JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
NATAFUTA MSICHANA ANAYE ANAYEJUA KUCHUNA VIZURI MAANA NATAKA KUFUNGUA BUTCHER. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kama yupo aje inbox[emoji403]
2 Reactions
9 Replies
1K Views
umekua kiongozi mzuri kwa makosa yalio pita. Sababu unajua? Watu wengi hawajui kukosea ninjia ya kuwa mwalimu wa maisha na changa moto ulizopitia.
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna mdau kanambia kua "kitunguu ndio tunda pekee linalo mliza binadamu" nimemtupia boga la uso saizi analia.. Au boga siyo Tunda jamani?
1 Reactions
5 Replies
833 Views
BOY: mambo baby GIRL: kimyaaa BOY: nakusalimia mbona hunijibu baby GIRL: kimyaaa BOY: 576458588545852 baby vocha hiyo ingiza GIRL: baby mbona haiingii BOY: kama haiingii gongea na nyundo #WapostPumba
1 Reactions
3 Replies
1K Views
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Gwajima: naona Bashite kaliamsha dudee sasa tukutane jumapili ijayo kanisa la ufufuo na uzima wazee wa popcorn mnichukulie na mimi nitawawekea siti #WapostPumba
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kizazi cha mwaka 1990 kushuka chini kilipenda kueka #Vitanda karibu na madirisha ili waweze kuona mwezi na nyota wakati wa usiku...;) Kizazi cha mwaka 1991 mpk sasa 2017 utasikia kina mwambia...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Salaam nyingi sana wanaJF. Neno 'kismati' limekuwa likitumika kuashia mtu kuwa na bahati nzuri au zali kwa wenzetu vijana huku mtaani. Wanawake wenye ndevu ni kama wana kismati.Mwanaume...
0 Reactions
44 Replies
16K Views
No church is perfect, Just like any marriage relationship. Usiniulize kwanini..
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Katika maisha kila mtu ana maono yake, na sote tuna matamanio yetu ambayo tungependa kuyafikia hata kama hatuna uwezo huo!! Mfano kwa wapenzi wa mpira ukiwauliza ungependa uwe kama nan kama...
0 Reactions
6 Replies
688 Views
Kuna Members wawili ' maarufu ' sana humu JF na ambao pia wameshaanzisha ushirikiano wao wa kutukuka wa Kibaiolojia / Mapenzi ila tokea watutangazie huo umoja wao wa Kibaiolojia ' uchangamfu ' wao...
9 Reactions
163 Replies
9K Views
Je, limbwata tuweke ktk kundi lipi?
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Visa vya sekondari ni moja kati ya kumbu kumbu zangu ambazo siwezi kuzisahau kirahisi japo nmeshahitimu chuo. Kuna kipindi nakumbuka shuleni sekondari ukiwa mtukukutu wanampigia simu mzazi...
2 Reactions
6 Replies
763 Views
umetoka matembezi ukiwa barabarani unakuta iphone 6 katikati ya kinyesi cha binaadam je utaichukuwa au utaona kinyaa na kuiacha?
0 Reactions
7 Replies
719 Views
*Wanaume wa Dar es Salaam ni waoga sana yaani wameshindwa kumuhoji BASHITE mpaka amehojiwa na wanaume wa Mwanza* [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji85]
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani tuwaache hawa wanawake waishi wapendavyo. Mana sasa kila kitu kizuri tunawakataza wasifanye hadi imekuwa kero sasa. Ndo mana wanatusema wanaume tunalia lia siku hizi...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari waungwana, ni katika mfululizo na mwendelezo wa harakati za kimaisha na kimaendeleo. Leo nimekuja na hili la kuipongeza mitandao ya kijamii, hususani jf , huu mtandao kiukweli umenifanya...
4 Reactions
6 Replies
775 Views
Hakika sina shaka na ninachokisema kama unasikia mahojiano hayo yanayoendelea au umeyasikia japo kidogo unaweza kuamini hayo ninayosema Huyu Jamaa ni mtunzi mzuri wa story maana anayoelezea huku...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom