JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
kuna jamaa mmoja alienda katika kijiji fulani. Akatokea kumpenda msichana fulani .Na yule msichana alikuwa wa ukweli, sio zobazoba. Jamaa akasend request yake demu kamkubali. Jamaa akauliza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna jamaa alimpenda mwanamke sana, kiasi kwamba chochote atakacho anampa. Siku moja jamaa alimuahidi demu kuwa atamfanyia suprise. Jamaa siku imefika akamtumia elfu mbili 2000/=, basi demu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mzunguko wa elimu Africa: 1- Wale wanafunzi wanaoongoza shuleni hupelekwa kwenye engineering na medical schools huku 2- Wale waliokuwa wa wa pili wanachukua zao MBA na LLB na kuja kuwa mameneja...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu zangu wa TZ .Nachukua fursa hii kutoa salamu kwa watu wa rika zote.Najivunia kuwa mtanzania PIA napenda kuona nchi yetu inakuwa na amani pia TUDUMISHE MUUNGANO WETU.TUFANYE UCHAGUZI WA AMANI...
0 Reactions
2 Replies
957 Views
Ujinga ni kufuta namba ya mchumba wako wakati kichwani ulishaga inakili. Sasa basi kuanzia leo usifanye kitu kibaya kama kile.Kwanza kusalitiana ni kitu kibaya sana, mpaka inasababisha baadhi watu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari, Naomba mnielekeze shule ya sekondari Mbekanyira ipo wapi? Je ni mjini au vijijini?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
ndani ya gari inayotosha abiria wanne , mpare akiwa amepakia abiria wawili aliombwa lifti na abiria wengine wawili akakataa. Eti anadai mafuta hayatatosha.
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Inawezekana ndio kundi lenye majina mengi humu Jf. Ni majina ya Jr ambayo yameonekana kushika kasi ya ukubwa wa wingi wao. Hawa ni member wachache wa Jf wenye majina ya Jr. mshana jr Rene jr...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Nalianzisha
0 Reactions
33 Replies
2K Views
chizi mmoja alikuwa kazungukwa na watu wakimsikiliza, chizi: mimi nashangaa kuona mtu anaibiwa nguo. watu: sasa tufanyeje ili tusiibiwe nguo. chizi.: ukitaka usiibiwe nguo njia ni rahisi tu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
I arrived in Dar Es Salaam safely. I traveled via Pricess Munna from Mwanza to Dar, and the journey was extremely tiring and not as exciting as i thought it would be.We left Mwanza at 6:05 in the...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Tafadhali husika na mada ya hapo juu. Mimi ni kijana nisiezidi miaka 30 ni mwenyeji wa Zanzibar. Dhumuni la barua ni kukueleza tangu nipate kukufahamu kupitia Jf unaukosesha raha moyo wangu...
1 Reactions
85 Replies
5K Views
Leo nafungua thread ambayo kupitia hapa kila awezaye atatoa hoja ambayo ukiifanyia utafit ( to prove it... especially simple utafiti) utagundua kuna ukwel kuhusu hicho kitu! Kwa kuanzia; 1...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
kwa kizazi hiki cha leo imekuwa ni fashion kwa vijana kuanza testing ya kuishi kama mke na mume then baada ya kupata mimba ndipo inapowalazimisha kufunga pingu za maisha au kuvunja uhusiano kabisa...
0 Reactions
0 Replies
982 Views
Kama demu wako anapenda chips mfungulie kibanda Kama demu wako anakuomba sana pesa mwambie akuvumilie bado unamtafutia kazi bank......kama......
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwenye maisha ya uswahilini na pwani huwa kuna kashda za Pwani, kwa namna hiyo basi hapa nazungumzia Pwani kwa ujumla maneno ya waswahili wa pwani hunikosha sana na huwa kuntu tena pambee tena...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwalimu aliwaambia wanafunz wajifanye ni wanajeshi walioshirik vita ya Uganda waandke insha isiyopungua maneno 100 kuelezea Vita ilivokuwa. Wakat wa kusahisha mwalimu akakuta mwanafunz mmoja...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Ukiona umefungua topic hii ili ujifunze namna ya kutumia vocha za mitandao ya simu iliyotuka ujue wewe ni kati ya wanaopenda vya Bure ila sema haujijui tu. So nimekusaidia ili ujijue kuwa...
0 Reactions
20 Replies
9K Views
NI STORI YA KWELI ILITOKEA MIAKA YA NYUMA SANA watu walikuwa wakiangalia mwezi mwandamo kwa ajili ya mfungo wa ramadhani,vijana kwa wazee. mara mzee mmoja aliyekuwa anakaribia miaka mia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tunafanya sensa ya madanguro kuanzia banana kuelekea chanika. Mwenye kujua amwagike tafadhali ili tusaidie mabadiliko ya kijamii
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Back
Top Bottom