Wajameni tunaulizia kwa wataalamu wa JF dawa gani za kuongeza mbegu za kiume yaani idadi zake na kuongeza nguvu za kiume ukiacha viagra.
Tuwe serious kutoa msaada.
Ufafanuzi wa jumla wa tatizo...
Kufanya mapenzi wakati wa hedhi ni kitendo cha kujiusisha na mapenzi na msichana au mwanamke aliye katika siku zake za kisichana..Kuna madhara mengi yanaweza yakatokea na kwa kawaida si madhuri...
MASWALI YALIYOULIZWA NA BAADHI YA WADAU KUHUSU TATIZO HILI
Mambo vipi? Nina Tatizo la Kutoa shahawa mapema Sana ndani ya dakika 1 tuu then bao la pili napiga dakika 10 -- 15. Nimejaribu kutumia...
Habari wana JF,
Hii thread imekusanya topic zote zilizokuwa sticky's zikiwa awali zimewekwa kwa urahisi wa kuwafikia/kuipata watumiaji mbali mbali ambao wanahitaji kuelewa baadhi ya mambo katika...
Wakuu nimekutana na makala hii nikaona nianzishe mada hapa ili tuweze kujadiliana na wataalam wetu na watufahamishe ukweli wake na uwongo wake au kutupa ushauri zaidi ya huu niuonao katika mada...
Hellow wapendwa,
Nakaribisha maswali yoyote kuhusu dawa zozote zenye active ingredients (DRUGS). Kama una maswali kuhusu matumizi yake, matumizi yake pamoja na dawa nyingine, vyakula...
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU
Naomba kujua mtoto mchanga inabidi aanze kuongea akiwa na umri gani,kwa kuzingia wale wanaowahji na wanaochelewa.Na je kuna namna unavyoweza kutambua...
Mada hili inahusu matatizo ya Miguu kuwaka moto na namna ya kukabiliana nayo.
Maswali...
Nimekuwa na tatizo la miguu yote miwili kuwaka moto sana, hata kutembea nashindwa kukanyaga...
Wakuu,
Tunaomba ushauri wenu, kwa wale ambao specialists wa magonjwa haya ya ngozi. Tunauliza hivi kwa niaba ya watu wengi ambao wamekuwa wanahangaika kupata suluhu ya matatizo haya ya Mba...
Hakuna aina moja ya mboga za majani inayotosha kukupatia virutubisho vyote muhimu ili uweze kuimarisha afya yako.
Ni muhimu kutokutumia aina moja ya mboga kila siku kwa kuwa haiwezi kukupatia...
Kama sio mtaalam wa maswala ya kiafya Kaa kimya.
Hii hali ilinianza juzi kama kiupele nikakitumbua, kuamka asubuhi nakuta vipele vimeongezeka. Vipele vinavyonuka na kutoa usaha vimejazana kwenye...
Wakuu habari, this is urgent naomba msaada. Niende moja kwa moja kwenye mada mambo yasiwe mengi.
Nimelala saa nne usiku huu saivi ni saa 7, nilichokurupukia ni ghafla tu nmegundua siko salama...
Kichaa cha mbwa ni maambukizi makali ambayo huathiri ubongo na mfumo wa neva. Inaweza kuwa mbaya ikiwa haitatibiwa kwa wakati. Kwa hivyo, watu walio katika hatari kubwa ya kuambukizwa kichaa cha...
Zamani iliaminika kuwa vidonda vya tumbo vinasababishwa na mawazo. Baadaye zikaja stori za Helicobacter pyrori kidudu ambacho kipo kwa karibia 80% ya watu.
Ipo hivi; Kidonda chochote ukiumia...
Utafiti wa Chuo Kikuu cha Vienna umeonesha kuwa mziki unaweza kumrudisha mtu katika hali ya furaha au kawaida pindi anaposikiliza muziki mzuri au wenye kusisitiza furaha wakati wa msongo wa...
Je, ni uchaguzi wa mtindo wa maisha au teknolojia bora ya uchunguzi?
Kulingana na utafiti mpya, vijana wengi zaidi duniani kote walio chini ya umri wa miaka 50 wanagunduliwa kila mwaka na...
Vidonda vya tumbo ni michubuko inayotokea kwenye kuta za mfumo wa chakula, hasa kwenye sehemu ya tumbo au pia sehemu ya kwanza ya utumbo mdogo.
Ukubwa wa vidonda hivi hutofautiana, kuanzia...
Kuna mshkaji wangu tunafanya naye kazi jana amekuja analalamika kuwa wakati akijisaidia haja kubwa anatokwa na damu. Sasa ameanza kupata wasiwasi kuwa anaweza kuwa na kansa ya njia ya haja kubwa...
Ongezeko la wagonjwa wenye maambukizi ya njia ya mkojo, maarufu kwa jina la UTI na typhoid limekuwa kilio kikubwa kwa Watanzania katika sekta ya afya kutokana na kutumia fedha nyingi katika kutibu...
Habari ya majukumu! Nisiwe mchoyo wa fadhila Kwani Mungu ametupa Bure, kama unasumbuliwa na vidonda vya tumbo, na una uhakika ndio vyenyewe kweli, kwa maana si kila ugonjwa tumbo ni vidonda vya...
Katika chanzo kikuu Cha kuendesha mfumo wa maisha basi afya ni kitu Cha msingi zaidi katika kuendesha uchumi hata siasa.
Nadhani wengi au baadhi yetu tushawahi pitia maswaibu ya kuuguza au wenyewe...
Members, kuna emergency imetokea mdau wangu anahitaji PEP kuna mahala kaharibu kazi. Yuko Tabora mjini. Anazipata wapi au kama kuna yoyote anaweza msaidia kupata huu msaada. 4 hours tangu tukio...
Hello ,habari za muda huu wa Jf. Nije moja kwa moja kwenye mada. Nina jilani yangu mwenye umri Karibu kama mama yangu.
Toka mwaka jana mwezi wa 10 alianza kuugua, kwa mala kadhaa alikua anapata...
Kama ni udongo Mungu kaumba basi mimi ni udongo wa mwisho kabisa tena mfinyanzi/ tifutifu.
Niombe radhi kwa aina ya uandishi mbovu, nitakayoandika hapa maana ni matokeo ya anxiety.
Mimi ni...
Mwenzenu mie nina tafuta tiba ya upungufu wa nguvu za kiume.napenda sana niwe mume kamili ila nguvu zimenipungua nikitaka kuingiza tu inanywea.sijui nimelogwa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.