Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Habari vipi wakuu, Najua katika maisha ya vijana hua kuna mitazamo tofauti ya mfumo wa maisha mtu atakavyo kuishi sina nyumba naishi nimepanga hapa Dar, lakini nina kiwanja Mbezi. Mpango wangu...
1 Reactions
94 Replies
10K Views
Heshima kwenu wakuu, Mwili wa Mwenyekiti na Mkurugenzi wa Makampuni ya IPP Reginald menfi umeshawasili Nchini na sasa upo Mochwari ya Hospital ya Jeshi Lugalo. Kwa upande wa kijijini mwili...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakuu. Hizi sheria za mirathi zinabagua sana, naona umefika wakati mwanamke akikuacha alazimike pia kukulipa kwa kukupotezea muda wako. Mwanaume akimwacha mwanamke unakuta tunalazimika kuwalipa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu Nimepita Barabara Ya Ally Hassan Mwinyi Hapa Dar Es Salaa Na Kuona Kuna Ujenzi Unaendelea Ila Hakuna "Bango" La kuonesha Mradi Gani Unaoendelea Karibuni Wenye Kufahamu
1 Reactions
33 Replies
5K Views
Nimeikuta sehemi. Hii inatuhusu wote na hasa viongozi wetu bila kumsahau Rais JPM.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini wana-jamiiforum! Hivi umeshawahi kujutia kumsaidia mtu,awe ndugu,rafiki au jamaa? Binafsi nakumbuka tangu shule ya msingi nilikua na mshkaji alimizidi miaka ya kutosha tu so ni kama...
16 Reactions
87 Replies
7K Views
Haloo wanajamvi,.. Mimi ninahitaji kujiunga na kusoma Law School of Tanzania. Hata hivyo nina changamoto ya kifedha kidogo hivyo nilikuwa nafikiria kuomba mkopo Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa...
1 Reactions
3 Replies
901 Views
Barabara hii imejifunga kwa muda, mvua ya usiku huu imesababisha mti kuanguka katikati ya barabara maeneo TRA na kufunga barabara, kesho asubuhi msijichanganye kupita huku
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Usiku wa saa 6 kuna jambo lilinitokea la ajabu sana, nikiwa nimemaliza kuomba nikalala lakini sikuwa na usingizi nikahisi kama kuna mtu amesimama kitandani ghafla nikahisi uzito wa mwili na macho...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni mwezi wa toba na kumrudia mwenyezi Mungu kwa ndugu zetu waislam... Tuwaombee na kuwatakia toba na mfungo wenye kheri Tusiwakwaze... Tusiwashawishi... Tusiwatie majaribuni... Hail ya hewa huku...
4 Reactions
7 Replies
3K Views
Habarini watanzania wote wapenda maendeleo n.k Msaada tutani,kuna instrumental flani kama3 hupigwa radio tumaini mfano kipindi cha kumbukumbu, sasa natafuta kujua namna ya kuzipata nizipakue kwa...
0 Reactions
0 Replies
425 Views
Kama inavyofahamika katika kanisa la Kiinjili la kilutheri Tanzania ,ndoa inayotambulika ni moja tu hadi kifo kitakapowatenganisha. Mzee Mengi ambaye alikuwa ni muumini wa kanisa la kilutheri...
40 Reactions
330 Replies
27K Views
Huyu mnafiki nikimuona akiongea kwenye tv kitu cha kwanza ni kumute sauti ya tv isisikike kabisa huyu mzee ni mnafiki kupindukia na simpendi
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Sijawahi ona tangazo bayaaa kama hili la wembe mr kick yaani halina hata mvuto wameshindwa hata kutafuta hata jezi zisizo na nembo ya man city na fly emirates linanikera mno hili tangazo
0 Reactions
4 Replies
624 Views
https://africaanalysis.blogspot.com/2019/05/the-telegraph-story-on-tanzanias-mega.html?m=1
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Najaribu kulinganisha msiba wa huyu boss wa IPP Mzee Mengi, na ule msiba wa boss wa clouds media marehemu Ruge nashangaa huku wasanii hawana nafasi kubwa kama kipindi kile ambapo bwana Diamond...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Ni hivi siku ya jumamosi nilikuwa mahali fulani ambapo wakati nataka kuondoka nirudi nyumbani nikaita Bolt. Cha ajabu wakati nafika akaniambia natakiwa kulipa 19,000 na kwakuwa nilikuwa nimechoka...
2 Reactions
12 Replies
5K Views
Kwamba polisi au dola wanadai hawahusiki na hawa wanaoteka watu,wala hawawajui,inawezekana ni kweli,je serikali iko tayari kuruhusu wananchi wafanye wafanyalo pindi WASIOJULIKANA wanapoteka mtu,au...
2 Reactions
9 Replies
857 Views
  • Redirect
hv jamani hizi habari ni za kweli au
0 Reactions
Replies
Views
Ni baada ya mkuu wa mkoa wa iringa ally hapy kuhitimisha ziara yake ndani ya mkoa huo na kutoa mrejesho wake.
29 Reactions
168 Replies
20K Views
Back
Top Bottom