Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

jamani nisaidieni hawa madaktari wa Bugando wanaohusika na upasuaji wa watoto waliovimba vichwa wamejaa ubinafsi tu, kuna watoto wamelundikana katika vitanda wanalala 3 kila kitanda, wazazi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habar wanajf,ndugu yangu huwa anasumbuliwa sana na mafua hakila nyama au akipatwa na vumbi,sasa hv anaumwa mafua hakimeka yanatoka na damu na km vpande vya nyama vidogo,msaada plz
0 Reactions
0 Replies
2K Views
habari zenu za great thinkers!!! naomba kujulishwa kuhusu hii kitu inaitwa kahawa,kuna jamaa yangu ambaye amenishauri nitumie kahawa kabla ya kuingia kwenye mechi kwani amedai hutoki uwanjani...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
According to mythology, love goddess Aphrodite was known by her own formulated preparations and ointments that she gives to her lovers to increase their sexual power. This is the reason of why...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
mwanangu alizaliwa kwa kuchelewa kabla ya mama kufanyiwa operetion na baadae aliishiwa nguvu kiasi cha kulishwa kwa kumkamulia maziwa ya mama. maendeleo yake kwa sasa, miaka2 inaonekana ni slow...
0 Reactions
1 Replies
997 Views
Wataalamu wa magonjwa ya ngozi nisaidieni kila saa nasikia harufu mbaya kwenye mapu__u nuumetumia deodorant nikawashwaz sikupona, Dr?linambia dawa ya fungus Hydrocotizone na nivae chupi safi na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Heshima yenu wakuu,naombeni msaada wenu nina mtoto wa miaka minne anasumbuliwa na tatizo la kunuka pua japokuwa hana mafua .Yaani pua zake zinatoa harufu kali utandani kuna vidonda vilivyooza...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mimi sio daktrari lakini nimejaribu kuuchunguza sana mwili wa binadamu unapotembea sehemu mbalimbali, milima mikali, miteremko,sehemu inayoteleza na zinginezo, swali ninalojiuliza hivi mwili wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
http://video.foxnews.com/v/1611463955001/can-blueberries-benefit-your-health/
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ndugu wana jf vp kama mtoto ameota meno kwa wingi molars na premolars ndani ya mwaka hadi wa pili kasoro je ni abnormal condition??
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Jf doctor!! Naomba msaada wa maelezo juu ya tatizo hili na matibabu yake. Asante sana!!!
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Za leo wapendwa, Jamani mimi napenda sana ngozi yangu iwe light na smooth, naona wanawake wengi wenzangu wanavutia sana... nimejaribu kutumia baadhi ya skin lightening cream ila naungua kwenye...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu, kuna maswali huwa yananisumbua sana kuhusu watu wanaoishi kama mke na mume, halafu mmoja kaathirika na mwingine mzima na wanawatoto ambao hawajaathirika, na mara nyingi mwanamke ndio...
0 Reactions
27 Replies
13K Views
zina Batch No Tofauti Mfg.Date 06./2007 Exp.Date 05/2012 Naomba tamko la Wizara ya Afya.Kuhusu hizi condoms.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndug wanabod nafikiri kama ni mara yako ya kwanza kuingia humu hutaelewa namanisha nini ninaposema sikuwah kunyongwa tena jf ni zaid ya uijuavyo ahsanten sana kwani sasa hivi niko huru...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Naomba msaada. Kuna madhara yoyote ya kufanya tenda la ndoa wakati wa period kwa mwanamke?
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Wakuu kwa yeyote anayeweza kunisaidia nikapata hizo dawa tafadhali nijulishe PM ambazo hazija expire nadhani pana nchi jirani bado wanazitumia unaweza kupata zawadi japo maji wa kunywa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hivi madoctor mwanamke anaruhusiwa kufanya mapenzi baada ya kujifungua? yaani kwa mwanamke aliyejifungua kwa njia ya kawaida na atajuaje kwamba amepona?
0 Reactions
6 Replies
3K Views
wanajamii nisaidieni! hivi ni siku ipi hasa mwanamke akikutana na mwanaume anapata mimba
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Ugonjwa wa asubuhi , (morning sickness kwa lugha ya Kiingereza) pia hujulikana kama kichefuchefu gravidarum , kichefuchefu , kutapika kwa mimba (emesis gravidarum au NVP) au ugonjwa wa mimba ni...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Back
Top Bottom