Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Wana makulati, unapotaka kupika uji wa ngano nzima asubuhu, usipate tabu kutumia mda mwingi kuchemsha ngano zako. Fanya hivi, chmbua vizuri ngano zako, injika maji ya moto yachemke, ingiza ngano...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
  • Redirect
Wapendwa wana Jf, Naomba mnisaidie jinsi ya kuandaa kachumbari. Nimeandaa pilau moja matata sana ila natakiwa kuandaa na kachumbari pembeni. Nime-google lakini kuna lugha inatumika kwenye blogs...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wadau samahani, Yani kila siku napojaribu kupika maharage ile natoka na kurudi ndani nakuta nyumba imejaa moshi vitu vimeungua sana. Yani hivi mnafanyaje fanyaje wakuu! Nimechoka kula mama ntilie...
3 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mahitaji: 1. Sukari nusu kg, 2. Samli (aseel ) nusu kg, 3. Mayai 15 mpaka 16, 4. Maziwa mazito ya sona, 5. Iliki kijiko kimoja cha chai, 6. Arki ya vanilla Na rose kijiko kimoja chai...
2 Reactions
Replies
Views
jamani wadau naomba mnisaidie namna ya kupika kaukau zile zinakuwa na chumvi zinatengenezwa kwa ngano nadhani na pia huwa zinauzwa mtaani
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Heshima kweny wakuu, Nimejitahidi kukaanga chips zikaungua kidogo. Sijajua nimekosea wapi, nlitaka nitoe Chips zilizokauka laini na tamu kama zile za pale kwa mdebwedo. Naomba msaada; Ni hatua...
9 Reactions
137 Replies
21K Views
helo wapishi ni maharage yapi yanakuwa matamu? ya kuunga au ya kuchemshia viungo moja kwa moja?
0 Reactions
25 Replies
7K Views
  • Redirect
Mahitaji: - Macaroni - Mchele - Tambi - Unga wa hiliki - Peanut butter - Carrot - Kitunguu maji - Nyama ya mbuzi - Mafuta ya kupikia - Maji - Chumvi - Vitunguu vichanga na cotmiri (kwa kupambia)...
1 Reactions
Replies
Views
Jamani, nimejaribu mara kadhaa kupika ugali kwa kutumia sufuria mpya, mara zote ninatoa ugali wa ajabu, na mimi ni mzoefu wa kupika ugali. Nikishapikia chakula kingine na kupikia tena ugali sufia...
6 Reactions
59 Replies
5K Views
Hatimaye leo nimepika buns..n tamu sana
0 Reactions
7 Replies
1K Views
salamu kwenu ndugu zangu wana jf!! naomba kujuzwa sehemu ambazo naweza kujifunza mapishi bure au kwa gharama nafuu au kama kuna mtu yuko ready kujitolea nitashukuru sana na nitamuombea duaa...
1 Reactions
25 Replies
7K Views
Kama kuna mtu yoyote anayejua jinsi ya kutengeneza ubuyu ule wa rangi wenye pilipili wanauita ubuyu wa zanzibar anielekeze pls
0 Reactions
40 Replies
55K Views
Jamani naomba munielekeze vitu ambavyo vinahitajika katika uokaji wa mkate na jinsi ya kuviandaa hadi kufikia hatua ya kuoka.
0 Reactions
10 Replies
18K Views
Leo katika harakati za kuandaa chakula cha usiku nmefanikiwa kupika chapati nzuri Nashukuru kwa michango yenu kwa namna moja au nyingine
2 Reactions
66 Replies
9K Views
1. nusu kila makorona madogodogo 2. 400grm nyama ya kusaga ukifnyanga kuwa meat ball 3.vitungu viwili 4.kikombe cha starch/unga 5.kikombe cha maziwa..... weka kwenye oven kwa dkk 25~30
2 Reactions
6 Replies
3K Views
DON'TS AT THE DINING TABLE It’s important to know the don’ts of dining around the world to avoid offending your hosts. JAPAN You can cause quite a bit of offense when using chopsticks. Don’t...
0 Reactions
2 Replies
849 Views
Wakuu naomba msaada wa namna ya kutengeneza supaghett, mfano unatumia unga gani, maji kiasi gani, mayai, ama vipimo nk nisaidieni tafadhali. Natanguliza shukrani kwa msaada wa aina yoyote.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Mahitaji Vipapatio vya kuku kilo 1 Yai 1, pasua na vuruga Kikombe 1 cha unga wa ngano, kwa kuweka utando (layer) juu ya kuku Kikombe 1 cha siagi (butter) Mahitaji ya sauce Vijiko 3 vikubwa vya...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
China Ufaransa Marekani Singapore Japani Slovakia Thailandi Uswidi Cheki Ukraine Korea Kusini Uiingereza Malasia Filipino Brazil Tanzania
3 Reactions
34 Replies
14K Views
Mapishi ya Bagia dengu Mahitaji Unga wa dengu (gram flour 1/4 kilo) Kitunguu kilichokatwa (onion 2) Hoho (green pepper 1/2) Pilipili iliokatwakatwa (scotch bonnet pepper 1/2) Barking powder (1/4...
5 Reactions
8 Replies
62K Views
Back
Top Bottom