Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

0 Reactions
1 Replies
916 Views
Good health is something very important. We need it for other things to be done well. In finding for good health solution to my parents, friends and relatives I came to found about a wonderful...
0 Reactions
0 Replies
675 Views
Mhali gani ndugu,mimi baba yangu anaumwa kisukari aina ya Type 1 ,niko tayari kwenda kokote duniani nimpe zawadi ya kupona ameshatumia insulin kwa miaka minne sasa kwenye mitandao nimezunguka...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ahsanteni.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa mwenye uzoefu ama aliyewahi kuugua ugonjwa wa macho katika upande wa optic nerve na kumfanya kuwa na uoni hafifu anisaidie uzoefu aliobao kuhusu ugonjwa huo.mimi pia nina matatizo hayo huu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
If health and weight loss aren't enough to get you to exercise, how about improving your sex life? Sure, exercise can help you look better, always a plus in one's love life, but it also gives you...
1 Reactions
0 Replies
741 Views
Wataalam kazi kwenu hivi flue namaanisha mafua yakiambatana na km uchovu mfano wa homa ukila dawa za flue pekee kuhisi kwa homa kunatoweka
0 Reactions
0 Replies
953 Views
habari wakuu yani kila nikiamka asubuhi nasikia kichefuchefu balaa mpaka natapika pind napopiga mswaki,so asubuhi sili kabisa mchana nakula kidogo mno usiku kidogo najitahidi,sasa madokta nifanye...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Habari wana jf ,mm nna ujauzito una wiki 3 mara ghafla leo asubui nikaona bleed kiasi cha kuvaa pedi moja,eti hii ni kawaida au ndio nimepata miscarriage? Lakini cjisikii vibaya wala kuumwa nipo...
1 Reactions
12 Replies
7K Views
ULAJI wa supu ya pweza, karanga mbichi, muhogo mbichi, mbata kwa dai kwamba vinaongeza urijali kwa wanaume kumeelezwa kuwa ni dhana potofu inayostahili kupigwa vita kwa kuwa haina uhusiano kati ya...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
ANAOMBA MSAADA Niwapo hedhi naumwa sana na tumbo hasa maeneo ya nyonga pia lina jaa sana,miguu inajaa nahisi kuchoka muda wote had kumaliza siku, pia nakuwa na hasira kupita kias nisaidien plz!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
.........
0 Reactions
0 Replies
686 Views
Chafya ni tendo lisilo la hiyari linalosaidia kusafisha njia ya hewa (pharynx). Hewa inayotolewa wakati wa kupiga chafya ina kasi mwendo (speed) wa 100mph (mile per hour) na pia moyo husimama kwa...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
jamani,,,, naombeni kujua huu ujauzito utakuwa una siku ngapi? amemaliza period yke 30sept na amekutana na mwenza wake 5octber ,, baada ya hpo wiki mbili ndo akaanza kuona dalili,,,,,,
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Effects of mobile phone radiation on serum testosterone in Wistar albino rats. Abstract OBJECTIVE: To investigate the effects of electromagnetic field radiation generated by mobile phones on...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
We all think eating fruits means just buying fruits, cutting it and just popping it into our mouths. It's not as easy as you think. It's important to know how and *when* to eat. What is the...
3 Reactions
0 Replies
752 Views
Habari zenu wana JF, Mimi ni mwanamke 26yrs nina kama miezi miwili tangu nigundue tatizo la matiti yangu kutoa maziwa.Mwanzo nilihisi nitakuwa nina mimba ila nimejaribu kucheki hakuna na mzunguko...
0 Reactions
78 Replies
32K Views
Paris (AFP) - French scientists on Tuesday unveiled the genetic mechanism by which they believe two men were spontaneously cured of HIV, and said the discovery may offer a new strategy in the...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
  • Redirect
Naombeni mnijuze ni dawagani naweza2mia ili jino langu liache kuuma? Tangu juzi linanisumbua kupitakiasi na niki2mia diclopa au diclofenac linatulia maramoja na baada ya masaa machache linaanza...
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom