Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Hii kauli ni nzito saana iliotolewa na viongozi wa juu wa serikalini Mungu Ibariki Tanzania [emoji1241] Mungu Ibariki Africa[emoji1321]
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Sasa hivi ikifikia muda wa kusoma magazeti anasikika Maulidi Kitenge na Musa Kipanya, sasa Hando sijui wapi.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tupo Watanzania wengi wazalendo tutamsaidia kutimiza ndogo zake,ndani ama nje ya Tanzania.Mungu anajua hatima yake wala binadamu yeyote kwa hila hawezi zuia mpango wa Mungu.
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wanaJF, Nimekuja kwenye jamvi hili kujaribu kufikisha ujumbe kwa Secretariati ya Ajira (PSRS),kuna usaili wa AFISA USTAWI WA JAMII DARAJA LA II ulifanyika tarehe 02/12/2017 wa mchujo pale...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ukweli ni kwamba halmashauri nyingi haziwezi haziwezi kulipa stahiki, isipokuwa mshahara, kama paid vacation, sickness.....kwa wakati. Muda umefika wa kuondoa likizo za malipo kwa waalimu...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Inasemekana alikamtwa na Polisi kwa kosa la uzururaji, Mabomu yanarindima kuwatawanya vijana wenye hasira muda huu ====== Kijana Allen mkazi wa Kata ya Iyela, alikamatwa juzi akiwa na...
19 Reactions
192 Replies
27K Views
Mwanadada mmoja wa Kimarekani aitwae Erin Hester aliyekuwa ndani ya Gari lake aliweza kumuona Mwanajeshi mmoja akifanya Kitendo ambacho ni adimu na nadra sana kukiona kwa Wanajeshi pale ambapo...
10 Reactions
137 Replies
12K Views
Wengi tulikuwa tunalalamika haki itendeke kwa marehemu aqulina... Kumbe kimya kingi kina mshindo.. Hatimaye watuhumiwa wa maandamano batili wako mbele ya mahakama... Na huko mahakamani haki...
4 Reactions
24 Replies
4K Views
Kwa mujibu wa kitabu cha Jaji Barnabas A. Samatta kiitwacho “Uhuru wa mahakama” anasema, chombo cha utoaji haki yaani mahakama kinapaswa kuwa huru na kifanye kazi yake kwa misingi ya uadilifu...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Redirect
Huyu bwana sniper ni mystery sijui siyo mystery..agh awamu ya tano inachekesha sana baada ya issue ya nape na waziri kusema huyu jamaa kapatikana,Igp kusema anatafutwa,Rpc wa kinondoni kusema...
1 Reactions
Replies
Views
Maana yake "Taifa linapokuwa katika hali ya vita, walevi na machangudoa huendelea kunywa na kufanya ngono kwenye mabaa na makasino" Katika mantiki ya kifalsafa msemo huu hauwahusu walevi wa pombe...
0 Reactions
2 Replies
765 Views
Nakumbuka hizi nyimbo ziliibwa zamani sana lakini je ingekuwaje hizi nyimbo zingekuwa ndo zinatoka kipindi hiki . Nyimbo zenyewe kama zifuatazo. Juma nature hii hali sasa imekuwa ngumu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
  • Redirect
Serikali na Wcb yamekwisha... Lazima watz tutambue imefika wakati sasa hivi tz ukimgusa diamond kwa vyovyote jua umeigusa bongo flavour.... So chibu hawezi kushuka not easy hivo....
0 Reactions
Replies
Views
Kitu tunachotakiwa kujua 1.Maaskofu ni Watanzania 2.Ni raia wa Tanzania 3.Ni viongozi wa maadili ya Imani na kibianadamu 4.Ni viongozi pia katika taifa na maeneo yetu hasa katika imani Pale...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Huu ni uzi maalumu kwa ajili ta wale wataalamu wa kuchambua mechi na kubeti.. Tunataka kutengeneza kundi kwa ajili ya kumuua mhindi...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
  • Redirect
Baada ya Uongozi Wa WCB kukaa kikao na wizara ya sanaa (Mwakyembe &Juliana shonza) na BASATA kwa muda Wa masaa 3. Wakijadili suala la maadili katika kazi za wasanini Wizara imeona kuizifungia...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Ni huko afrika ya mashariki katika nchi ya TZ, ambapo msanii aliyeimba wimbo wenye fumbo tata (kibamia)amefungiwa pamoja na wimbo wake kuzuiwa kwa kukosa maadili lakini msanii WEMA sepetu amecheza...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Tuweke akiba ya maneno!
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom