Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Salaams. Nahitaji kuchinga bata wangu walau leo nami nijinafasi lakin sijui namna gani ya kumuandaa ili asiwe na shombo. Msaada pls.
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Habari wa jfchef, naomba msaada kwa mwenye utaalamu wowote wa kukoroga uji wa lishe bila kuungua, maans kila nigorogapo lazima niunguze Asanteni
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Naombeni recipe ya chapati nzuri na tamu za kukanda. Nataka huu uwe mlo wa leo nyumbani kwangu. Pia ningefurah zaidi kama ukinipatia na mboga gani niitumie kwenye huo mlo. Binafsi nilipanga...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Huko mjini mnaita popukoni, ni kazi rahisi sana. Chambua mahindi yako kutoa visivyohitajika hasa pumba ambazo zikiungua huweka weusi kwenye sufuria. baada ya hapo weka sufuria motoni na weka...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Watuamiaji wa soseji tuambiane,soseji ukinunua unakula hivo hivo?unaipasha kwenye mafuta?niambieni ukinunua soseji hatua gani zinafuata za upishi au kula hivo hivo? c.c mkwe farkhina
1 Reactions
24 Replies
15K Views
Mahitaji Mchele nusu kilo Karot 1 kubwa (ipare vizuri) Nyanya 3 kubwa Vitunguu maji viwili (ukubwa kiasi) Bizari ya pilau, curry powder, binzari ya njano na mdalasini 1/2...
8 Reactions
49 Replies
13K Views
Kuna sehemu nililiona ili pishi nikajaribu kulipika aisee ni tamu asikwambie mtu, hii ni kwa wale wenzangu na mimi wanaopenda kujaribu jaribu mapishiii. MAHITAJI 1...
7 Reactions
40 Replies
26K Views
Mahitaji Ute wa Mayai 6 Sukari 4 dl Unga wa maizena(corn flour)vijiko viwili vya chai Siki vijiko viwili vya chai Vanilla(harufu) kijiko kimoja cha chai Dobble cream boksi moja Matunda ya aina...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
LEMON ice-cream viungo 2 spoon lemon peel kubwa 1 x kikombe (240 ml) nzima maziwa 1 x kikombe (gramu 140) kuchapwa cream ½ x kikombe (gramu 140) sukari ½ x kikombe (240 ml) maji ya limau...
4 Reactions
4 Replies
4K Views
Mahitaji Kuku wa kienyeji 1 Nyanya mbili zilizomenywa na kukatwakatwa Kitunguu maji kikubwa kimoja kilichomenywa na kukatwa Nyanya ya kibati vijiko viwili vya supu Kitunguu swaumu kijiko...
11 Reactions
52 Replies
11K Views
Mahitaji 1)Kuku 2)kitunguu maji 1 3)kitunguu saumu 1 teaspoon 4)tangawizi 1 teaspoon 5)pilipili manga 1 teaspoon 6)pilipili mboga 1 7)baking powder 1 teaspoon 8)mafuta ya kupikia 9)chumvi kiasi...
11 Reactions
55 Replies
14K Views
  • Redirect
Wapendwa..amani iwe juu yenu!! I hope u have a great weekend. Unga wa mchele glass 2 na nusu Maziwa glass 2 Sukari vijiko 10 vya kulia Iliki vijiko 2 Hamira vijiko 2 Yai 1 Jinsi ya kutayarisha...
10 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Habarini wanajamvi naomba mnisaidie mwenye ujuzi wa kupika vitumbua
1 Reactions
Replies
Views
Viburudisho vya mdomo! Vitangulizio " Matango na cheese nyeupe" Maandalizi yake ni madogo(machache) 1 tango moja/mbili ; waikata slices kwa urefu vipande vya mkate mweupe Mayonase vijiko 2/3...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari, Jamani mwenzenu naomba kujuzwa nifanyeje ili ninapo pika mchuzi uwe mzito, na kuwa wa rangi iliyokooza, inakaribia black. msaada please Unataka uzito wa kiasi gani? Anyway weka karai...
0 Reactions
36 Replies
9K Views
Good Cooking Oils: How To Choose One...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu ambaye anajua namna ya kutengeneza cheulo ningependa anisaidie kwa hilo.
0 Reactions
15 Replies
17K Views
Habari Zenu. Mwenye ujuzi wa hicho chakula. Tafadhwali. Siku njemaaa. How to Cook a Chicken Curry in Ten Minutes Ingredients 3 tablespoons (45 mL) of olive oil an onion (medium) 14 oz (400...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau, Ni muhimu unapoandaa maji ya kunywa kuzingatia usafi katika zoezi hilo. Usafi wa mazingira, chombo utakachochemshia na chombo utakacho hifadhia. 1. Hakikisha jiko unalochemshia lina...
3 Reactions
8 Replies
7K Views
Leo tumetumiwa mahitaji ya kutengeneza Chatini ya karoti, nazi na vitunguu. Hatukuelezewa hatua za kuipika hii chatini mpaka itokee kama picha ilivyotumwa, naamini mdau alikutana nayo sehemu...
4 Reactions
16 Replies
6K Views
Back
Top Bottom