Wengi wetu tunatumia diclofenac kwa ajili ya kutuliza maumivu na kushusha homa. Dawa hii hapa Tanzania ni 'over-counter drug' au 'non prescription medicine' yaani dawa aihitaji cheti cha daktari...
[/FONT][/SIZE]
Saratani imeendelea kuwa tishio Tanzania na sasa unaambiwa saratani ambazo zilikuwa hazijawahi kujitokeza au kuonekana kipindi kilichopita, sasa ndio kama zimezaliwa na watu...
Natumaini hamjambo ndg zangu,
Langu moja ni kuuliza nina mtoto wangu ana mwaka na nusu, ila katika miguu yake haina uvungu, yani ipo flat.
Sijui tatizo linaloweza kumpata nini? Yani madhara yake...
Hi guys. ni muda sasa nimekua nikitafuta dawa ya kumwaga arthini kabla ya kuweka pavements kwenye car parking areas, lakini sijafanikiwa. nilienda kariakoo nikapewa feki . twiga chemicals wanasema...
Najua hapa kuna watu wengi wenye taaluma tofauti tofauti, ivo naamini tatizo hili linaweza kupata majibu sahihi, mazur na yenye tija kwa wote.
Ni kitu gani kingine kinachosababisha uke kua mkubwa...
Mimi na Shemeji/wifi yenu tunapitia wakati mgumu sana kuelekea kuongeza mtoto wa pili,
wakwanza anaelekea miaka 8,
naomba msaada wa kujua ilipo hospital inayoweza kutoa huduma bora mengine...
Ikiwa utalazwa hospitalini kwa dharura, kuna uwezekano mkubwa hutapata muda wa kujiandaa. Lakini pia kuna wakati unaweza ukawa unajua kwamba unaenda kulazwa hospitali kwa ajili ya tiba fulani...
Since at least the 80s, theres been a lot of debate around whether or not women ejaculate at all, or if it is just an adult version of bed wetting.
A group of French scientists published what...
Kwanza kabisa napenda kuwasalimia, nimatumaini yangu kuwa mu-wazima wa afya njema. waatalamu wa afya mimi nasumbuliwa na tatizo lakukosa hamu ya chakula, hilo tatizo limenianza linamda mrefu mno...
Doctor nisaidie nime fanya mapenz na mpenz wangu kwa bahati mbaya kondom ime chanika na nilikuwa tayar nime mwaga ndani naitaji njia yoyote ile kuzuiya mimba kukua yani isi tunge kwani hatupo...
Bye bye supermarket:lock1:
1. Removes grease stains from clothing and fabric
2. Removes rust; methods include using fabric dipped in Coke, a sponge or even aluminum foil. Also loosens rusty bolts...
Hili tatizo sijui ni langu tu ama tuko wengi. Nikilala chali ama kwa ubavu wa kushoto naota sana ndoto mbaya, nakabwa ama nalimishwa hata nisali kabla ya kulala ama niweke biblia kama hirizi chini...
'Ranjan Das, CEO and MD of SAP-Indian subcontinent died after a massive cardiac arrest in Mumbai recently. One of the youngest CEOs, he was only 42.'
What killed Ranjan Das?
He was very active...
Habarini ,naomben ushauri mwanangu tangu amezaliwa ana wiki mbili .alikuwa analala vizur na kunyonya vizur..sasa kuanzia jana ameanza kulala saaana zaid ya masaa matano na kuamka ukimnyonyesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.