JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
What does ACT stand for? A=Akikatwa C= CCM T= Tunamchukua
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadai wote wa JF ambao mlizaliwa tarehe kama ya leo, 10 Julai miaka kadhaa iliyopita, nawatakia maisha marefu yenye baraka, amani na afya tele. Mimi Vyamavingi siku hii ni ya kipekee sana kwani...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Wadau, Nilipata majanga baada kupoteza simu sasa nimerudi upya naomba mnipomkee kiroho safi
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba tujumuike hapa wale wote waliomaliza shule 2007 ktk shule ya sekondari kilombero na kukumbushana mambo mbalimbali ikiwezekana tupia no tujumuike wote watsapp
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Unajua USSR siku moja inaweza kuungana tena. Pia Zanzibar kama ilivyokuwa Ujerumani Magharibi na Mashariki. Kama unaifahamu sudan haiko mbali sana na sisi, Mwandosya tayari ana Airport ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Binafsi najua wapi natusua, ila Dar kila mtu ananunua gari. Mmeanza kuuza madawa siku hizi au?!
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Mliopita sengerema sec hebu tukumbushane mawili matatu.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu, Tulikuwa tufunge ndoa baada miezi tatu, baada ya kuweka bayana kwa wazazi wa pande zote mbili kumbe mwenzangu ni gamba, nimeamua kuvunja ndoa baada ya kuniambia msimamo wake kwamba hawezi...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Nadhani sasa vituo vyote vya polisi nchini vifungwe SAA KUMI JIONI kama mabenki!!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mambo vipi wakuu, Katika harakati za kutafuta ajira mjini nikawa nimemtembelea swaiba wangu ili tufanye application sote tumesoma public administration pale UDSM kabla ya kuendelea ngoja...
2 Reactions
30 Replies
6K Views
Wala bata mjini tuonane hapa bhana,, this weekend nilikuwa na plan za kutoka kwenda zangu savvana (posta mkapa tower) kiwanja changu nacho kikubali,, sasa kiwanja chenyewe kimefungwa almost mwezi...
1 Reactions
3 Replies
814 Views
Wanawake wote wana... NB: Tusitukane.
0 Reactions
1 Replies
711 Views
Toto moja lilikuwa na tabia ya uvivu wa kupindukia, siku moja limekaa chini ya mti linacheza na baba yake anasoma gazeti kibarazani. Mara likahisi kiu ya maji ila likaona uvivu kwenda ndani...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Virginity is like a balloon, 1 prick & it's gone forever! Sex is like a pack of chips, once u start can't stop! Exam paper is like a dick, wen it gets hard people get fu.cked! Work is like group...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Unajua katika ulimwengu wa digital na mitandao ya kijamii kumekua na mambo mengi sana yana fanyika lakini moja wapo ni ili la kupost picha za utupu na watu kuziangalia. Lakini katika pitapita...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hii hali ime kua kroniki,siwezi kupata usingizi bila kuweka mkono kwenye viungo vya uzazi nisipo fanya hivyo basi usingizi hauji kabisaaa.na niki amka ni hivyo hivyo mkono lazma uende ikulu...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Salaam mu-bukheri? Sasa mie umri ni kama 63 hivi. Nimeota mvi dawa yake ni nini? Pia nimeota meno mapya baada ya kukaa mapengo muda kadhaa. Halafu mkono wa sweeta kwa mbaali naona kama wataka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Lete story za siku ilivyokwenda
1 Reactions
50 Replies
3K Views
Kuna kazi ngumu sana aisee zinaitaji uwe na imani zaidi ya nabii kweli unakamata mzigo huu umaupeleka ofisini....
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom