Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari Wadau. Nna tatzo toka nmezaliwa lips zangu zinakauka na kutoa magamba hivyo inabidi niyatoe kwa kukwangua na mkono au kung'ata lips. Je kuna dawa ya kutibu hii kitu coz inanikera kwa kweli.
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Habari wana jf wenzangu kumekuwa na uhusiano mkubwa sana wa mtu anaependa sana ngono kupoteza umakini kwenye mambo ya msingi wa maisha kama vile ufanisi kazini,kushuka kimasomo n.k. Ninaombaa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The vagina is designed to keep itself clean with the help of natural secretions (discharge). Find out how to help your vagina keep clean and healthy – and why you don’t need douches or vaginal...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Redirect
Wandugu awali sikua na tatizo hilo lakini kwa sasa kwa mfano nikila kipande kidogo tu cha nanasi basi meno yanashikwa ganzi sana. Nisaidieni wandugu dawa ya kutibu tatizo hili. Nimejaribu dawa ya...
0 Reactions
Replies
Views
zaman walikuwa makutanao ya LIBYA NA ZANAK ,kwa mwenye kujua naomba anisaidie,cku hz wapo wap?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauliza kwenu nyie wataalamu! PROVIRON ni dawa ya nini na ina madhara gani nikiitumia (me).
0 Reactions
6 Replies
15K Views
Habari wana JF... dhumuni hasa ni kupata kampan kwa ajili ya kupunguza uzito pamoja..natumaini kwa wale wenye uhitaji basi tutaweza kulitatua hili tatizo. njoo tujumuike 1-tujue ni vyakula gani...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
  • Redirect
Wadau habari za leo. Naomba msaada wa maelezo kwa anaejua sababu, na ufumbuzi wa tatizo la ganzi katika baadhi ya viungo mwili. Kwa kifupi takribani miezi minne hivi sasa miguu yangu (kuanzia...
0 Reactions
Replies
Views
Foods That Increase Hunger !!! 1.Salty foods- These increase your cravings by dehydrating you. Now you know why Ruffles Lays have their jingle saying “No one can eat just one”. 2.Fatty foods-...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
  • Redirect
wana jf habari mpenz wangu alitoa mimba kwa kutumia vidonge(misoprostol). Sasa hivi anatokwa na damu none stop takriban one consecutive month. Naomba kwa yeyote anayefahamu madhara ya muda...
1 Reactions
Replies
Views
ni mara ya 2 sasa tangu mwezi wa kumi mwaka huu kutokewa na tatizo la moyo kwenda mbio na kuishiwa nguvu mwili mzima wakati wa tendo la ndoa hasa napokua katka harakat za kufunga goli la pili...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hi pipooo wa JF,kwema? Mwanamke kupata discharge nyepesi ya rangi ya brown kutoka kwenye K inamaanisha nini au ni dalili ya nin,haina harufu,haiwashi,inatokea kila mwezi walau kw wiki moja unusu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu wataalamu wa JF naomba mtazame hii picha (snapshot) kisha msaidie kufafanua huo ni ugonjwa gani, vipele hivyo vimejitokeza katika sehemu za siri na haviwashi zaidi ya kutoa maji maji
0 Reactions
34 Replies
11K Views
Ndugu zangu wa jukwaa hili la afya...samahani kwa usumbufu.
0 Reactions
4 Replies
5K Views
WHO: Uzito uliopindukia ni hatari kwa afya, dunia yatakiwa kuchukua hatua Unene uliopindukia ni chanzo cha magonjwa mengine kama ya moyo na saratani Reuters Na Emmanuel Richard Makundi...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hello JF, Naomba msaada wa tafsiri ya vipimo hivi vya maabara. Nimefanya Widal test majibu yakasema STO 1:40 na STH 1:160. Naomba kufahamu majibu hayo yanamaanisha nini na kama kuna ushauri wa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
matatizo ya uzazi upande wa kina mama na kina baba tuna dawa ya tiba asilia isiyokuwa na chemical.Ni dawa zinazotokona na vyakula vyetu vya asili pamoja na magome ya miiti ambayo yamesagwa...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Wazee nchini Afrika Kusini watumia mipira ya kiume maharafu kama condoms kujitibu maradhi ya baridi yabisi Desmond Tutu na Graca Mandela mke wa rais Mandela Na Ali Bilali Watu wa makamo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
yeyote anayejua wapi naweza kupata thiabendazole au mintezole ani pm, au yeyote anayejua second line treatment of migrant larva anijulishe
0 Reactions
2 Replies
922 Views
Back
Top Bottom