Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
  • Sticky
Habari zenu Leo nimeona ni vyema wana jikoni na wazazi tujadili na tubadilishane mawazo kuhusu lishe za watoto wetu kuanzia umri wa miezi 6 hadi mwaka..... Nini madhumuni hasa 1)kwa wale...
30 Reactions
338 Replies
269K Views
Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee...
64 Reactions
33K Replies
2M Views
Vipimo Unga wa ngano mweupe ................... 1 Kilo Samli .............................................. 150gm Chumvi ............................................3 vya chai...
14 Reactions
657 Replies
313K Views
Wadau wa jukwaa hili naombeni utaalamu wenu kuntu, hatua kwa hatua ya namna bora ya kupika tambi zikawa hazikatiki katiki wala kushikamana kama wali. Zikawa nzuri na wakati wa kula unaweza...
3 Reactions
242 Replies
255K Views
  • Redirect
Habari jf chefs,ninatatzo moja kila nikipika chapati za kusukuma zinakua ngumu nawakati mwingne znakatikakatika nataman nipike chapati yani ukiiweka mdomoni ufurah mwenyewe.plz nsaidieni...
5 Reactions
Replies
Views
Haya jamani leo ni siku nyingine ambayo ninataka tupike mkate kwaajili ya familia. Mkate ni chakula ambacho huliwa wakati wa kufungua kinywa.hupikwa kwa kutumia unga wa ngano ama wa muhogo lakin...
16 Reactions
435 Replies
172K Views
Wana jamii nimepata mengi sana kwenye JAMII FORUMS na nina imani hata hili wapishi au Chef wa Jamii forums atanipatia NATAKA NIWE NATENGENEZA BIRTHDAY CAKES KWA FAMILIA YANGU MWENYEWE ASANTE
0 Reactions
12 Replies
163K Views
Haya tena jamani leo nataka tujifunze namna ya kuandaa unga wa lishe hadi jinsi ya kuupika uji huu. Ningeomba sana kanuni nitakayo itumia hapa basi kila mmoja airekebishe kulingana na jinsi...
4 Reactions
41 Replies
130K Views
Tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo kinapika kitimoto chenye Quality yaani ukigusa utatamani kesho uje tena? Kama mnavyojua Utamu wa kitimoto upate na ugari au Ndizi za...
50 Reactions
1K Replies
117K Views
Karibuni akina kaka na akina dada. Kila mtu anaweza kutoa uzoefu wake. Ni mchanganyiko gani wa matunda huleta juice yenye ladha nzuri ambayo kila mtu anaweza kuikubali? Sio kwa matumizi ya...
8 Reactions
165 Replies
107K Views
Mahitaji =Maziwa =Tende =Karanga unaweza pia kutumia almonds(lozi),korosho Namna ya kutengeza. =Toa tende makokwa =Weka katika blender pamoja na maziwa au aina ya nuts upendayo =Saga hadi iwe...
33 Reactions
163 Replies
99K Views
MAHITAJI (kwa mahitaji haya utatoa zaidi ya pisi 200 za barafu ukitumia vifuko vya size 1¼ X 10) Maji lita 7 Maziwa ya unga 1 cup (brand yoyote) Unga wa wanga (corn starch) 2 cups uchanganye na...
13 Reactions
133 Replies
92K Views
Wanajamii habari za asbh, naombeni maelekezo jinsi ya kupika maandazi yawe mazuri kwa ajili ya familia wajameni. Asanteni
0 Reactions
17 Replies
91K Views
Habari za wiki end wakuu. Kama nitakuwa nimekosea katika kuziita 'kashata za ubuyu', basi naomba mnielewe nichomaanisha. Nasikia huwa zinatengenezwa kwa kutumia unga wa ubuyu, huwa watoto...
0 Reactions
48 Replies
89K Views
Naomba wataalam wa kutengeneza zile karanga flani ivi zinakua sijui na mayai ambazo naziona kwenye masuper market au sherehe ambalo wanaita bites anipe recipe yake tafadhali. CC gfsonwin...
2 Reactions
56 Replies
87K Views
Nimepiga plan ya kusimplify mambo hapa mjini nikaamua kwamba! kila weekend especially Jumapili ni mwendo wa kande tu..kwanza na minimize cost. Nitanunua..Maharage nusu Njugu Nusu...
0 Reactions
386 Replies
86K Views
Hii ni juice ambayo niliigundua miaka flan nilipokuwa natumika sana kwa maswala ya wanawake. kipindi hicho kusema ukweli nilkuwa wakati mwingine najikuta nakuwa na mechi tatu kwa siku ambazo zote...
7 Reactions
47 Replies
85K Views
Jinsi ya kupika biryani ya kuku, ng'ombe au mbuzi Mahitaji 1 kilo mchele wa basmati mrefu 1 kilo nyama iwe ya kuku au ng'ombe au mbuzi kata katika umbo dogo la kutosha kula kisha...
13 Reactions
82 Replies
84K Views
Kutokana na kuwa na utumbo mdogo, watoto hawali sana.Ndio maana ni muhimu kuwa na uhakika wa chakula wanachokula kina lishe nyingi za kutosha na zote.Jifunze au jua jinsi ya kuweka muda wa kula...
10 Reactions
9 Replies
83K Views
  • Redirect
Habari jf chefs,ninatatzo moja kila nikipika chapati za kusukuma zinakua ngumu nawakati mwingne znakatikakatika nataman nipike chapati yani ukiiweka mdomoni ufurah mwenyewe.plz nsaidieni...
5 Reactions
Replies
Views
Nawaachia mapishi haya (nimedesea mahali) kwa weekend hii, hasa wale mabinti zangu, then feed me back. NAMNA YA KUTENGENEZA MAANDAZI MAHITAJI 1. Chukua Amira ya chenga gram 11, 2. Chumvi nusu...
1 Reactions
37 Replies
81K Views
Back
Top Bottom