JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari wana MMU, Kwa mara ya kwanza nimeona mchepuko kani save 'Asante' sijashangaa sana si unajua weekend bwana kaacha simu kaenda washroom nikambeep naona asante! Wewe wako amekusave vipi...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Ulivyomuacha ulikuja kwa kufurahia ooh nimempiga chini, eti hana ishu yule. Leo umeachwa mwanzo mwisho unatulilia,ooh jamani anaondoka mbona sijamfanyia kibaya. Hukumbi ulivyomuacha yule mwingne...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Bila kujali rangi, kabila, itikadi wala dini nawatakia jumapili tulivu na maandalizi mema ya kazi kwa wiki ijayo
0 Reactions
4 Replies
1K Views
UNGEKUWA NDIO MZAZI UNGEMJIBU NINI HUYU MTOTO????.. MTOTO ana wauliza WAZAZI wake "Hivi BABA na MAMA j,, mnaweza kutoa gari na kumpa house girl ??" WAZAZI wanajibu, "gari letu linathamani...
1 Reactions
33 Replies
6K Views
Hivi na nyie kuna wakati huwa mnaenda pm kwa mkaka kumchokoza vijisalamu vya hapa na pale?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
HALMASHAURI YA WILAYA YA ROMBO TANGAZO LA KAZI Halmashauri ya wilaya ya Rombo kwa kushirikiana na chama cha wanaume rijali Tanzania (CHAWARITA) inatangaza nafasi elfu saba na miatano (7500)...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Kumeibuka tabia mbaya ya baadhi ya wanawake kumuita mwanaume (Mpenzi wake)"BABY". Kwa kawaida ni mtoto mchanga. Inasikitisha kwa mwanaume mtu mzima / mzee kuita BABY naye anakubali kuitwa jina...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
"Poor people make love, rich people https://jamii.app/JFUserGuide"
0 Reactions
2 Replies
630 Views
Eti kama ni mkutano wa wanatechno utakuwa uwanja wa taifa,Samsung Serena hotel, HTC Kilimanjaro hotel.acheni hizo
0 Reactions
2 Replies
943 Views
Naamini mko poa, Wataje members unaowakubali sana humu jamvini kwa posti zao na thread zao pia kwa walio mahiri kuchangia.Pia na wale member wanachangia kwa busara.
2 Reactions
144 Replies
9K Views
Wanachitchat hamjambo, Niko very serious. Nataka wale wote tuliodumu humu JF kwa zaidi ya miaka mitatu bila kulimwa ban tuunde kikundi kitakachoitwa WAGUMU/UNBANNABLES. Madhumuni: 1.Kupeana...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Ni kwa nini lakini mnatufanyia hivi sisi wakazi wa Kigamboni? WHY!??? Tangu jana mmekata umeme, mkipigiwa simu ipo busy muda wote mmerudisha leo na kukata kama vile ni taa za christmas...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Kwanini huwezi kuona/kusikia gari Kama BMW X5,L.CRUISER V8 au Mercedes Benz S class inapita huku imefunguliwa mziki kwa sauti ya juu sana!? Ila hio ni kawaida kwa vigari kama vits,passo,starlet...
0 Reactions
2 Replies
773 Views
1 Reactions
8 Replies
11K Views
Baada ya kupata jeraha la kwenye nyugunyugu kutokana na kujifanya mie stalingi kama jaki chani kujaribu kila staili matokeo yake najiuguza wiki sasa nyumbani. Kilichonifanya niwamegee hii info ni...
1 Reactions
38 Replies
5K Views
Kina dada, Kwa wale wote mnaopenda kujipatia wabeba maboksi wenu nitumieni PM. Mimi kama raisi wao hapa JF nime compile bonge moja la profile database na lina karibu kila kitu upendacho kujua...
9 Reactions
161 Replies
11K Views
Mna uhakika hawo ndio wale vyura waliochukuliwa kutoka kwetu?? wasije wakawa wametilurejeshea makanyaboya!!! Nadhani tusikilize milio yao. vyura wa marekani lazima watalia kimarekani yo...
0 Reactions
3 Replies
925 Views
********************* Nilienda dukani,nikakuta na mrembo anayeuza hapo dukani,nikawa naona aibu kusema nataka kununua Condom,akagundua mwenyewe na kuniambia unataka salama eeeh? Nikasema...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Heshima kwenu wadau, Kuna jamaa m:horn:moja huku JF anaitwa Remote jamaa ni noma sana kwa muda mrefu nimekua nikifuatilia nyuzi zake pamoja na comments anazoziweka humu. Ilibidi nifanye hivyo...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Nikae njia kuu? Kwani mimi treni?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom