JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wengine tulikuwa tunakata ile miguu mirefu harafu tunajenga kama zizi hivi tunawawekea na majani ili wale, Asubuhi unakuta wengine wameshakufa na sisimizi juu, mwingine yupo hoi, kwakweli panzi...
3 Reactions
6 Replies
102 Views
GARDEN BOY IMPREGNATES THREE BIOLOGICAL SISTERS. According to reports, the Kenyan parents to the girls kept their daughters indoors and could not allow them to mingle with friends. The gardern...
0 Reactions
1 Replies
58 Views
Miaka 30 ni mingi sana kukaa hapa duniani sio tu kukaa nyumbani, inabidi uwe umesha leta impact. Kuna watu kabla ya hiyo miaka walishafanya makubwa sana hadi sasa bado wanakumbukwa kwenye...
17 Reactions
61 Replies
1K Views
Je huyo uliyeoana naye ndio wa ndoto zako ? Eti mkuu? Au tukuache kwanza?
1 Reactions
3 Replies
83 Views
Sometimes huwa tunafanya mambo kimazoea na kujitia ujuaji mwingi. Najua mwana JF kuna siku uliaibika Aidha kwa ushamba ulionao, kujitia mjuaji ama kutokuwa na ufahamu juu ya Mambo fulani fulani...
60 Reactions
655 Replies
88K Views
Hivi hii kauli na agizo huwa unalichukuliaje na unajisikiaje!? Unapoongea na mtu kwenye simu kisha anakupa hilo agizo.
7 Reactions
37 Replies
1K Views
Dondosha jina la kinyakyusa unalolifahamu. Naanza Gwakisa, endelea
6 Reactions
284 Replies
7K Views
Mimi naona kikubwa kazi iwe inakulipa na kukuwezesha kumudu maisha yako tu inatosha wajameni au sio
2 Reactions
7 Replies
94 Views
Nauliza tu wazee, Nimecheki kwangu CRDB naona maluelue tu hamna fedha. Vipi kwenu tayari?
1 Reactions
8 Replies
183 Views
Je kabila lako lipo au tukuache kwanza?
6 Reactions
89 Replies
4K Views
Nategemea kutembelea mji wa Kigoma mwanzoni mwa mwezi wa tano mwaka huu. Kwa mwenye uzoefu na mji wa Kigoma, naomba kufahamishwa sehemu nzuri ya kufikia na maeneo ya kutembelea kwa wiki tatu...
1 Reactions
5 Replies
162 Views
Nimeupdate: Mi naishi Nje ya Nchi tokea mwaka juzi tokea mwaka juzi (2016). Nilipata bahati ya kusoma master Nchini ubeligiji miaka ya 2013 baada ya hapo nikaja bongo nikatafuta kazi sikubatika...
47 Reactions
188 Replies
23K Views
Unapoingia mlangoni na kuufunga mlango, ni sawa na kuingia kaburini na kujifukia. Ndio maana asili ya viumbe hai, iwe wanyama n.k hawana nyumba zaidi ya kukaa na kuishi sehemu za wazi, na mwisho...
9 Reactions
47 Replies
639 Views
Kulikuwa kuna haja gani ya kuweka picha ya mwanamke mweny matrako makubwa kweny tangazo la mikopo. Hadi matangazo ya mikopo yanakuwa sexualized🔥🔥
3 Reactions
7 Replies
199 Views
Kwa umri uliofika. 1. Kama una miaka 30s Kuwa bilionea sahau/Waza mambo mengine. 2. Kama una 30s na hauko na hujawai kuingia kwene siasa bas we huwezi kuwa Rais hadi unakufa. 3.Wewe siyo Super...
8 Reactions
48 Replies
641 Views
DISCLAIMER (KANUSHO): Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya burudani tu, Maudhui yake hayana nia ya kukashifu, kudharau au kuchukulia poa harakati/imani/mitazamo au kazi za watu.. Tufurahie na kucheka...
100 Reactions
409 Replies
13K Views
Kutoka Guinea, mwamba mwenyewe Grand P amevuta kifaa cha nchi jirani mwenye umbo namba nane. Pesa inaongea na haijawahi shindwa 👇👇
3 Reactions
27 Replies
667 Views
Mm nahitaji kumzaba Kofi Olomide shabiki yoyote wa Uto, maana wanasumbua sana kitaaa Tiririka Mkuu.....
6 Reactions
82 Replies
946 Views
Hi! Kinywaji niliwahi ipenda sana, hasa nikiwa na drive safari ndefu. Majuzi nikajaribu kuulizia mkata hola yale ma hotel barabaran hola. Nikaenda Liverpool, hii, wakasema atuuxi pombe, nikasema...
0 Reactions
4 Replies
178 Views
Naona watu wengi wananiuliza nini maana ya prakatatumba, huyu mwamba cabo snoop aliitisha sana na ule wimbo wake wa Windhoek, sijui ameishia wapi lakini mimi nimekua fans wake mkubwa miaka yote.
18 Reactions
123 Replies
2K Views
Back
Top Bottom