JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mume: Mke wangu kuna kitu nataka kukwambia? Mke: Kitu gani? Mume: Nataka kuoa mke wa pili. Mke: Unasemaje we mwanaharamu?! Tehe tehe tehe kilichoendelea mi sijui!
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Haiwezekani kabsa!
0 Reactions
1 Replies
797 Views
0 Reactions
21 Replies
4K Views
jamaa mmoja kavamia semina ya wasomi iliyofanyika ubungo plaza jumamosi iliyopita,waliohudhuria wakaanza kujitambulisha wa 1;naitwa anna toka sua nasoma agriculture science mwaka wa kwanza wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
baby naomba unicredit voch ya 5000/-pia ukija hostel usisahau kuja na chips kuku mzima b.cause niko na mashost zangu,afu nadaiwa 50,000/-nilikopa dear,na please naomba uniongezee 30,000/-ya vitabu...
1 Reactions
0 Replies
789 Views
Jana kuna dada mmoja nilikutanishwa nae ili nikamuonyeshe mzigo flani anahitaji. Nikampigia simu akasema niko sehemu flani nimfate na nikafanya hivo. Kufika tu Hatujuani, ndio tunaelekea sehemu...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Nimekuwa nikiona watu mbalimbali wanafanya hizi sherehe za kuzaliwa wanamwagiwa maji wanaloa tepe tepe ipo siku mtaua mtu na huo ushamba wenu, kwanza sherehe gani hiyo ya kumwagiana maji kiasi...
2 Reactions
71 Replies
8K Views
Slogan au our motto: Inaweza kuwa ni mara ya kwanza au si kitu kipya humu jamvini lakini nimejaribu kukumbuka mbali kuhusu kaulimbiu hizi wakati wa sekondari shule niliosoma mimi kaulimbiu...
0 Reactions
0 Replies
752 Views
Mapenzi ya Kibongo ni ya aina yake duniani, yaani hakuna pa kulinganisha, hivyo nimeona leo nitoe somo ili kuwasaidia vijana na wazee, wake kwa waume namna ya kuishi kwa furaha katika mapenzi ya...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Kama Unaweza Kudhani Najikomba kwa mods USHINDWE VIBAYA KWA JINA LANGU Waswahili husema usione vyaelea vimeundwa na chanda chema huvikwa pete hongereni sana kwa muundo mpya niwe wazi kwamba na...
1 Reactions
0 Replies
932 Views
Mama mmoja mjamzito jirani yetu hapa alikaa jikoni na mtoto wake. Bahati mbaya akajisahau akakaa vibaya mtoto akaona m*vuzi akaropoka, "Mama safari hii utazaa dume." Mama yake akauliza, "Kwanini...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kijana mmoja aliyefikia umri wa kubalehe alikuwa analala chumba kimoja na house girl. Chumbani kulikuwa na kitanda cha double decker, kijana analala chini house girl analala juu basi kijana kwa...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakati natoka mazoezini nimekutana na dada mmoja nikamsalimia, "Dada habari?" Akanijibu, "Unikome mi mke wa mtu." Nikamwambia, "Sawaa." Nikaondoka zangu hata sijafika mbali nikastuka yule dada...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Bilinge bayoyo bilinge bayoyo x2 Namuomba dada Andunje akae chini tuyaone maringo yake bingili bingili mpaka chini (Hapo dada Andunje anakata kiuno balaa tehe tehe tehe!)
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jana kulikuwa na sinema ya bure humu JF. Mkuu Simiyu Yetu aliweka bandiko lake kwenye Jukwaa la Siasa akidai kuwa yuko Arusha na ametafiti jambo. Ametafiti na kujua kuwa Lowassa hakubaliki Arusha...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Salaam wakuu... JF ina majukwaa mengi, zaidi ya kumi. Hivi ni jukwaa gani haujawai hata siku moja kulifungua na hata kusoma post zake? Hapa namaanisha haulielewagi...
0 Reactions
4 Replies
775 Views
Hello, From the other side naomba kujuzwa hivi Tyta yuko wapi? Moja ya watu muhimu sana hapa JF kwenye suala la picha mbalimbali.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Heri ya mwaka mpya wanachichat wote. Namshukuru sana Mungu kunifikisha hapa kwa sababu leo miaka dazani kadhaa iliyopita nilizaliwa. Thanks God, today is my birthday!
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwa wale WANAOJITEGEMEA na wamepanga Nyumba au chumba, hivi huwa unajisikiaje pale tarehe za kulipa kodi zinapokaribia na huna kitu mfukoni na ukifikiria mwenye nyumba ni BANDIDU, au hata kama...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Msamaha wa kweli unahitaji Neema ya Mungu. Sikiliza hii, Kuna jamaa mmoja na Mkewe walikuwa wanasafiri kuelekea Italia kwa safari ya kibiashara kwa ndege. Wakiwa angani likatoka tangazo kwamba...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom