JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
I've visited T.Z a few times recently, Arusha to be specific and I've got to admit I have lost count of the number of times I had my head turned by the beauty of your women. Kwanza them bootays...
1 Reactions
4 Replies
881 Views
Is this number already out T2015CDM. I really need this number for my new toyota prado i have ordered. Any one with an idea?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nina safari ya kikazi maeneo ya Leesburg, VA. Ningependa kuonana/ kujuana na members wa Jamii forums walio huko. Unaweza ni PM.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Jana nashukuru baada ya hotuba ya Freeman Mbowe kumalizika, nilikutana na katibu CCM itikadi na uenezi, kama kawaida hakosagi neno, sambamba na utani wake kwangu, akaniuliza" " Tumemsikia...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Baada ya kukaa bongo mzungu alijifunza maneno matatu JAMBO,SALAMA NA SAFI SANA. cku moja alikutana na #mdau mmoja hivi. Ikawa hiv. mzungu~ jambo? Mdau~ sijambo. mzungu~ salama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeamka leo siko sawa mwili wangu unauma sana nafikiri sijui mafua yananinyemelea hata sijui.Ila nikumshukuru alie juu. Nawatakia Alihamisi njema
0 Reactions
4 Replies
901 Views
Habari zenyu binafsi, Jamani naomba kufahamu jinsi ya kutengeneza gongo Iwe ni ile ya au ya ndizi, au ya zabibu. Maadamu iwe gongo. Natanguliza shukrani CL
1 Reactions
1 Replies
617 Views
....kati ya aliyechomwa kisu, aliyezama majini na aliyepigwa risasi.
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Na utabaki kuwaita shemeji eeeh habari.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Watanyooka tu!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna taarifa zinasambazwa mitandaoni. Daaaaaa inatisha!!!!!. Ipo Hivi; RISALA FUPI YA MAREHEMU CCM: Marehemu CCM alizaliwa 05/07/1977, enzi za uhai wake marehemu alijishughulisha na kuua mazao...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kijana Mmoja alifungwa jela miaka 7, baada ya miaka miwili 2 baba yake alimwandikia barua, 'MWANANGU MPENDWA UMENIACHA KATIKA HALI YA UMASIKINI NA MARADHI YANASUMBUA NATAMANI HATA UNGEKUEPO...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamaaa kapoteza mali zoote na akawa masikini wa kutupwa sababu ya ulevi. Siku moja akapita karibu na dampo na kuona chupa za bia..Kwa hasira akachukua ya kwanza na kuipasua akisema " kwa sababu...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
Najua ni moja kati ya matangazo yenye mvuto sana....lile tangazo la NDOOOOROBOO...nimefatilia nikagundua hawakua makini katika utengenezaji wake....anapokuja jamaa anauliza body spray anaambiwa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Wengi wa age go katika jukwaa letu pendwa hili la Chit Chat tumepoteaaa. Wito wa dereva tajwa hapo juu ni kwamba niwaombe wadau wote kurudi hapa jukwaani. Wafuata wametakiwa kurudi immediately...
6 Reactions
61 Replies
6K Views
Habari za kutwa pipoz, Poleni na majukumu ya kutwa mzima, najua watu wako busy huku na kule kati ya team Lowasa na team CCM bin Magufuli, hii unaitwa endless movie hadi October 25, 2015 na pale...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Lawasa amwonya Napi kuwa Goli la mkono mwisho bafuni.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Today is the day i was born,decades ago, the day my parents felt blessed!happy birth day to me!karibuni keki wakuu
0 Reactions
5 Replies
819 Views
Wakuu, Watu wengi ufunga ndoa bar pasipo kujitambua,ukienda bar ukapata msichana changudoa au mhudumu, utaanza kufunga nae ndoa kama ifuatavyo! Bia ya kwanza utakayo mnunulia...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom