JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Caroline Kiyoki: Niaje James? James: Poa Caro, za Kenya? Caroline Kiyoki: poa. You are lost au uko kwa campaign ya Tz? James: hapana, Caroline Kiyoki: Ati nikuulize kitu? James: Yap...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Kila uwanja wa mpira wa miguu (hasa viwanja vya wazi) unakuwa na njia katikati kutokea kona moja hadi nyingine (kama diagonal)......karibia viwanja vyoote.....hivi sababu ya hii kitu ni nini...
0 Reactions
3 Replies
894 Views
Kama club vile kumbe wapo hewani mmmh! Mpaka naogopa yaani kuangalia mwenyewe daah huyu dada nasubiri tu ziwa lichomoke tii ndukii!
2 Reactions
132 Replies
9K Views
Kwa mda mrefu sana nimefuatilia uelewa wa watu (wa tz) na ushiriki wao katika habari mbali mbali zitupiwazo katika mitandao ya jamii kwa kweli ni muamko mzuri, kama utatumika vizuri kuweka mbali...
0 Reactions
6 Replies
913 Views
Jana nilienda kupima mita 200 kutoka kituo changu cha Kupiga kura nikakuta Bar Nimefurahije!! ‪#‎PigaKura‬.........Linda KuraYako
0 Reactions
1 Replies
910 Views
Habari jf, Nimetoka kupima hatua/mita 200 kutoka kituo changu cha kupiga kura nimekuta zinaishia sokoni nimefurahi sana kwa maana hapo nitakaa kulinda kura na eneo hilo huku biashara zinaendelea...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
BREAKING NEWS: LEO Mama mmoja alikuwa anafanya usafi chumbani akakuta kisanduku chini ya uvungu. Alipokifungua akakuta mayai 5 na shilingi milioni 1. Aliporudi mumewe akamuuliza, "Kisanduku...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Wadau, Jana nilienda kupima mita 200 kutoka kituo changu cha kura nikakuta bar. Nimefurahije!! #PigaKura...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
BOY-Mambo baby. GIRL-kimyaaa. BOY-Mbona kimyaa mpenzi wangu? GIRL-kimyaaa. BOY-6756665497789467 Tigo. GIRL-Mbona haiingii my love? BOY-Gongelea na nyundo nyambaaf.
0 Reactions
3 Replies
805 Views
RATIBA YANGU 25/10/2015 1. Naamka saa 11 asubuhi, nawaombea wote waliokomboa nchi hii toka kwa wakoloni na waliokomboa nchi hii kutoka kwa mvamizi Nduli Idd Amin ambao leo hii wanaonekana...
5 Reactions
35 Replies
3K Views
1. Naamka mapema sana 2. Nakunywa juice ya ukwaju kupata hasira 3. Naangalia picha kadhaa za wamama wamelala zahanati wanne wanne 4. Naangalia picha ya mwangosi 5. Nakunywa tena juice ya...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Ukishasoma hapa kantaftie mke
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Ndugu zangu kubeba nauli kamili nayo ni shida, yani nimepanda daladala Kondakta mmoja akaingia kwenye gari amevaa suti za blue za daladala na miwani Kisha akakusanya pesa gari Zima alafu akakaa...
2 Reactions
31 Replies
8K Views
siku moja Abunuas kamkodishia muhindi moja vyumba kwenye ghorofa yake ila yeye anakaa chin muhind juu.sasa abunuas akataka kuuza ile ghorofa muhind akakubal kununua juu tu na hivyo abunuas...
2 Reactions
42 Replies
75K Views
Ivi hii ni kwa wanaume wote au mimi yaan kila ninayetaka kua naye kama mpenzi ata wiki haishi ataniomba kodi ya nyumba. Sa sijui nina nyota ya nyumba au hii ndio habar ya mjini kwa sasa...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Hello! Naomba kujua, hata wanaume wenzangu mnaweza kunisaidia. Kijana unampigia simu binti (aweza kuwa mpenzi ama rafiki yako), anachelewa kuipokea simu, unapiga mara ya mwisho baadae...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Leo ni siku ya tatu hawakati umeme, siwaelewi hawa TANESCO hata kidogo! Mitambo ya tera ishazimwa navya Kidatu within 24 hrs itazimwa pia, ila umeme hamkati. Hebu kuweni wachapakazi, do your part...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
KUNA KOO ZIMEJIWEKEA "UFALME" WA KUWATAWALA WATZ NA NYIE MMEFENYWA "WATUMWA" WAO.. 1.Mtoto wa Kikwete anagombea 2.Mtoto wa Mavunde anagombea 3.Mtoto wa Warioba anagombea 4.Mtoto wa Sitta...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
wakuu naombeni msaada wa kupata hirizi ya simba hili niimeze na nipate nguvu kama za simba na uwezo wa kumpambana na wanaume 40. kwa sababu kuna wajamaa fulani wamenizingua hapa mtaani sasa...
0 Reactions
24 Replies
9K Views
Sio kama nalalamika... Dah!! Kuna kamtindo kamezuka humu ndani baadhi ya warembo kuzibana PM zao! Nimeongea na baadhi na wanadai wanakwepa usumbufu, sasa kwani kila usumbufu lazma muujibu...
6 Reactions
203 Replies
13K Views
Back
Top Bottom