JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
1.italy wilk be conquered by communism. Cardinals and bishops will be killed. For a time the. Vatican will be closed and the. Catholic religion will stop for a while. Communism will seep...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
Wanasiasa 40 walipata ajali mbaya porini mkulima mmoja alipoona hivyo alichimba shimo na kuwazika wote pamoja.alipoulizwa na polisi juu ya maiti mambo yalikuwa hivi; POLISI: zipo wapi maiti...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
...nimekosa swaga la kuanzia!! Sijalipwa na wala sina interest yoyote na 'Valentina'.. Valentina alishaishi nje sanaa, Majina ya waliowahi kumtokea hapa na kulia sana PM ni haya...
4 Reactions
105 Replies
5K Views
Nimepewa ultmatum na ndugu zangu nitafute mke. Kwa vile shughuli za kiofisi zinanikeep locked nimeona njia rahisi by hooks and crooks ni kumnasa Lara 1 au Charming lady. Maisha ya sasa hayahitaji...
2 Reactions
43 Replies
4K Views
~Kama salam ni aibu niko tayari niaibike kwa ajili yenu. ~Kama salam ni mali niko radhi nifilisike kwa upendowangu kwenu. Kama salam ni lawama ni bora nilaumiwejuu yenu. ~Kama salam...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Je, mchepuko huondoa stress au huongeza stress?
0 Reactions
4 Replies
978 Views
Yawezekana ni tatizo la wachache au wengi au yawezekana pia ni tatizo langu pekeyangu lakini kwakweli mvua hii imenitia hasara kubwa yani ndani ya wiki moja nimeshapoteza miamvuli mitatu...
0 Reactions
32 Replies
2K Views
Nilikuwa kwenye usafiri wa 'public' jamaa mmoja akauliza kwanini wahudumu wengi wa baa (maarufu baamedi) huwa hawatumii glass pindi wanapokunywa bia? Nilifika ninapokwenda kabla sijapata jibu...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Ameaga vizuri anakwenda kuangalia mechi, lakini akamatwa ugoni wakati hata mpira wenyewe haujaisha. Ni hatari sana jamani kwanini msiokoke?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mimi naanza jamani kwakwel kwa muonekano wa haraka.. napenda sana mwanaume mweye rangi ya brown(maji ya kunde) akiwa na mvuto kiasi usizidi sana
5 Reactions
342 Replies
36K Views
Hizi mvua nasikia zumejiunga na bando la mwezi, tupia mbali mb8 #hazibeep #zinapiga lol.
0 Reactions
0 Replies
494 Views
sisi wembamba atukondi
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Umbea kazini upo kwenu na mbona hawakosi kila sehemu?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kyaal ghai mahadhapa,namaskar.Larki gaal larki gaal larki boi navajurat.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Aisee kesho lazima tusikie majanga. Ni noma. Nimemwambia wife nalala Abla apartments, kasema nichukue hata boti nifike home. Ana roho ngumu sana huyu mwanamke.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Natafta rafiki wa kweli Tukutane PM
0 Reactions
3 Replies
794 Views
Kule Kwa Wenzetu Wanautamaduni Wao Kila Wanapolala Mfn: USA-Good Night UK-Nice Dream Australia-Enjoy the night Canada-God Be With You Tonight. Ila Kwetu Sasa Arusha-Usisahau Blanket Dsm-Umefunga...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani, Bwana Yesu Asifiwe! Habarini Za Asubuh! Basi Kama Umeamka Salama Mshukuru Mungu. Iko Siri Pia Ktk Kumka Mapema Kwani Adui Mkubwa Wa Mafanikio Ni Muda. Na Kama Biblia Inavyosema Kuwa...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakuu, Naomba ku'declare interest' kwa huyu dada ni kuwa ananisuuza mno azungumzapo hivo hupunguza 'stress' zote. Ninazokuwa na kupenda kusikiliza kipindi chao cha "Yaliyomo Yamo" radioni...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Waungwana tuambiane, Hivi ukubwa wa mtu unapimwa kwa kuangalia nini? -umri alionao? -majukumu aliyonayo? -mawazo aliyonayo? -pesa aliyonayo? Au nini? Maana kila kila mtu siku hizi anajiona mkubwa!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom