JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jamaa alikuwa kitandani na mke wa mlevi ghafla mlevi aliingia chumbani kwake huku akiwa amelewa njwiiiiih alipanda kitandani alipo kuwa mke wake na jamaa wakila uroda walipo muona wakajikausha...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
*UMESOMA NCHI ZA NJE* Nauli nenda rudi mil 15 Ada ya chuo mil 30-40 *Umekuja bongo umepata kazi ya laki 4 (marupurupu ziro) My dear lima bangi, Mungu ni mwema atakuelewa tu* [emoji16]...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
1) Nitakupa. 2) Atakupa mbele. 3) Hujapewa mbele? 4) Utapewa nyuma. 5) Nitakupa nikikaa vizuri. 6) Ngoja isimame nikupe. 7) Subiri asimamishe nikupe. 8) Hivi nilivyokaa nitakupaje? 9) Utapewa...
8 Reactions
44 Replies
5K Views
Uzi unaweza ukamkuta mtu katika mazingira yoyote akajikuta ametoa comments za kufurahisha,kuelimisha,kukatisha tamaa n.k. Kutokana na kwamba comments ndio msingi wa J.F namaanisha hakuna UZI bila...
0 Reactions
1 Replies
659 Views
Kama wewe ni mwanaume na ulipohitimu high school ulivaa joho na bado mpaka sasa upo nyumbani basi ni dhahili kabisa ulikuwa umevaa dela bila kujitambua
1 Reactions
2 Replies
993 Views
Ngoja nimalizie Ichi kiloba Changu ntakuja kukwambia uyu ni Nan...
0 Reactions
3 Replies
819 Views
Habari wadau Kwa muda mrefu sasa nimekuwa najiuliza swala hilo kwenye heading bila jawabu naishia kujaribu kulinganisha na watu wengine mfano Mchoraji wa picha anachora picha pengine kwa siku 3...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
FANYA MAKOSA YOOTE LAKIN SIO KUMPA ZAWAD YA MAUA MSICHANA .......WA KINYAKYUSA LEO KANITUMIA MESEG BABY SASA MBONA MBOGA ENYEWE CHUNGU AU NIMEKOSEA KUUNGA MWEH NINGEWEKA NA KARANGA...
1 Reactions
5 Replies
809 Views
Binti ukimpa hela Kwao hata Hawaulizi kazitoa wapi, mpe mimba Sasa uone Watatafuta mpaka Hyo gesti Mlikopeana hyo Mimba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu habari? Kama mnavyokumbuka kuna siku nilileta uzi humu kuwa natangaza kuachana na pombe rasmi kutokana na kushndwa kuicontrol na kujikuta nikifanya ishu za ajabu. Asa enzi za ulevi wangu...
5 Reactions
67 Replies
7K Views
Jamani wakuu kwa experience yangu ndogo ndani ya jiji la dar nimegundua kuwa,kumlipia demu nauli ya sh 400 kwenye daladala kuna thamani zaidi ya kumuhonga laki.... Jamani leo nimeshukuriwajeee
4 Reactions
1 Replies
920 Views
#Teacher: n0w is september, next m0nth is called? #Student: is called SEPCHEGE nimeacha maandalizi ya kumpeleka m0nchwari Goodluck Mchika (official blog 2016)
0 Reactions
2 Replies
1K Views
.." Hivi Utajisikieje Utakaposikia Rafiki Yako wa Karibu Hajaja Kwenye Mazishi Yako ??? Nadhani Mimi Sitamwongelesha Tena !!!! [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
3 Reactions
8 Replies
2K Views
*Nimekutana na mapolisi town wakaniuliza mbona unatembea usiku. Nami nikawauliza kwani usiku watu wanaogelea?...sasa hivi nipo zangu kwenye difenda I think wananipeleka home*
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hii ni Sentensi Ya Mwanafunzi Wa Darasa la tano Baada ya kuambiwa Tunga Sentensi kwa Kutumia Neno "Under"... "The Boy Is Under the Girl" je ungekua mwalimu huyu Mwanafunzi yuko Sahihi kwa...
0 Reactions
2 Replies
592 Views
wakuu nahitaji kujua sehemu ambayo naweza somea wizi kwa wiki kama mbili hivi ili niweze kumudu maisha ya town simnajua Christmas na mwaka mpya ziko njiani so lazima nitafute mkwanja wa kuonga...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Nipo Arusha leo Kenny bar hapa nawakaribisha sana mazee
0 Reactions
7 Replies
874 Views
Alieko online muda huu jameni....... Unafanya nn na una mpango gani utakapoaamka??
1 Reactions
26 Replies
1K Views
Je wewe ni msichana ulietendwa vya kutosha? Je hujawai pata milioni kumi tangu uzaliwe? Je umekuwa ukiomba bila mafanikio? Je umekuwa ukilala unaota unamgegeda housegirl wako? Je umekuwa ukilala...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nipo baa naangalia mpira baa nzima tupo watu kumi na wote tunakunywa maji na soda
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom