Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari wana jf . Tumbo langu linazidi kuwa kubwa. Nimepima mkojo mimba sina na period naenda kama kawaida. Naomba kujua kama inawezekana kuwa na mimba na vipimo havionyeshi.
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Salaam wanaJF! Niliwahi sikia kuwa ktk kila mwanamke mmoja kati ya watano ana tendency ya kuachia fluid (mkojo?) kidogo ktk pichu yake kiasi cha 1/2 kijiko kidogo cha chai pale anapofanya haya...
0 Reactions
84 Replies
11K Views
.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Samahani wakuu naomba msaada mtoto anatokwa na majipu usoni na kichwani, naombeni msaada tatizo litakua nini na ni nini tiba yake
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wana jf, kuna ndugu mmoja wa familia yangu ni mjamzito ila anatatizo lakuumwa na kichwa sana mpaka anakua hajielewi, hua anatumia dawa za hospital, sijajua kama kuumwa huko kuna uhusiano...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
habar, nina tatizo la kutojisikia raha pindi nifanyapo tendo la ndoa na ki ukwel limekua ni tendo ambalo limenifanya mpaka niwe mbal na wanawake laweza kua lilisababishwa na historia yangu ya...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HII MWANAMKE AOZA MAKALIO YALIYOSABABISHWA NA MATUMIZI YA DAWA ZA KUONGEZA MAKALIO Adha hii imempata mwanamke huyu baada ya kuanza kuona ngozi yake imeanza kuwa laini...
3 Reactions
20 Replies
26K Views
Wakuu kwa muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na jambo flani ambalo nahic litantia wehu uko mbele nahitaji kukutana na mwanssaikolojia ili anisaidie kulitatua kwa yoyote anayemjua daktari wa...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
plz ninaomba kujua niwakati gani ukifikia kwa mama mjamzito haruhusiwa kufanya tendo la ndoa na pia katika kufanya kuna kiwango chochote au umakini wowote unaotakiwa zaidi wakati wakufanya ili...
0 Reactions
12 Replies
19K Views
Kwanza kabisa ndugu zanguni wana Jf nawatakia heri ya mwaka huu mpyaa!,unaogawanyika.Haya niende kwenye mada nisiwachoshe ndugu zanguni;Jamani nawaomba wale ndugu zangu madaktari tulionao humu jf...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
  • Redirect
Nimtoto umri siku 14 ananyonya sana na kila amalizapo kunyonya huandamwa na kwikwi kiasi cha kitia huruma Msaada wa dau na wataalamu.
0 Reactions
Replies
Views
Msaada wana jf tatizo la kupata choo (haja kubwa) husababishwa na nini ? Au choo kuwa kigumu. Ni maji na matunda tu?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Amani na upendo uwe juu yenu. wakuu ninapatwa na makohozi mara tu niamkapo asubuhi na makohozi yenyewe yapo kwa ndani kabisa ya koo na huwa si mengi na wala sina kikohozi. kero yake yanakuja...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Amani na upendo uwe juu yenu. wakuu ninapatwa na makohozi mara tu niamkapo asubuhi na makohozi yenyewe yapo kwa ndani kabisa ya koo na huwa si mengi na wala sina kikohozi. kero yake yanakuja...
0 Reactions
0 Replies
869 Views
  • Redirect
Ndugu madocta, nina mdogo wangu wa kiume umri miaka 12 anasambuliwa na tatizo huli..tumetumia njia mbalimbali bt tumeshindwa, plz naomba nisaidiwe coz tunashindwa hata kumpeleka boarding school...
0 Reactions
Replies
Views
huwa nikilala usiku asubuhi huwa najikuta nimehangaika sana mashuka yote huchomoka na USINGIzi HUWA HAUWI ULE MTAMU KABISA embu MADOKTA ni saidieni tatizo huwa nini?
0 Reactions
15 Replies
4K Views
  • Redirect
madaktari wa jf tafadhali naomba mnieleweshe juu ya hili tatizo kwani nimekua nalo kwa muda mrefu Na ipi hasa tiba ya tatizo hili?
0 Reactions
Replies
Views
:whoo::whoo: Dar es Salaam.Timu ya Watafiti katika Chuo Kikuu cha North Carolina nchini Marekani, wamegundua aina ya sumu ambayo ina uwezo wa kuua seli ambazo zimekwishaathiriwa na Virusi Vya...
2 Reactions
83 Replies
15K Views
bhana naomba msahada wenu mimi ninatatizo la nguvu za kiume,ninapo fanya mapenzi na binti wa kike napiga bao mbili tu,zaidi ya hapo ume wangu haufanyi kazi tenaa,ndugu zangu naomba msahada kupona...
1 Reactions
12 Replies
6K Views
Habari wana jamvi, kwanza niombe radhi sababu sinahakika kama uzi huu wafaa uwe jukwaa hili. Pili ,kiukweli naomba ushauri wenu ni njia ipi nitumie ili niweze kumuachisha mwanangu ziwa,anakaribia...
1 Reactions
28 Replies
19K Views
Back
Top Bottom