 Replies
887 Views
-Anadawa hasili za kutibu na kuondoa kabisa tatizo la NGUVU ZA KIUME na kukupa uwezo wakurudia tendo zaidi ya mara 4 na kuchelewa kufika kileleni kwa muda wa ( dakika 30- 35 ) pia na kurefusha na...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Nilikuwa nikipitia jarida moja linalo zungumzia "Health Effects of Uranium" nikakutana na kipengele kinachogusia madhara ya Uranium kwa binadamu na vyakula tunavyokula. Viazi vikaonekana ni moja...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni sahihi kumpa mtoto maji ya kunywa after 3 months kama washaurivyo manurse
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Wife akienda kukojoa akimaliza tu Anaanza kuhisi anataka kukojoa tena na akienda anakojoa kidogo sana.tafadhali Tunaomba msaada wenu
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanaume hutoa mamilioni ya manii katika kujamiiana wakati ni mbegu moja tu inayohitajika? IMEELEZEWA na wachunguzi kwamba sababu ambayo humfanya mwanamme mwenye afya kutoa mbegu zaidi ya...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
  • Redirect
SHINIKIZO LA DAMU ( High blood pressure) Shinikizo la damu ni moja ya tatizo linaloathiri watu wengi duniani. Nini maana ya shinikizo la damu? Ni msukumo wa damu ulioko juu kuliko...
3 Reactions
Replies
Views
How to Get Pregnant Naturally Infertility is a rising problem in today’s society. I tried to find accurate info on how much is spent annually on infertility treatments, and I kept getting...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Moyo kushindwa kusambaza damu kwa ghafla{/0} (ADHF) ni sababu ya kawaida na kubwa ya kusababisha kushindwa kupumua kwa ghafla. A man with congestive heart failure and marked jugular venous...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu nilikuwa naombeni kujuzwa mtu alieambukizwa tb anaanza kuumwa baada ya muda gani.kwani mwaka wa 2011 nilimuuguuza mwanamke niekuwa nae lakin alipona kuna dalili naziona sasa sijui...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
kuna sehemu nimesoma ushuhuda wa jamaa mmoja aliyefanya mapenzi na wathirika kwa miaka 2 bila yeye kutambua alipogundua na kwenda kucheki lakini jamaa hakuwa hata na chembe moja ya HIV NI KWELI?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ku.. sa.. ma.. ya.. ta.. tu.. Mfano: KUpenda SAna MAtokeo YAke TAbu TUpu Umiza kichwa utunge sentesi.. kama huwezi, pita tu, usibeze!!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari zenu, baada ya kumaliza chuo nimepata mpenzi ambaye nategemea hivi karibuni tutafunga pingu za maisha. Tatizo analolalamikia ni kuwa huwa hasikii hamu ya mapenzi,baada ya kushauriana...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
mwenye kuzijua tafadhali tiririka lakini zisiwe za wale waganga wa mitishamba
0 Reactions
5 Replies
13K Views
Back
Top Bottom