JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nakutakia kila la kheri kwenye kuadhimisha siku ya leo UncleUber. Pamoja sana...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu, Nipo hapa Ifunda Iringa nafaidi ulanzi,ugimbi na kiti moto na nyama choma. Karibuni sana
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Download hapa>>>https://youtu.be/Y7CLYIU0P4A
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Sasa jaukwaani huku JF mkiona zile thread za kitoto na miandiko ya kama FB na vitukovituko msiwalaumu maana sikuhizi watu wanamaliza form 6 wengi wakiwa na umri mdogo na akili za kitoto vilevile...
0 Reactions
3 Replies
927 Views
Ebhanae wasiopanda daladala wanayakosa haya: 1-atakupa nyuma 2-ntakupa nikikaa vizuri 3-ngoja isimame ntakupa 4-atakupa mbele 5-hujapewa nyuma? zamu yako kufunguka sasa
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Jijini Dar es Salaam Nalisikia Peke Yangu Tu au Nanyi Huko Mliko Mnalisikia? Ni Baridi Kali Hadi Linaingia Ktk Mifupa Na Kutetemesha Mwili. Hivi Kwa Staili Hii Kuna Kuoga Kweli Leo au Mwendo Ni...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Usiku kuamkia leo nikiwa ndotoni:- rafiki yangu akanipa miadi ya kutoka lakin pia akaniambia anatumia fursa hiyo kunitambulisha kwa demu wake, tuko sehemu ya tukio akafika mwanadada mzuri kweli...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Naomba nizikiri wazi kuwa ni ngumu kwangu kuishi bila mchepuko.Ziko sababu nyingi zinazopelekea kuwa na mchepuko mathalani jinsi anavyokunyenyekea na ubunifu kitandani. Mchepuko wangu nimeusevu...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Wakuu, Kuna huyu Dada wa Airtel ambaye anajibu watu pale unapopiga namba ya Airtel na haipo hewani au haipatikani, napenda sana kusikia anavyoongea, ana slang za kufa mtu ukijumlisha na sauti...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kubwa zaidi ni ya wanywaji pombe (vilevi) wanapanga mkakati wa punguzo bei ya vinywaji na kwa kuwa Serikari yetu siyo sikivu, wanapanga mgomo ambao utahusisha baa na zote kufungwa na walevi...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wengi walivunja mbavu katika mji wa tanga baada ya kichaa mmoja kununua kiberiti iliyokuwa imechorwa kifaru.La kushangaza ni kuwa alikuwa amekataa dawa kwa muda mrefu.Alipotingisha kile kiberiti...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
1.italy wilk be conquered by communism. Cardinals and bishops will be killed. For a time the. Vatican will be closed and the. Catholic religion will stop for a while. Communism will seep...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
Wanasiasa 40 walipata ajali mbaya porini mkulima mmoja alipoona hivyo alichimba shimo na kuwazika wote pamoja.alipoulizwa na polisi juu ya maiti mambo yalikuwa hivi; POLISI: zipo wapi maiti...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
...nimekosa swaga la kuanzia!! Sijalipwa na wala sina interest yoyote na 'Valentina'.. Valentina alishaishi nje sanaa, Majina ya waliowahi kumtokea hapa na kulia sana PM ni haya...
4 Reactions
105 Replies
5K Views
Nimepewa ultmatum na ndugu zangu nitafute mke. Kwa vile shughuli za kiofisi zinanikeep locked nimeona njia rahisi by hooks and crooks ni kumnasa Lara 1 au Charming lady. Maisha ya sasa hayahitaji...
2 Reactions
43 Replies
4K Views
~Kama salam ni aibu niko tayari niaibike kwa ajili yenu. ~Kama salam ni mali niko radhi nifilisike kwa upendowangu kwenu. Kama salam ni lawama ni bora nilaumiwejuu yenu. ~Kama salam...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Je, mchepuko huondoa stress au huongeza stress?
0 Reactions
4 Replies
976 Views
Yawezekana ni tatizo la wachache au wengi au yawezekana pia ni tatizo langu pekeyangu lakini kwakweli mvua hii imenitia hasara kubwa yani ndani ya wiki moja nimeshapoteza miamvuli mitatu...
0 Reactions
32 Replies
2K Views
Nilikuwa kwenye usafiri wa 'public' jamaa mmoja akauliza kwanini wahudumu wengi wa baa (maarufu baamedi) huwa hawatumii glass pindi wanapokunywa bia? Nilifika ninapokwenda kabla sijapata jibu...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Ameaga vizuri anakwenda kuangalia mechi, lakini akamatwa ugoni wakati hata mpira wenyewe haujaisha. Ni hatari sana jamani kwanini msiokoke?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom