Naomba ushauri,nasumbuliwa na tumbo upande wa kushoto linauma maumivu ya mfululizo na yanafika mpaka kwenye mgongo kwa katikati.ila nimepima typhod sina,u.t.i sina,ila malaria nimekutwa nayo...
Soy power ni kwa ajili ya wanawake
1. Husawazsha hormone za kike mwilin
2. Huchangia kwa kuzuia ugonjwa wa moyo
3. Matatizo ya mifupa
Royal je.
1. Husawazisha hormone
2. Kukufanya uwe na...
Katika ulimwengu wa vyakula, inafahamika na kuaminika kuwa chakula ni dawa. Chakula unachokula leo ndicho kinachoamua hali yako ya kiafya kesho. Unaweza kuishi bila kuugua kama ukila vyakula vyote...
Jamani mi nasumbuliwa na kichwa kinauma sana tena frequently kinaweza kuacha kwa mud a tu, shida iko hivi nikitembea juani kwa dakika 25 nitaumwa kichwa sana,pili nikiwasha computer hasa kama...
Wana JF!
Wataalam wangu, naombeni kuuliza, ugpnjwa wa kutetemeka mikono husababishwa na nini na tiba yake ni ipi? Yaani utaona watu hasa watu wazima na wa makamo wakitetemeka mikono kiasi kwamba...
Habari wakuu, mimi nina tatizo la ukakasi au kama utando juu ya ulimi ambao huwa mwingi wakati naamka asubuhi pia ulimi unakuwa kama umeliwa ivi. nilienda hospital nkapewa dawa aina mbili Moja...
SARATANI YA MATITI NA NAMNA YA KUJICHUNGUZA MWENYEWE
Saratani ya matiti ni ugonjwa ambao huwapata wanawake na unatokana na athari za chembe ndogo ama seli kwenye matiti na matokeo yake ni...
Habarini wakuu,
Ninasumbuliwa na tumbo kuuma sana hasa ni nikila maharage na dagaa nimeenda hospitali moja ya wilaya nikapima kipimo cha occuh blood hakuna reaction yoyote.
Nishaurini nifanyaje?
What Eating Pork Does Inside Your Body (Medical Video)
Some religions forbid the consumption of pork, and one of the reasons is that it is considered unclean. Need an explanation? Is there...
Habari zenu wanaJF
Hii ni ratiba ya mlo kwa wiki nzima kwa ambao wanapenda kuwa na afya bora pamoja na kujiepusha na baadhi ya maradhi na magonjwa kwa kupitia mpangilio mzuri wa vyakula...
Habari wanajamvi??
straight to the point, she is one month pregnant now, is it safe for her to travel by bus lets say from Dar to Moshi ( to and fro )?
Note: Hatujaanza bado clinic, but by mwezi...
Epuka sana njia na vipodozi visivyo salama na vilivyopigwa marufuku na mamlaka ya chakula na dawa Tanzania (TFDA) maana vitakuletea matatizo mbali mbali ya afya kama vile kansa, allergy, ngozi...
Sasa angalieni kiasi cha Sukari inayopatikana ndani ya Vinywaji Mnavyo Kunywa kila Siku haya...kumbuka ni chupa moja tu....kila shule inafaa hii picha iwekwe
Habari za kazi wana jukwaa.
Najihisi kuvurugwa, naombeni msaada kwa mwenye utaalamu au uzoefu. Ni muda wa mwaka sasa tokea mimi na mpenzi wangu tukutane kimwili, lakini wiki iliyopita...
Msaada tafadhali!
Nikiwa period napata maumivu makali sana chin ya kitovu na kiuno ambayo hunipelekea kila mwezi mim kwenda hospital kuchoma sindano za maumivu wakati mwingne nikimaliza period...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.