Nimeamka asubuhi ya leo gafla naona kitu kama upele mkubwa kiasi kama jipu hivi sehemu ya shingo ya uume wangu.
Uvimbe huo hauumi kabisa but unanipa wasiwasi coz haijawahi kunitokea.
Naomba...
Habari za jioni wana JF!
Nina tatizo la kupiga chafya mara kwa mara na hili tatizo limenitokea takribani wiki sasa naomba wataalam mnijuze chanzo pia athari zake ni nini?
Dr Suboth Shetty
A visiting surgeon, Dr Suboth Shetty, who specialises in spinal related complications, has said the use of modern technology allows for the use of minimal invasive approaches...
And Am Really Angry Right Now
Nobody should have this disease. I never, in a bazillion years, would have ever thought I would be effected by it when I consider the type of family I grew up in...
Naomba ushauri kwa waliowahi kupanda na wenye utaalam wa kupanda milima. Kuna rafiki yangu alikuwa akitafuta baiskeli ya kufanyia mazoezi ya kupanda ml.Kilimanjaro.
Ana wiki moja tu ili apande...
mwanangu wa miaka 6 anaumwa jino.linamsumbua hasa usiku. nimeenda hsptl kumtoa kutokana na usumbufu wa kuogopa sindano Dr kashauri asimtoe, jamani hakuna means yyt ya kufanya mpaka atolewe maana...
-
Kigugumizi chaweza kumkumba yeyote -Watu wengi hupata kigugumizi kwa muda baada ya kuathirika kisaikolojia. Hawa waweza kupata kigugumizi: -Wenye msongo wa mawazo -Waliodhalilishwa ama...
Habari wana jamii f.
Naomba msaada wa swala hili, mimi na mke wangu tuna mtoto wa miezi 8,na kwa bahati mbaya mke wangu ameshika ujauzito mwingine, sasa sipo tayari kumwachisha mwanangu ziwa la...
Naombeni elimishwa dawa bora ya kufunga kuhara maana nikiingia maliwato hali ni mbaya vitu vinatoka kama maji kwenye bomba limefunguliwa. Tatizo limeanza usiku wa leo mida ya saa 7 usiku na sasa...
Habari zenu wapendwa.
Nina tatizo nahitaji msaada wa ushauri na ufafanuzi.
Nina ujauzto wa wikin35. But nilipofikisha wiki 20 nilianza kupata vaginal bleeding, nilipoenda hospital nilifanyiwa...
Jaman waungwana habari zenu, polen na majukumu, naomba msaada piah ushauri kwa mwenye knwoledge kuhusu tatizo la kukojoa mara kwa mara haipiti dakika tano, na inapotokea hali hyo huahakuna jinsi...
Taarifa zilizopatikana kutoka wizarani zinaonyesha kuwa kati ya wagonjwa 150 na 200 husafirishwa na Serikali kwenda nchini India, ambako kuna uhakika wa matibabu, kila mwaka. Idadi hii haijumushi...
Habari zenu wote, wakubwa shkamooni. Hii ni mara yangu ya kwanza kuanzisha uzi humu ndani, na nimelazimika kufanya hivyo kwa tatizo linalonikabili.
Mwenyezi Mungu kanijaalia mtoto wiki moja...
Ugonjwa wa mafua huonekana wa kawaida, usio na madhara makubwa, lakini una athari za kiafya na karaha nyingi.
Mafua yanaweza kuwa moja ya sababu kubwa inayofanya watu wengi kushindwa kwenda...
Habari zenu JF Doctors.,
Jamani mi nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la macho kuwasha na kutoa machozi kila niuguapo mafua. Nashindwa kuelewa hii connection, why kila nikiugua mafua lazima na...
Wakuu nimekuwa nikijiuliza hivi ujauzito kihalisia ni miezi mingapi? Ni tisa au (kwa maana ya wiki 36) au zaidi ya hapo?? Je ilifika wiki ya 40 ni sawa au kuna tatizo labda?? Naulizq hivyo manake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.