imenibidi niliweke wazi tu,kupiga punyeto ni jambo linalonisumbua sana kwa muda sasa.Nilianza kpindi nipo o level shule ya bweni ya wanaume kutokana na hali yenyewe ilivyokuwa.Ijapokuwa sasa...
A survey of more than 1,000 men in India has concluded that condoms made according to international sizes are too large for a majority of Indian men.
The study found that more than half of the...
Salaam wana jf.
Napenda kujua kama kuna ukweli wowote kuhusu mdada kutoruhusiwa kutumia vidonge ama sindano za kuzuia kushika mimba (uzazi wa mpango) mpaka awe tayari ameshajifungua at least mara...
Habari wana jf, poleni kwa kazi kubwa ya ujezi wa taifa, nina rafiki yangu wakaribu sana (mwanamke) anatatizo la kuota ndoto mbaya, anaweza kuota kama sauti inamwita kwa jina lake nje tena hua...
Habari za sikukuu wanajamvi najua wote n wazima
Nina tatizo sugu la mba wa kichwani nimutumia mafuta na dawa mbalimbali lakini napata nafuu ya mda tu halafu tatizo linarejea msaada tafadhali kwa...
Kwanza napenda nitambue michango yenu mizuri wana JF ambaya kwa namna moja au nyingine imeokoa maisha ya watu au kuimarisha afya zetu.Leo nimekuja na tatizo moja ambalo mwanzoni nilidhani nihali...
mtoto wangu wa kiume ana umri wa mwaka 1 na miezi miwili anakojoa mkojo ambao anacha alama kwenye nguo hata ukifua na sabuni alama hizo hazitoki na muda mwingine anapenda kuchezea dudu yake...
Ndugu, habari?
Mimi ni kijana (22), tangu nimekua na akili na uwezo wa kujitambua nimekua nikisumbuliwa sana na mafua, yaani sijawahi kustay free from mafua. Je hili ni tatizo gan? Na linaweza...
Hi people. Naomba kuuliza hiv ni kweli kwamba wanawake wafupi ningum kujifungua kwanjia yakawaida? au sio kweli nakama ni kweli nitatizo gani linalosababisha hali iyo. KWENU WADAU
Mke wangu ana mtoto wa miezi 8,ni kwamba bado ananyonya,but imetokea tatizo mke wangu ana mimba changa, je kuendelea kumnyonyesha mtoto kuna madhara yoyote?
!
Karibu watu 9 kati ya 10 hawaelewi hatari inayowakabili kwa kuwa wanene hasa sehemu za tumboni na katika nyonga.
Uchunguzi uliofanywa kwa kuwashirikishwa watu 12,000 wa nchi za Ulaya...
Gritty Grace akiwa na wanae mapacha.
Hatimaye leo Ericana na Eluidi (pichani) watafanyiwa upasuaji wa aina yake ambao haujawahi kufanyika duniani. Watoto hawa mapacha wenye umri wa miezi tisa...
Tafadhali nisaidie kwaushauli wa huduma yakwanza ya haraka mdogo wangu nilimuagiza kret ya soda akiwa njian moja ikapasuka chupa katikat ikiwa imebaki soda kidogo akanywa kias tumbo likaanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.