Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Salam, Mwaka jana niliomba ushauri kwa tatizo la kukosa uzingizi. Watu wengi walinipa advice na mwishowe nikaupata. In fact nilipewa dawa ya kunywa kwa kusaidia hali yangu ya kawaida kurudi...
7 Reactions
122 Replies
11K Views
Wadau msaada katika hili, binti ana miaka mitatu toka amezaliwa, tatizo la vidonda kichwan kila nywele zinapoota kichwan. Nimehangaika na dawa na ushauri tofauti tofauti lakini mafanikio yamekuwa...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
  • Redirect
Habar wana jf....watu wengi wamekua wakikumbana na matatizo ya kuumwa tumbo au kujaa gasi. Sasa kuanzia leo unapobwana na hali ya kujamba nakusihi usijibane kujamba kwan hewa hiyo hiyo ikirudi...
2 Reactions
Replies
Views
naomba wataalam wetu tusaidiane ktk hili..kuna huu ugonjwa unaitwa kleoid kama sijakosea ila nyie mnaujua zaidi..yaan kuna kuwa na vipele fulani ambavyo ni sugu na wengine huja kuwa ni uvimbe kbs...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Redirect
Sijawahi kupata jibu la hii changamoto ya miguu kupasuka, hasa kwenye kisigino, hata kuweka ufa. Kwa baadhi ya watu huumwa kutokana na mipasuko hiyo. Naomba ufahamu wako katika hili.
0 Reactions
Replies
Views
Hii kitu imenishangaza sana na hii inadhihirisha sayansi bado ina safari ndefu.. Hivi majuzi huko UK mwanamke mmoja amekutwa na mimba mbili za wanaume wawili tofauti kwa wakati mmoja na amekiri...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Pid
0 Reactions
0 Replies
897 Views
Unawezaje jizuia hamu ya kufanya ngono
0 Reactions
6 Replies
3K Views
  • Redirect
Wana JF, niliwahi kusoma jamvini tiba ya kikohozi cha muda mrefu ya asali na tangawizi. Ninaomba mtu anayeweza kunielekeza namna ya kupata thread ile anisaidie. Au anielekeze kwa tiba nyingine...
0 Reactions
Replies
Views
Salama ndugu zangu,leo nawaletea habari nzuri inayohusu afya zetu sisi sote. Ni kwa kipindi kirefu nimeona watu waki-post matatizo yao huku bila kupata suluhisho la matatizo yao. Lakini leo...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Jambo wadau Umri wangu ni miaka 20 tatzo langu uume wangu unasisimka na kupata hisia za kimapenz pale demu akiwa mbali na mm,but nikiwa naye karbu na nataka kufanya nae mapenz uume hausimami wala...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Jaman ni wk sasa toka nijkate kdole na bati, baada ya kwenda hospital nilishonwa nyuzi na kuwekewa dawa.tatizo lina kuja baada ya kidonda kufunga kidole kimekufa ganzi.wakubwa hii inatokana na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Redirect
Kwakweli asthma inatisha leo ndio nimeona kupoteza uhai ni ndani ya sekunde, nilikuwa nashindwa kabisa kupumua vzuri. Naombeni sana msaada kwa mwenye kujua dawa ya athma anisaidi, ile ephedrine...
0 Reactions
Replies
Views
Kuna msichana niliekuwa nae alikuwa ana ujauzito ya kama wiki tatu hivi,kwa kutokujua alitumia dawa aina ya flagyl bila kujua kuwa ingemletea madhara.baada ya hapo ilibidi aende kwa docta kwani...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Redirect
Habarini wapendwa, Nina maswali kuhusu huu ugonjwa uwapatao wanawake wajawazito, kifafa cha mimba: 1. Ni nini chanzo cha ugonjwa huu? 2. Zipi dalili za huu ugonjwa? 3. Je, inawezekana kuwa nao...
0 Reactions
Replies
Views
HIV breakthrough as Cuba becomes the first country in the world to eliminate mother-to-child transmission of the virus World Health Organization hails big step 'towards Aids-free generation'...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
  • Redirect
Jamani nini Tiba ya tumbo kujaa gesi?
0 Reactions
Replies
Views
Aliyewahi kwenda Ikonda Hospital, nataka kujua bei ya kipimo cha Endoscopy ni shs ngapi?
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Takwimu za mwaka 2014 zinanonesha kuwa asilimia 46 ni maambukizi ya kaswende, ilihali asilimia 32 ni maambukizi ya kisonono, huku maambukizi ya maradhi ya "chlamydia" ikiwa kwa asilimia 26...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Mi nahitaji kujua; ni vyakula gani mwanaume ukila unaongeza uwingi wa sperms kwa muda mfupi kiasi? Naomba msaada wenu please.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom