Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!
Anasimamisha magari Kana kwamba ni trafiki anataka kulikagua gari ataingiza limkonga lake dirishani na kuanza kupapasapapasa humo kwenye gari chochote cha kula atakachokutana nacho ni halali yake...
5 Reactions
34 Replies
812 Views
Endapo kama hawa wanyama wote watafungiwa kwenye Cage moja, je nani atatoka mzima?
5 Reactions
10 Replies
663 Views
Mufti kuku The Infinity kwenye picha ya pamoja na paka wake Cc BICHWA KOMWE -
9 Reactions
180 Replies
3K Views
Kama viko store kwenu au hapo kibaruani kwako tupigie picha ya baadhi ya tools zako unazoziaminia na kuzitunza daima kwani ndizo zinazokupa ugali.
3 Reactions
26 Replies
971 Views
Wadau hamjamboni nyote? Pichani ni Kapteni Mabior Garang akiwa amesimama nje ya nyumba ya Mama yake huko maeneo ya Jebel karibu na Mlima Kunjur Mabior ni mtoto wa Muasisi wa Taifa la Sudan...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Jionee mwenyewe halafu toa maoni yako
6 Reactions
18 Replies
735 Views
Wazungu wanasema "Mission Failed".
2 Reactions
6 Replies
522 Views
Akili mtu wangu ebu mtag rafiki mwenye timing kama hizi🤣🤣hapo kaskilizia mara kashasogea mdogomdogohuyo nae anajisevia msosi, ni akili tu mtu wangu
9 Reactions
4 Replies
525 Views
Kumbe kiduku kwa miundo mbinu hayuko vibaya sana.
13 Reactions
37 Replies
1K Views
Kuishi sehemu kama hii lazima utakuwa vizuri kichwani na afya ya mwili pia. Hapo kuishi miaka 120 kawaida tu. Switzerland [emoji1237]
36 Reactions
130 Replies
4K Views
https://youtube.com/shorts/asilW4p9R_Q?si=WLqTUfN5V1J3Ox5V 😂😂🤣😆😆😆
1 Reactions
4 Replies
355 Views
Hii picha ina trend sana. Uchumi wa Tanzania uko mikononi mwa watu wachache,wengi wanaishi maisha ya hali ya chini sana.
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Wabunge wetu mpooo? 2025 si mbali, na mbunge wetu Gwajima katuahidi makatapila 20! Sijayaona.
2 Reactions
3 Replies
332 Views
Imepostiwa na Page ya club ya Al Ahly katika kurasa zao je? Ina shida Gani!
2 Reactions
28 Replies
899 Views
Back
Top Bottom