Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Yaani vitambi ni kama wamechanjia..ukija barabarani wanavyoongoza magari huwez elewa ata hyo signal aliyoitoa amekuruhusu au amekusimamaisha wanaweza kukusababishia ajali.wengine wanaongoza magari...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Redirect
ZITTO Zuberi Kabwe Ruyangwa, “ameivua nguo,” ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini. Ameionyesha kutokuwa makini katika kushughulikia masuala yanayohusu ofisi yake; na au kutumiwa na baadhi ya...
1 Reactions
Replies
Views
Mtu mmoja ambaye hajafahamika jina lake wala umri wake amekutwa amekufa na mwili wake kuwekwa ndani ya kiroba na kutupwa katika mfereji eneo la kijitonyama jijini Dar es salaam hii leo. Chanzo...
2 Reactions
186 Replies
28K Views
  • Redirect
Na Margareth Chambiri Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inatarajia kufanya zoezi la uandikishaji wa Wapiga Kura kwa majaribio katika Kata mbili za Kibuta iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya...
0 Reactions
Replies
Views
Wadau maeneo ya tarakea rombo limetokea tetemeko la ardhi mida hii ======== Tetemeko la ardhi lenye kiwango cha 4.8 Imeathiri nchi: Kenya na Tanzania Kilomita 41 kutoka Wundanyi, Kenya · saa...
5 Reactions
90 Replies
14K Views
Kwa mambo yanayoendelea na ubinafsi wa serikali ya awamu ya tano itaipeleka nchi kwenye machafuko. 1. Wanamtumia msajiri wa vyama vya siasa il kufarakanisha jamii kwa hoja za kijinga sana. Hili...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wale waliosoma kwenye chuo hiki watamkumbuka Lecture wa Idara ya Mechanical Mwalimu Stanlaey Mwalembe hasa kwa uwezo wake wa kufundisha na hata uvumbuzi wa machine mbalimbli alikuwa ni tegemeo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mi nashauri mboreshe maana naona kichekesho tu. Eti nita mapoint kibao, ukitaka kununua kifurushi point 7000 kwa MB200, mmeboa kwa kweli. Au hizo point 80000 ukitaka iwe hela unapata 4000...
9 Reactions
40 Replies
6K Views
Alizaliwa march 1989 akiwa njiti, wiki nne kabla ya mda sahihi wa kuzailiwa. Alizaliwa mwili wake ukiwa hauna uwezo wa kuzalisha mafuta (fat) hivyo kuwa na ngozi inayooneka kuzeeka. Alizaliwa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
1. Kuna hiii tabia ya watu kwenye social media wanapost post kuwa wanatibu magonjwa hasa haya ya wanawake mfano unakuta MTU anasema Fulani ni bingwa wa kutibu UTI au PID hatukatai Dawa za asili...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Moshi : WATUHUMIWA wanane kati ya 11 walioshikiliwa na jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro kwa tuhuma za mauaji ya mwanafunzi wa kidato cha pili katika shule ya sekondari ya Scolastica iliyopo...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Watanzania wenzangu na raia wote waliopo humu, tuishauri serikali na sisi wenyewe kuchukua hatua za dhati na makusudi kukabiliana na hatari ya upungufu mkubwa zaidi wa chakula kuwahi kutokea kwa...
0 Reactions
0 Replies
516 Views
RC Paul Makonda napenda kukupa taarifa kuwa wizi Wa vifaa vya magari umeshamiri sana ndani ya mkoa huu. Kunawakati uliweka mikakati ya kukamata wauzaji Wa vitu used vya magari hiyo ilipunguza...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Jeshi la polisi mkoani Kigoma limewaua watu watano wanaodaiwa kuwa ni majambazi huku wengine kadhaa wakitokomea kusikojulikana wakati wakijiandaa kutekeleza tukio La utekaji wa magari katika eneo...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
  • Redirect
1 Reactions
Replies
Views
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amesema Mkoa wa Dar es Salaam unaongoza nchini kwa kufanya biashara haramu ya kusafirisha binadamu huku akitoa onyo kali kwa wanaojihusisha na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Redirect
Suala la kulinganisha Mishahara kwa watu wenye sifa zinazofanana ila wanao fanya Kazi katika Idara tofauti tofauti za Serikali; Kwa mtazamo wangu; Hiyo italeta tija kama watatazama pia mfumo wa...
0 Reactions
Replies
Views
Kama mnakumbukumbu niliwahi kuandika hapa hizi dhamana za kuwapa traffick kuandika faini wanavyotaka wengi wanazitumia vibaya sana Ndugu trafiki Zuberi niliwahi mlalamikia hapa kwa Mambosasa...
21 Reactions
76 Replies
11K Views
Inawezekana kujenga nyumba hapa Tanzania bila ya kuweka Nondo madirishana na milangoni kuweka milango ya "Grill"? Chanzo chake ni nini ambacho kinasababisha tuweke aina hiyo ya madirisha na...
2 Reactions
74 Replies
11K Views
Back
Top Bottom