Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

wakuu habr zenu naomba kujua normal range za CD4,CD8 na CD3 pia kaz ya CD8 na CD3 N nini......
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwili wangu ulishageuka na kuwa kama gwanda la mwanajeshi au chui. Wakati wa jua natoa harufu mbaya ya joto.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu naombeni msaada wenu, mke wangu alijifungua mtoto mwaka mmoja uliopita kwa njia ya operation lakini hadi sasa haoni siku zake. Hii imemletea hofu kubwa sana ingawaje hataki kunieleza...
0 Reactions
20 Replies
31K Views
Naomba kujua njia sahihi za kutatua tatizo la kushindwa kusex kwa round nyingine baada ya kuwa nimemaliza round ya kwanza. Ahsante
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hellow members&drs! Poleni na majukumu ya kifamilia,binafs,serikali,chama nk. Am single lady of 30's najua wengine watashangaa but ndio hivyo.. by the way sicho nachotaka kukiombea msaada laah...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wazima humu. Jamani mimi twins wangu uzito wao hata nashindwa kuuelewa, wanakula vizuri tu, wako active lakini kwenye uzito napata mawazo sana. Binti amerudi kwenye kijivu, kijana nae anarudi...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Naimani mungu amewatangulia kwa cku ya leo, mimi nina swali eti n kwanini watu wengine mimba zao huwa znakua haraka na wengine hata huwa hazionekan, je ni sababu gani inakuwa hvo na n vitu gan...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
je sabuni hizi ni nzuri kwa matumizi ya kuogea?
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wadau, sikuambiwa na mtu yeyote lakini nilijikuta natumia mafuta ya zeituni yanaitwa Spanish oil kama dawa ya meno. Nilikuwa na jino lililooza haps reception nikawa natumia kama dawa ya meno...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
  • Redirect
Habari. Ndugu wana Jf, kwa takribani zaidi ya mwaka sasa, ninasumbuliwa na tatizo la nyayo za miguu kuwaka moto. Wakati inaanza nilijua tatizo ni aina ya viatu ninavyo tumia, nikabadirisha...
0 Reactions
Replies
Views
Naomba kuuliza swali hili kwa nia ya rafiki yangu mmoja. Ana tatizo la maji maji kwenye uchi wake, yaani jamaa Yake akiingiza hâta kabla ya kukojoa kunajaa maji. Je hili ni tatizo? Dawa yake ni...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ladies, while thongs may appear very sexy and fitting, research has proven that wearing them can do you more harm than good because they expose you to some health hazards. Here's a few of...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Now if this picture doesn't make u wanna throw your cigarettes out of the Window, I don't know what will!!! Non Smoker Mapafu ya asie vuta Sigara. Smoker Mapafu ya Mvutaji Sigara. ​Kazi...
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Naombeni kufahamishwa kama kuna matibabu ya kuachanisha nyama zilizoshikana kwa kumkarisha mgonjwa kwenye kiti na kumfunga jiwe la kilo 2 miguuni akiwa ananing'niza miguu?hospitali moja madaktari...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
KITAALAM TATIZO HILI LINAITWA (ATTENTION DEFICIT HYPERACTIVITY DISORDER (ADHD) Watoto wenye tatizo hili ni wale ambao wana shida ya kukosa utulivu, kukurupuka na kua na utundu uliopitiliza Dalili...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
By definition(What is orthodontics? - Medical News Today). Wapi hawa watu wanapatikana, kuna mtu ana child/ milk tooth na ana miaka 30 so Hospital gani au Dr gani special wa hizi mambo...
0 Reactions
0 Replies
978 Views
Wakuu heshima yenu na itifaki izingatiwe!!!!! Ninalo tatizo ambalo limekuwa likinisumbua kwa muda mrefu, zaidi ya miaka mitano sasa. Nimetafuta namna ya kulidhibiti bila mafanikio. Naomba...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mtoto wangu ana miezi saba lakini kitovu hakijapona.Nilimpeleka hospitali,daktari akaniandikia dawa iitwayo SPAMCLOX na akanieleza nimkande mtoto kwenye kitovu kwa maji ya uvuguvugu yenye...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau nawasalim wote! naombeni msaada kwa watalaam wanaojua kutibu tatizo la kuwa na upele mwingi kichwani. Mdogo wangu ana miaka 5 sasa na tatizo hili, akilala usiku kuna wakati mwingie anakuta...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Naomba niende moja kwa zote kwenye mada husika.mimi ni me nina mpenzi wangu tupo kwenye mahusiano kwa takriban mwaka mmoja sasa, kwa kipindi kirefu tuko mbali kwani mimi nipo Dar na yeye ni...
1 Reactions
5 Replies
6K Views
Back
Top Bottom