Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Mahitaji Ute wa Mayai 6 Sukari 4 dl Unga wa maizena(corn flour)vijiko viwili vya chai Siki vijiko viwili vya chai Vanilla(harufu) kijiko kimoja cha chai Dobble cream boksi moja Matunda ya aina...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
LEMON ice-cream viungo 2 spoon lemon peel kubwa 1 x kikombe (240 ml) nzima maziwa 1 x kikombe (gramu 140) kuchapwa cream ½ x kikombe (gramu 140) sukari ½ x kikombe (240 ml) maji ya limau...
4 Reactions
4 Replies
4K Views
Mahitaji Kuku wa kienyeji 1 Nyanya mbili zilizomenywa na kukatwakatwa Kitunguu maji kikubwa kimoja kilichomenywa na kukatwa Nyanya ya kibati vijiko viwili vya supu Kitunguu swaumu kijiko...
11 Reactions
52 Replies
11K Views
Mahitaji 1)Kuku 2)kitunguu maji 1 3)kitunguu saumu 1 teaspoon 4)tangawizi 1 teaspoon 5)pilipili manga 1 teaspoon 6)pilipili mboga 1 7)baking powder 1 teaspoon 8)mafuta ya kupikia 9)chumvi kiasi...
11 Reactions
55 Replies
14K Views
  • Redirect
Wapendwa..amani iwe juu yenu!! I hope u have a great weekend. Unga wa mchele glass 2 na nusu Maziwa glass 2 Sukari vijiko 10 vya kulia Iliki vijiko 2 Hamira vijiko 2 Yai 1 Jinsi ya kutayarisha...
10 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Habarini wanajamvi naomba mnisaidie mwenye ujuzi wa kupika vitumbua
1 Reactions
Replies
Views
Viburudisho vya mdomo! Vitangulizio " Matango na cheese nyeupe" Maandalizi yake ni madogo(machache) 1 tango moja/mbili ; waikata slices kwa urefu vipande vya mkate mweupe Mayonase vijiko 2/3...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari, Jamani mwenzenu naomba kujuzwa nifanyeje ili ninapo pika mchuzi uwe mzito, na kuwa wa rangi iliyokooza, inakaribia black. msaada please Unataka uzito wa kiasi gani? Anyway weka karai...
0 Reactions
36 Replies
10K Views
Good Cooking Oils: How To Choose One...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu ambaye anajua namna ya kutengeneza cheulo ningependa anisaidie kwa hilo.
0 Reactions
15 Replies
17K Views
Habari Zenu. Mwenye ujuzi wa hicho chakula. Tafadhwali. Siku njemaaa. How to Cook a Chicken Curry in Ten Minutes Ingredients 3 tablespoons (45 mL) of olive oil an onion (medium) 14 oz (400...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau, Ni muhimu unapoandaa maji ya kunywa kuzingatia usafi katika zoezi hilo. Usafi wa mazingira, chombo utakachochemshia na chombo utakacho hifadhia. 1. Hakikisha jiko unalochemshia lina...
3 Reactions
8 Replies
7K Views
Leo tumetumiwa mahitaji ya kutengeneza Chatini ya karoti, nazi na vitunguu. Hatukuelezewa hatua za kuipika hii chatini mpaka itokee kama picha ilivyotumwa, naamini mdau alikutana nayo sehemu...
4 Reactions
16 Replies
6K Views
Wapendwa za wk end? I hope all is well. Mahitaji Maziwa ya unga (vijiko 6 vya chai) Unga (vijiko 4 vya chakula) Mayai 4 Mafuta Robo kikombe Sukari kikombe kimoja (unaweza kupunguza kidogo km...
6 Reactions
38 Replies
10K Views
Mahitaji ya shira(syrup) 1)Sukari kikombe 1 2)maji kikombe kasoro 3)hiliki kiasi 4)zafarani (saffron) au arki ya rose... Mahitaji ya mkate 1)Unga wa ngano vikombe 3.5 2)mayai 2 3)maziwa ya unga...
8 Reactions
48 Replies
5K Views
Pilipili mboga Uzale/uzile kama sikosei Curry powder Nyanya ya kibati Uwatu Paprika Brocolli NB: nitaendelea kutuma majina mengine yanayonipa shida
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu samahani kwa anajua atujuze maana mf ukipita kwenye migahawa ya wahindi utakuta wana chachandu ya nazi nafikiri huwa wanachanganya na ndim na pilipili lakin mie nimejaribu sipati same taste...
0 Reactions
7 Replies
18K Views
Katika makala iliyopita Nilifundisha namna ya kupoa asidi iletayo kiungulia kwenye maharage,na tuliona kwamba huwezi kutoa asidi(phytic)yote kwenye maharage ila unaweza kuipunguza kwa kiasi...
7 Reactions
19 Replies
7K Views
Mahitaji Viazi ulaya 4 vya wastani Hoho jekundu 1/2 Hoho la njano 1/2 Hoho la kiajani 1/2 Njegere 1 kikombe cha chai Carrot 1 kubwa Broccoli kidogo Cauliflower kidogo Kitunguu 1 Nyanya 1/2 kopo...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Back
Top Bottom