Habari zenu
Leo nimeona ni vyema wana jikoni na wazazi tujadili na tubadilishane mawazo kuhusu lishe za watoto wetu kuanzia umri wa miezi 6 hadi mwaka.....
Nini madhumuni hasa
1)kwa wale...
Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee...
Nimeikuta sehemu inauzwa shing 100 kwa kila mguu. Nimezoa ya 2000 nikapewa 2 nyongeza.
Bado natafakari niipike vipi iwe mitamu na ya kuvutia.
naombeni maelekezo tafadhali
Habari zenu.
Kuna siku nilienda sokoni kununua bidhaa fulani nikakutana na ndugu yangu anauza viungo vya chakula. Kwakuwa tayari nilikuwa nimemaliza mahitaji niliamua kununua tu chochote kwakwe...
Kwa hakika kama kuna mtu kati yetu asubuhi ya leo kala tunda lolote lile basi ni wale waliolala zile hotel zenye bed n breakfast full course. Wengine wetu kwa uchache mno ni wale wafanya diet na...
Habari za muda huu!
Samahani sana naomba kwa anaejua namna nzuri ya kuandaa siki ya mbilimbi iwe nzuri na tamu, kwa kutumia viungo mbalimbali kama vile nazi; pilipili; nyanya na kadharika.
Maana...
Wadau naomba tushare sehemu nzuri kwa hapa Dar ambazo zinawapishi wazuri wa kitimoto tuweze kuwa tuna badili viwanja.
Majina ya sehem na location itapendeza zaidi.
--------
Pitia link hizi...
Kwema Wakuu!
Kuna watu watabisha Kwa ubishi wao tuu lakini kimsingi na kitaalumuna unapozungumzia mapishi Kwa nchi yetu basi hapo utakuwa unazungumzia ukanda wa Pwani.
Kama unaishi maisha ya...
Wakuu habari za mchana,
Nadhani tunajua watu wengi sikuhizi wamekuwa wakijali sana afya zao na wamekuwa wakitafuta namna ya kutengeneza au kula zaidi vyakula vya asili kuliko vya kwenye makopo...
Mambo vipi wanaJF natumai mko poa. Kwenye misosi kuna kuwa na kile chakula una hamu nacho au tu umekuta sehemu kimepikwa kwasababu hujawahi kula unaamua kula huo msosi kwa mara ya kwanza lakini...
Nahitaj kupika pilau nyama ya kuku ya kukaanga na mchuzi, njegere, viazi
Naweza changanya pilau njegere na kuku viazi kwa pamoja.
Na mahitaj yake ni yapi
Nishasema kitimoto ni dhambi[emoji1787]
Kitimoto ni dhambi[emoji1787]
Nguruwe ni haramu[emoji1787]
Narudia nguruwe ni haramu[emoji1787]
Hiyo menyu ni balaa full majaribu[emoji23]
Nireteeni mbusi...
Habarini
Leo nataka kupika ugali mlisema unatiwa blubend na Nini? Naomba mnikumbushe.
Nawasilisha.
=====
Picha ya ugali kutoka maktaba
Soma maoni zaidi kuhusu kupika ugali: Jinsi ya kupika...
Asili ya kinywaji hiki kilitengenezs mwa kwanza Manchester Uingereza miaka ya 1800+. Ni mchanganyiko wa berries na zabibu zilizosagwa pamoja na viasilia vingine.
Kinywaji hiki kilitumiwa sana na...
MAHITAJI
Unga wa ngano nusu kilo
Mayai 2
Sukari robo kikombe cha chai
Chumvi kijiko kimoja cha chai
Hiliki nusu kijiko cha chai
Maji ya uvuguvugu kiasi
Mafuta ya kupikia
MATAYARISHO NA...
Habari wana jukwaa.
Najitokeza kwenu kuomba mafunzo ya upishi wa kisamvu.
Nimekula kisamvu kwenye sherehe kitamu sana
Nifunzeni nipate kukipika mwenyewe nyumbani.
Asanteni
Recipe ya mama yangu...