Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Yan inasikitisha kwa kweli., utamkuta mama mpk saa nne asubuh hajaamka na ana mtoto mdogo. Na hata hajaanda breakfast ya mwanae na hana mpango huo kila siku sasa sijui bajeti ama ni nn. Hapo mtoto...
2 Reactions
52 Replies
7K Views
Asante MziziMkavu hii kitu nimeifuma anikiwa na google: https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/103715-matumizi-ya-viungo-vya-vyakula-katika-kuboresha-lishe-na-afya.html
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Mambo. Kina mama lishe na baba lishe, vip mbona kimya huku misosi imekwisha leteni mambo wengine tujifunze.tunasubiri ujuzi wenu humu wapendwa mbona kimya sana.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Niliwahi kula mlo huo ni chakula kitamu sana. Naomba ajuae kupika bokoboko anifundishe kupitia hapa jf chef.
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Mapishi ya Mlenda wa majani ya maboga: Mahitaji: 1. bamia gram 250 2. Majani ya maboga 200 3. Nyanya chungu (kama utapenda) gram 100 4. Magadi 1/4 kijiko cha chai 5. chumvi - to taste 6. nyanya...
8 Reactions
55 Replies
46K Views
Mahitaji ya pishi hili ni pamoja na ndizi mshale kiasi unachopenda kulingana na familia yako, nyama ya ng'ombe nusu kilo vitunguu maji vikubwa viwili nyanya moja pilipili hoho moja, karoti moja...
3 Reactions
14 Replies
42K Views
Ndugu wadau. Napenda kufahamu mboga/ kitoweo gani kinapendeza kulia ugali wa dona.
1 Reactions
21 Replies
11K Views
eeeh bana eeh, nimetimba tabora leo. kuna sehemu nikapelekwa kula kuku wanapaita PPP.. kuku watamu hataree. sasa ambae kashawahi kula wale kuku atupie maujuzi ya kuwaandaa.. sijui wanaeka nini na...
1 Reactions
26 Replies
9K Views
Msaada, naomba mwenye kujua namna ya kupika wali wa rangi na rosti la kuku wa kienyeji👏👏👏
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba mnisaidie. Nihifadhi kiaje yasiharibike haraka..mfano Ndizi nk.Nilijaribu kuwekafoil pepa na kuweka frijini haijasaidia.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Chicken With Pepperoni Marinara Sauce This dish is guaranteed to be a crowd-pleaser. From Sweet Treats & More, this recipe takes all the things your kids love - cheese, pepperoni, crispy chicken -...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Mahitaji Strawberries nusu kilo Sukar robo kilo Limau kipande. Namna ya kutaarisha.... Osha na katakata strawberries zako Kamua limao kwenye kibakuli.... Weka sufuria jikon...
9 Reactions
26 Replies
15K Views
Msaada: Kwayeyote anayejua sehemu wanazofundisha kupika kwa Dar es salaam,naomba anijuze.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mahitaji 1)Nusu kilo ya maini ya kuku 2)Pilipili manga 1 tablespoon 3)1/2 tablespoon ya pilipili ya unga 4)Limau 5)Tandoori masala 1/2 teaspoon 6)Tangawizi 1/2 tablespoon 7)Kitunguu saumu...
9 Reactions
72 Replies
14K Views
  • Redirect
Kwa wale ambayo mnatumia whole grains hii inawahusu... Mahitaji Unga wa ngano weupe nusu kilo Unga wa atta nusu kilo... Chumvi kiasi Maji ya uvuguvugu.... Samli vijiko 6 vya kulia vijaze...
9 Reactions
Replies
Views
Nimezikumbuka fried ice cream, hivi zinapatikana wapi Dar es salaam.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wapendwa msaada namna ya kutengeneza hii kitu, nilikaribishwa mahali mwaka mpya na ilikuwa moja ya menu C:C farkhina, MziziMkavu, Mrs Kharusy
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari wanandugu, Tuna mfanyakazi wa ndani na tungependa kumpeleka kwenye mafunzo awe professional chef/cook. Je kuna mtu anayefahamu hizi course zinatolewa wapi, kwa mudagani na kwa kiasi gani...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Je kuna mapishi ya wali waweza tia juisi ya ukwaji au ubuyu ikanogo maana napenda sana hizo juisi natamani kupika hata kwenye chakula?
0 Reactions
14 Replies
15K Views
Back
Top Bottom