Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Nawasalimu wote.Jamani binti yangu wa miaka mitatu na nusu ana kanyama kametokea sehemu ya haja kubwa. Wenye utaalamu au kujua naomba mnieleweshe kwamba je kina madhara yoyote ?na kama ni tatizo...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Mwanamke hufanyiwa tohara kwa ajili ya kupunguza hamu ya kufanya tendo la ndoa, kwa wanaume hufanyiwa tohara kwa ajili ya nini?
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Salaam kwa waheshimiwa Ma Dr. wetu wa TZ! Je tunaweza kujitahidi kuyakwepa haya kwa asilimia kubwa ?Mnisamehe kama nimemkwaza mtu-nime copy na ku paste kutoka kwenye yahoo health! Staying with a...
1 Reactions
0 Replies
675 Views
Nawaslimu nyote jamvini...Naomba kwa yeyote anayemfahamu daktari wa macho jijini A town, nina mtoto ambaye na shida sana ya macho. Natanguliza shukrani
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Elvan Stambuli na Makongoro Oging' Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Hadji Mponda (pichani) amepasua jipu na kusema hakuna utafiti wowote wa kisayansi uliothibitisha kuwa dawa za asili...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Waungwana naomba kufahamu. Hivi CCBRT hospital???? (nadhani wanashughulika na macho zaidi??????(sina uhakika) huduma zao ni za kulipia au ni charity organisation charging minimum fee...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dawa aina ya grussiofluvin inasaidia nini?
0 Reactions
5 Replies
4K Views
  • Redirect
Jamani kuna ugonjwa wa kikohozi kikavu sasa hivi umeibuka Dar, fatilia kwenye mikusanyiko ya watu sasa hivi utagundua watu wengi wanapiga "starter" kali kama mara 2 au mara 3 kila baada ya dakika...
2 Reactions
Replies
Views
Mwenzenu nilipata ajali mwaka jana tar 24/10 ambapo nilianguka na baiskeli huko Iringa. Nilivunjika sehemu ya nyonga karibu na kiuno katika mguu wa kushoto.Nimekwisha hudhuria hospitali tofauti...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Jamani naomba mnielezee,tetanus ni ugonjwa au ni kitu gani? Na kama nikichomwa na msumari na nisipochoma sindano ya tetanus kuna madhara gani?
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Hello JF, kuna rafiki yangu ana mba mwilini, kadai ameshatumia dawA mbalimbali bila mafanikio. AfAnyeje?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
wat are morning after pills? i thnk i need them 4 my safety
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu hivi ni dawa gani inaweza kusaidia kuondoa matiti kwa wanaume?? maana naona ni tatizo linaloongezeka kwa kasi sana na sioni research nyingi zikisuggest njia ya haraka ya kuondoa (apart from...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
kwa mtoto wa miezi mitano kutumia usafiri wa anga/kupanda ndege/flight? Hakuna madhara yeyote? Msaada wenu unahitajika wakuu...Asanteni.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nina gonjwa hatari la kupenda ngono,kila mwanamke nimuonapo akiwa barabarani namvua nguo pale pale matamanio yamekuwa mengi kwa wanawake.Je madokta tiba yake nini?
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Jana waziri wa afya alitoa tamko ninaloweza kuliita kali dhidi ya tiba ambazo hazijathibitishwa.alisema dawa ya ukimwi bado haijapatikana kwa hiyo watanzania waache kuzikimbilia.tamko hili...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu tha great thinkers! Tafadhalin nimeckia kuna mashine za kuongeza uume ambazo hazina madhara kiafya,hv ni kweli?kama ni kwel zinapatikana wapi?nahitaj mawazo yenu wapendwa!
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimesikia kuwa kuna uwezekano wa binti kufikia kupata mtoto wakati hakuwahi kushuhudia bikraa yake ikitolewa? Je, hili lina ukweli? na ni mazingara gani yanaweza kusababisha hali hii itokee pasipo...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Masturbation is sometimes called "self love" or "solo-sex". It is a normal and healthy activity, and indeed is the way most adolescents discover what makes them feel good before they embark on an...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Living with unhappiness is one of the major reasons of rapid aging. Try to live happily & cheerfully with lots of energy. Proper diet will help you to stay healthy and energetic. It contains a...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom