JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nipeni ushauri,nataka kufanya application upya
3 Reactions
205 Replies
10K Views
Kumekuwa na tatizo katika while ninayosoma madada wengi sana wanasheki(wanatembea wanatikisa miguu kama mlevi) ni kitu gani kinachosababisha. Naomba kujulishwa
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau, Huyu jamaa mbona simuoni humu yupo wapi siku hizi? Mwenye taarifa atujuze.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Sema shem naamini uko poa, Nilipita mda fulani nikakuta sehemu umeacha on Id yako, kumbuka kusig off mpwa wabaya wengi wakina pdidy wenye roho njema wanahesabika humu. Wasalaam pdidy nb.id...
4 Reactions
63 Replies
7K Views
Leo nimejitupia ndani ya daladala moja Gongo la Mboto~posta.Wamepanda vischana viwili vya secondary, story zao mpaka wanashuka ni boyfriends tuu tena asubuhi yote hii inayoitwa blue monday hawa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Eti Kama Inatokea Bahati Nasibu Ukaambiwa Upige Kura Kumchagua Mtu Mmoja Wakurudi Duniani Utamchagua Nani Kati Ya Hawa?1.Julius K.Nyerere,2. Osama Bin Laden,3.Adolf Hittler,4. Moringe Sokoine,5...
0 Reactions
4 Replies
752 Views
Leo nimekaa na kuwambuka baadhi ya Maheadmaster wa shule zetu katika miaka ya 80s, 90s na early 00s, ni wale waliokuwa katika zile shule zetu kongwe za miaka mingi, kutokana na uchache wa shule...
4 Reactions
190 Replies
26K Views
Heshima mbele wana JF, Mwenzenu kila nikikatiza mitaani, kwenye shopping malls, beach na kila sehemu aisee nashindwa kuzuia hisia zangu juu wa dada zetu. Kwa kweli dada zetu wamejaaliwa neema ya...
0 Reactions
51 Replies
16K Views
Jamani, Leo Asubuhi Nimekutana na ombaomba nikamuuliza "nikikupa 50,000 utafanyaje" akanijibu "nitakufa Kwa furaha". Ikanibidi niondoke kuhofia maisha yake. Credit:Malisa Godlisten
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Dear Friends in Arusha Jinsi kuanzisha biashara bila kuwa na mtaji mkubwa kwa muda wako wa ziada. Tar 1. Mei Mosi, tunawakaribisha kwenye oriflame mega event itakayofanyika New Safari Hotel...
0 Reactions
0 Replies
795 Views
Hivi unaweza kuhoji juu ya "status" yeyote ya mpenzi wako?
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Jamani wote tu mashahidi katika hili, kuna wale watu wa kuomba ofa kila mahali yaani ukikutana nao mara nataka soda, bia yaani mpaka kero, lakini mchezo unakuja hapa hawa watu ukiwapatia hizo ofa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Baada ya Idd Amin kumpindua Obote mwaka 1971, aliweza kuhudhuria vikao mbali mbali huko umoja wa mataifa. Siku moja wakakutana katika kikao kimoja cha kwanza kwa Idd Amin kuhudhuria, na kwa kuwa...
1 Reactions
12 Replies
11K Views
Habari zenu ndugu,... Inavyoonekana hapa kwetu Tanzania mahusiano ya vitu tajwa hapo juu ni makubwa mno, Je! Ni kawaida vitu hivi kwenda sambamba au ni mazoea yamepitiliza....
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mpendwa farkhina, natambua leo ni siku yako ya kuzaliwa na sina budi kutumia wasaa huu kukupa hongera kwa kuongeza umri na kukutakia yote yalio ya kheri katika kuadhimisha siku hii ya leo. Mola...
6 Reactions
61 Replies
12K Views
Salaam, Salamu ni moja ya jambo ambalo ni sehemu ya kumuheshimu yule uliyemuakia. Kuna salamu.za kilugha, mambo vipi, shikamoo, habari gani? Lakini kuna hii salamu ya "heshima yako" binafsi...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Toka tunakuwa tunasikia huu msemo fulani na fulani ni chui na paka yaani hawapatani. Sasa kutopatana kwao kuna uhusiano gani wa kusema chui na paka? Kwani kuna nini kati ya chui na paka?
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Kwakweli serekali ya Tanzania ijaonesha action yoyote ile kwa jambo south Africa wanafanya kupiga wageni huku kweli wanapewa hesma kubwa. Sijui niuwoga au.
0 Reactions
0 Replies
590 Views
Wadau Ukiwauliza watoto wengi ambao wameshajitambua kiasi kwamba watakapokuwa wakubwa wanataka kuwa nani.....wengi utasikia wakisema wanataka kuwa manadaktari,mainjinia,rais........nk na ni nadra...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom