Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
  • Redirect
Hi guys Wakuu mimi natatizwa sana na hizo sehemu na tofauti zake sijazijua bado Motel, Hotel,Restaurant na Cafee ipi ndio ipi na kipi ndio kipi kwa sifa gani mahali gani na kivipi naombeni...
5 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Habari wana Jf... Nimepokea suggestion pm kuhusu utengenezaji wa crisps za viazi MALIGHAFI 1.VIAZI MBATATA KIASI 2.CHUMVI 3.MAFUTA YAKUPIKIA YA MAJI 4.MASHINE YA KUPARUZIA KAROTI NAMNA YA...
3 Reactions
Replies
Views
Habari wanaJf... Upikaji wa vileja vya dengu MAHITAJI 1.UNGA WA DENGU 3/4 KIKOMBE 2.UNGA WA NGANO KIKOMBE 1 3.VEGETABLE GEE AU SAMLI 1/2 KIKOMBE 4.SUKARI ILIYOSAGWA 3/4 KIKOMBE 5. HARUFU YA...
1 Reactions
0 Replies
5K Views
habari za majukumu wana jf Naomba msaada wa kutengeneza kachumbari nina viungo hivi; nyanya, kitunguu maji, karroti, pilipili hoho, limao naomba muongozo wa jinsi ya kuandaa kama kutakua na...
1 Reactions
8 Replies
7K Views
  • Redirect
Wakuu naomba munisaidie ..nataka kujua namna ya kitengeneza au kupika pilipili ya kutoelea mishikaki..kwani napenda sana kuchoma mishikaki but testi ya pilipili sijui kuifanya..msaada please
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kwanza, unahitaji viazi, mayai na vitunguu maji. Pili, weka maji madogo katika bakuli moja kubwa, ondoa ngazi ya viaz na kuzikata ziwe chips, halafu unatakiwa kuviweka katika bakuli lenye maji...
6 Reactions
Replies
Views
Wakuu karibuni tujadiliane hapa hivi aliyebuni kuvaa vile vikofia ni nani ............. na lengo lake la kuvaa vile vikofia ni nini ......... na kwanini ni rangi nyeupe tu ??? karibuni...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Natumaini mnaendelea vizuri wanajamvi! Ninaomba kujua iwapo majiko ya gesi ambayo yana microwave na oven yanapatikana.
0 Reactions
15 Replies
10K Views
Hivi karibuni, mji wa Chengdu, ambao ni mji mkuu wa mkoa wa Sichuan uliidhinishwa kujiunga na mfumo wa miji yenye wazo la uvumbuzi wa shirika la elimu, sayansi na utamaduni wa Umoja wa Mataifa, na...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari ya mchana wakuu nmekua na wazo la kutengeneza pilipili yenyewe ladha tofauti na chili source ambayo ndo kidogo imezoeleka kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya naona kidogo chillsource...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habarini wana-JF. Nazani Leo ndo first day fact ya SWAUM RAMADHANI KWA WAISLAMU DUNIANI KOTE. UNAZANI NI CHAKULA GANI UNACHOPENDELEAGA KUFUTURU JIONI? TUMWOMBE MOLA TUWE WENYE KUMALIZA SWAUMU...
2 Reactions
9 Replies
4K Views
Salaaam wakuu Kwa anaejuwa kupika hzo Bites naomba anielekeze plz ===================== ================================== Chukua unga wa ngano andaa kama unataka kupika chapati, chukua nyama ya...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Sabakher Wadau; Baada ya kuona Maujuz Mbali Mbali Ya Mapish Humu Na Mim Nimeona Mapish Matamu Ya Panya Almaarufu Kama Mbuku. Panya Anaweza Kutumiwa Kama Kitoweo! Au Roast. MAHITAJI; Panya Saiz Ya...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu,naomba kuelekezwa jinsi ya kupika roast ya maini saaaaafi
1 Reactions
25 Replies
23K Views
Jaman nataka kujua huyu kuku anapikwaje:(
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Pilipili hoho ni kiungo muhimu sana cha mboga na salad na wengine hula zikiwa mbichi. Lakini je wajua kuwa ziko za kike na za kiume na je wajua utumie vipi aina hizi mbili ili kupata matokeo ya...
5 Reactions
10 Replies
5K Views
  • Redirect
KACHORI : Mahitaji : Viazi 1/2 kilo Kotmiri ilokatwa katwa Pilipili ya kijani 1 ilokatwa ndogo ndogo Chumvi Garam Masala kjk 1 cha chai Manjano ya unga 1/2 kjk cha chai Sukari kjk 1 cha chai...
0 Reactions
Replies
Views
Mahitaji:- ▪ Ndizi mzuzu (mbivu) 15 ▪ Nazi ya azam pkt 3 ▪ Maji kiasi ▪ Hiriki ilopondea kijiko 1 1/2 cha chai ▪ Zabibu kiasi ,ukipenda ▪ Cornflour/custard powder vijiko 2 vya chai ▪ Sukari...
1 Reactions
0 Replies
9K Views
Mahitaji Unga wa ngano 250g Butter 250g Mayai 9 Baking powder kijiko cha chai 1 Kuku wa kusaga 2 cups Chumvi kijiko cha chai 1 Sukari 1/3 cup Kungu manga 1/2 kijiko cha chai (sio lazima) Mdalasini...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom