Naomba nipewe muongozo kuhusu kama mtu ameathiriwa kwa Kansa ya Kichwa anaweza kupata tiba hapa hapa Tanzania. Jamaa alikuwa ana uvimbe uliotokeza kwa nje ya tumbo lake upande wa kushoto. Akaenda...
Wanajamii forum habari za shughuli?Aisee naomba msaada kwa mtu anayejuwa tiba ya mtoto mwenye umri wa miaka minne na nusu katika mfumo wa kupumua yaani anapumua kwa kuweka kituo between two hurt...
Hii tabia mwanzo sikuanayo! Imeanza kama miezi 7 ilopita. Yani naamka usingizini nakuta mate yamejaa mdomoni, na mbaya zaidi sikuhizi yameanza kutiririka kidogo niwapo usingizini. Why? Why...
Nilipimwa juzi ,katika dispensar maeneo ya kigogo,,sasa nimegundulika na tatizo la figo,,nimeambiwa ni imfection,,bacteria wamepanda kutoka kwenye kibofu cha mkojo mpaka kwenye figo, nikapewa...
mi nina tatizo la uume wangu kuwa mdogo.mda mwingine naona hata aibu kufanya mapenzi na msichana.juzi juzi 2 nimekataa kufanya mapenzi na demu wangu kwa kutoa visingizio kibaaao.nisaidieni ndugu...
Habari za majukumu nimatumaini yangu mu wazima naomaeni kujuzwa jambo kwa mwenye hekima anijibu hivi ukitaka kumjua mwenzi wako kama anaujauzito utajuaje nilikutana naye kimwili tangu tarehe...
Wana JF, habari za leo!
Nimekuwa na tatizo la kusumbuliwa na miguu kwa mda wa mwezi mmoja sasa, hili tatizo huwa linanikuta hasa ninapokuwa nimekaa kwenye kiti nimetulia au nikiwa nafanya kazi...
Naamini ushauri wenu kwa asilimia 100%maana ulishanisaidia several times, nina mdogo wangu wa kike ana miaka 22 ,anasumbuliwa na tatizo ambalo kwa kweli tumemtibu na tumeshindwa kuelewa ninini...
Wakuu nisaidieni nina tatizo la flue isiyoisha, kila baada ya siku 3 nakua na flue yaani inanikera sana..kama mtu unaeza nisaidia nipate tiba wapi au nitumie dawa gani ntashukuru sana,..
Tumbo linanisumbua sana nilijarb kwenda hosp nikachukua vipimo nikahambiwa choo ndio kinasumbua nikapewa dawa hila dawa haijanisaidia chochote pia naweza nisipate aja kubwa kwa muda wa siku 4 hadi...
Naomba msaada wana janv mimi nimetumia chndarua baada ya siku naona naota vipele sehemu mbali mbali za mwili hasa mkono mmoja ambao nilikuwa nimeuweka kwenye chandarua kwa sababu nilikuwa...
Hi JF,
Please refers to this post
https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/331545-ugonjwa-huu-ni-kitu-gani.html
Watu wengi wali-comment mambo yasiyo eleweka na ya kukatisha tamaa.
Hakuna aliyeweza...
KWA WAJAWAZITO hasa wanaopenda mimba zao unashauriwa kufanya mazoezi angalau mara mbili kwa siku yaani asubuhi na jion kunywa maji mengi kwani kunapunguza kuvimba mguu na kupata magonjwa...
habari za jioni jf doctor, ninafahamu ya kwamba mama anapomaliza kujifungua huwa anatakiwa kukandwa maji ya moto tumboni ili kuziruhusu damu chafu kutoka baada ya kujifungua. je kuna njia gani...
wapendwa wanajf anaejua elimu ya utosi wa mtoto kudunda anijuze fasta naomba maana naona utosi wa kichanga changu hauchezi sina raha jamani nisaidieni sijawahi kuona utosi wamtoto mchanga usicheze...
doctors napenda kuelimishwa, inakuwaje mama anayenyonyesha haingii kwenye siku zake(bleed) lakini akifanya mapenzi anapata ujauzito? sayansi ya ujauzito inasemaje doctors?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.