Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Mimi na mke wangu tumeoana miezi minne iliyopita. Tumejaribu sana kufuata taratibu zote ikiwemo kuhesabu siku zake za urutibisha lakini hatujafanikiwa... Je, nifanyeje kuweza kufanikisha hili...
1 Reactions
49 Replies
8K Views
  • Redirect
Habari zenu humu ndani. Baada ya salam, kama kichwa cha habari kinavyo jieleza. Nina mtu wangu wa karibu ana hilo tatizo tajwa hp juu. Mwenzangu huyu kupata choo kwake imekua nadra sana, yani...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
VYAKULA VIZURI KWA WAGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO Ili kupunguza makali au kujiepusha kabisa na ugonjwa wa vidonda vya tumbo, unapaswa kujiepusha na tabia ya kula na kushiba kupita kiasi, kwa...
1 Reactions
Replies
Views
Nikiwa katika period miguu na kiuno kinauma sana. Hospital wamenipa dawa ambazo nameza kila mwezi nikikarbia kuingia tena. Nani anajua dawa ya kuponyesha kabisa?
0 Reactions
11 Replies
10K Views
Jana yalianza maumivu ambayo naona leo yamepungua, ila nashangaa kuona uvimbe!! Sijajua exctly kipi kimesababisha...ila juzi niliendesha gari kwenye rough road karibia 8km...kabla ya hapo...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu. Naomba msaada nasumbuliwa na uvimbe(jipu) sehemu za makalio, nitumie dawa gani Lipone? Iwe ya kienyeji au ya kizungu maana linauma mno likiguswa tu.
0 Reactions
5 Replies
19K Views
  • Redirect
Wakuu mwanangu ana umri wa miaka 3,anasumbuliwa na kikohozi kikavu. Kila baada ya dakika kumi lazima akohoe. Naomba kufahamishwa ni dawa gani nzuri naweza kumpatia ikamsaidia. Note; Hana homa.
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
FAIDA ZA MCHAI CHAI KWA AFYA YAKO UJUE MCHAICHAI Ni wengi wanaoutumia na kuufahamu mchaichai kama kiungo cha chakula jikoni na wengine hutumia kama dawa ya mbu. Lakini, je unafahamu kuwa...
1 Reactions
Replies
Views
Unajihisi unataka kuamka na upo kwenye akili za kawaida kabisa lakini hauwezi kusogeza hata msuli mmoja wa mwili wako hata ukipiga kelele sauti haisikiki. Nina maswali kuhusiana na hili (1) je hii...
0 Reactions
43 Replies
8K Views
  • Redirect
Pale nilipokuwa nyumbani mza sikuwa na chunus ila nilipofika tbr kikaz kama miezi sita hivi zilifutuka chunus za hatali na haziishi ila nina uso wa mafuta mengi nikioga nakaa kama nusu sa -sa 1...
0 Reactions
Replies
Views
Kwa kifupi sana, nimesikia mitaani, eti ukimtahiri mtoto mdogo toddler (sio mchanga,) uume wake hautaongezeka, yaani wakati sahii afikishe miaka saba na kuendelea ama awe mchanga kabisa. Naomba...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Mwenzenu nina shida sana. Nilinenepa na kwenda kupima nikakuta nina kilo 125.8 wakati urefu wangu ni 198 nikashauriwa niwe na kilon 98 au 90. Nikaanza kufanya mazoezi na kupunguza sana msosi...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Watu wengi wananunua mashuka kutokana na mapenzi yao, lakini hawafahamu rangi ya shuka ina uhusiano na afya. 1. Rangi ya chungwa Shuka ya rangi ya chungwa inaweza kusaidia kuongeza hamu ya kula na...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wadau. Naomba mnijuze hivi mwanamke au binti anaweza kuwa na mimba ya wiki Tatu na akaona siku zake kama kawaida japo damu haitoki nyingi,,? Au changa La macho ,?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wadau naomba mnijuze, Hivi mwanamke au binti anaweza kuwa na mimba ya wiki tatu na akaona siku zake kama kawaida japo damu haitoki nyingi? Au changa la macho?
0 Reactions
22 Replies
19K Views
  • Redirect
Hivi Kuna dawa ya kutibu degedege
0 Reactions
Replies
Views
Salam wana jamvi! Mimi ni mmoja wa watumiaji wa kati wa pombe hasa weekend na nikiwa likizo. Nimetumia pombe kuanzia tarehe tano had tare 26 December bila kupumzika. Mara nyingi natumia Castle...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu, Salaam. Bila shaka Tiba itolewayo na wataalamu kutoka 'NUGA BEST' si ngeni hususani mikoa ya miji mikubwa kama Dar es Salaam na Mwanza. Naomba mwenye uelewa wa kutosha atuhabarishe...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Karibu katika kulijadili hili kama kichwa cha habari kinavyosema.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu, Salaam. Bila shaka Tiba itolewayo na wataalamu kutoka 'NUGA BEST' si ngeni hususani mikoa ya Majijini. Naomba mwenye uelewa wa kutosha atuhabarishe kuhusiana na Tiba hii kwa namna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom