Hello JF,
Naomba msaada wa tafsiri ya vipimo hivi vya maabara.
Nimefanya Widal test majibu yakasema STO 1:40 na STH 1:160. Naomba kufahamu majibu hayo yanamaanisha nini na kama kuna ushauri wa...
matatizo ya uzazi upande wa kina mama na kina baba tuna dawa ya tiba asilia isiyokuwa na chemical.Ni dawa zinazotokona na vyakula vyetu vya asili pamoja na magome ya miiti ambayo yamesagwa...
Wazee nchini Afrika Kusini watumia mipira ya kiume maharafu kama condoms kujitibu maradhi ya baridi yabisi
Desmond Tutu na Graca Mandela mke wa rais Mandela
Na Ali Bilali
Watu wa makamo...
Katika hali inayoendelea kuonesha uozo ulipo katika Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Waziri wa Afya, Katibu Mkuu na Mganga Mkuu wa Serikali wamehusika katika kumteua Daktari Msaidizi/ Assistant...
Ni mchana unapo fikaa watu tunakuaa maofisini au kazini inatokea mtu pale pale unasikia usingizi wakichovu chovu let say umekaa umepumzikaa kazi umemalizaa unasubiri maelezo mengine pale unakutwaa...
Kuna jamaangu kahitaji msaada. Ameniuliza ili ampime DNA mtoto wake mdogo wa miezi kadhaa afanyeje? Yaani process ikoje? Aende na mtoto hospitali? Je ni hospitali ipi Dar yenye huduma hiyo? Je...
Wana jf naomba msaada........ni aina ya watu au ni maradhi?.................mtu kujisifia kwamba ana good heart........na kila baada ya sentensi moja mbili utasikia anasema mimi nina good...
Wakuu heshima kwenu,
Juzi nilipata malalamiko kutoka kwa binamu yangu, eti alikuwa anawasiwasi na ujauzito wake kua labda ni mapacha kwani tumbo lake ni kubwa mno, hivyo akaenda ktk hospitali...
Habari zenu wadau wa afya..Juzi juzi nilitoka kumpeleka mchumba angu clinic moja hivi inayotibu kwa kutumia tiba asilia..nilichukua uamnuzi huo baada ya kuwa anasumbuliwa sana na maumivu chni ya...
Vyakula vikuu kwa sisi watanzania na wenye hali ya chini ya kawaida tumezoea kula wali, ugali, na ndizi. Kwa utaalam wa kiafya hatutakiwi kula vyakula hivi mara kwa mara kwani vinasababisha...
Habar wana jf!
Mwanangu anasumbuliwa na kifua/kukohoa kwa miaka miwili sasa na katumia dawa za aina nyingi hadi zimemuharibu meno lakini hajapona na hali yazidi kuwa tete!
msaada wana jf plz!
Habar wapendwa, polen na mihangaiko ya cku nzima ya leo. Jaman leo nimekuja hapa kushare nanyi jambo flani. Mwil wa binadam unahtaj Vitamins na Madini muhm ili kupambna na maradh tofaut. Kampuni...
Ni jamaa yangu wa karibu sana. NI mtu mwema na anaelewana na kila mtu. Tatizo lake kwamba ana tatizo la kusinzia sana. Akikaa mahali dakika chache anaishia usingizini.
Akipanda basi baada ya dk...
Nasikia kuna ugonjwa wa zinaa unaokata uume.
Je ugonjwa huo ni ugonjwa gani? Dalili zake zikoje? Uume hukatika baada ya muda gani? Tiba yake ni nini? Je wanawake wanaathirika vipi na ugonjwa huu?
Hello Mwanajamii,
Bila shaka uu mzima na unaendelea vema na kazi zako za kila siku pia mimi nashukuru kuwa ni mzima na buheri wa afya. Leo napenda kuwashirikisha kuhusu namna mtu anavyoweza...
Madaktari mnisaidie!
Dada yangu anateseka sana na tatizo hili akibeba mimba mara baada ya miezi 3 ikifika anasema kama damu inamtoka mara baada ya wiki mimba inatoka! umekuwa.mchezo wa muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.