JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nimeamua rasmi kuondoka JF.🙏🏼 Nimegundua ninapoteza muda mwingi sana humu ndani, nitawamiss sana Wakuu. 👋 Nitarudi baada ya dakika 10
21 Reactions
143 Replies
853 Views
Kama kuna mtu atatokea hapa na kubisha basi huyo ndie rafiki mwenyewe.. Na baadhi ni marafiki zetu hapa JF Unahitaji usaidizi wa kitu kwa mfano ununuzi wa kiwanja, nyumba, gari mtambo nknk Sasa...
24 Reactions
51 Replies
607 Views
Namaste everybody Heshima zenu wakuu. Muziki wa kitambo miaka hio ya wahenga kabla sisi Gen Z hatuzaliwa ulikuwa mzuri sana ukilinganisha na ya sasa. Makelele merngi sana siku hizi Vyombo vya...
8 Reactions
62 Replies
824 Views
Hii tabia imekaa kiupinde sana unakuta mwanaume kabisa ananua kitanda eti bed sofa WTF! Kihalisi kitanda cha kiume ni cha mbao, imeshindikana kabisa basi kiwe cha chuma kisicho na urembo wa sofa...
15 Reactions
91 Replies
1K Views
Kwanza nilipofika Oral interview wengi walikua wananiangalia sana, they was like hypnotized, nikasema hapa wameisha. mambo yakaenda vyema, sasa kazini wee, kwanza nilipofika, walidhani labda ni...
10 Reactions
96 Replies
1K Views
1. Masanja Mawenge 2.N'kwabi N'gwanakilala 3.Rupondije Inuka 4.Mabula Nkwimba 5.Nyeunge Maneno 6.Budodi. Endeleeeaaa!!
0 Reactions
255 Replies
77K Views
Niliwahi kuguswa na malaika begani kunishtua hatari
8 Reactions
65 Replies
498 Views
Ukiwa mume mwenye mke zaidi ya mmoja basi kila hatua unayochukua inakubidi uitafakari mara mbili. Hayo yametokea jana baada ya baba mwenye mji wake kumpost mke mdogo kwenye Status WhatsApp Baada...
10 Reactions
52 Replies
456 Views
Assalaam, Kheri ya siku ya kuzaliwa kwangu, namshukuru Mungu kwa kuifika siku ya leo nikiwa na afya njema. Allah anijalie afya njema, anilinde, niishi kwa kumpendeza yeye. Oooh ushangazi...
15 Reactions
151 Replies
5K Views
Nilienda dukani kununua mahitaji ya hapa na pale leo wikiend, mara pap kapita boda kapakiza dada anamzigo kama wote, ghafla nikasikia wamama wauza vitafanwa na supu wanasema " YALE MAKEBO...
9 Reactions
62 Replies
637 Views
Fuatana nami kwa makini kwenye hii mada hii..! Katika ndoto, udongo unawakilisha misingi ya maisha yako, uwezo wako wa kukua kiroho, na utayari wa kupokea mambo mapya.. Kwa kuwa udongo ndio...
5 Reactions
27 Replies
201 Views
Ni sababu zipi, zinazo kukwamisha wewe kutokuwekeza biashara, kiwanda, au uchimbaji wa madini Ulaya?
8 Reactions
91 Replies
445 Views
Baba yako amestaafu upo home hauna ajira miaka 5, cha kushangaza unasikia ametoa million 10 mchango wa ujenzi wa kanisa au msikiti UMASIKINI NI MENTALITY NA SIO POSESSION
15 Reactions
124 Replies
1K Views
Pongezi kwa kila mwenye kupata riziki halali. Ukiweza kutega mifereji ya kupata shilingi kadhaa, kwa jasho lako (au hata kwa kusaidiwa)...wewe sio MTU wa mchezo mchezo..heeeko👍🏾!
4 Reactions
7 Replies
122 Views
Ilikuwa mida fulani hivi ya saa mbili usiku ile naingia nyumbani kabla sijafika sebuleni nikasikia ndugu zangu wanajadili "Tumemletea tiba leoleo lazima aache hizo pombe zake!" hapo walikuwa...
34 Reactions
64 Replies
3K Views
Tuhuma bila ithibati! Utani wenye uhalisia.! Wivu wa kijinga! Shuku kisa chitchat! Maskhara yanapogeuka ugomvi. Umbea kwa usiyemjua vema..! Ma snitch! Hisia zilizotafsiriwa kinyume!🤔😫😷
23 Reactions
421 Replies
4K Views
A lot of us grew up in homes where the rules were clear, teachers were respected, dinner was not a restaurant menu and kids were expected to figure some things out without a commitee meeting. But...
1 Reactions
7 Replies
79 Views
Mkuu Financial Analyst, kuna ukweli gani juu ya hili?
6 Reactions
40 Replies
341 Views
Back
Top Bottom