Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

SERIKALI imewataka wafugaji na wakulima kuhakikisha kuwa wanazingatia matumizi bora ya ardhi,ikiwa ni pamoja na kuepukana na uharibifu wa mazingira unasababishwa na shughuli za kibinadamu kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania upo kwenye majadiliano ya bajeti ya 2019/20 na bado Mhe. Waziri wa Fedha na Mipango hajawasilisha bajeti ya Serikali kwa mwaka 2019/20 mbele ya Waheshimiwa...
5 Reactions
38 Replies
3K Views
Mtandao wa kijamii wa Instagram umezindua akaunti mpya ya @shop maalum ili kuwahudumia watumiaji wake wanaopendelea kufanya manunuzi mtandaoni. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na mtandao huo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika maisha kuna pande mbili Leo unaamkia nyumbani na kesho waweza kuamkia gerezani si ajabu.Sasa hoja yangu ni "TUFANYE NINI KUYABORESHA MAGEREZA YETU?" Bila shaka wengi wetu tumewahi...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Naipongeza serikali kwa kutoa kibali kwa Azam kurusha channel za Tanzania bure maana nilishaanza kukichukia hiki king'amuzi. Hongera sana Waziri.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Daladala zinazofanya safari kati ya mwanza mjini hadi kijiji cha Ilalila/Isela kupitia Buswelu katika manispaa ya Ilemela jijini Mwanza zimegoma tangu Jana na kupelekea kero ya usafiri Chanzo cha...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mbarali. Jeshi la Polisi limesema limemkamata mganga wa jadi anayedaiwa kuhusika na mauaji ya Rose Nguku, mtoto wa miaka sita anayedaiwa kuuzwa na baba yake na baadaye kuuawa kwa kunyongwa na...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Wengi hawafahamu kwamba Misri ni miongoni mwa Mataifa ya dunia yaliyowahi kuwa na nguvu kubwa ya uchumi na maarifa ukiachilia mbali dola zinazosifika na kufahamika zaidi kwenye historia ikiwemo...
4 Reactions
12 Replies
5K Views
Nilimsikia naibu waziri wa mabo ya ndani akisema sheria inakataza kuwapiga watuhumiwa wakati wa kuwakamata au wakiwa kituo cha polisi, sasa hivi hawa wanaopigwa na askari wakati wakikamatwa, na...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
"CCM ina sifa ya Patasi ambayo ili ifanye kazi ni mpaka igongwe kwa nyuma, ni kazi ya vyama vya upinzani na asasi zingine za kiraia kuhakikisha CCM inafanya kazi ipasavyo na wasipofanya hivyo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu maiti hupakwa dawa kuzuia kuoza na kuwekwa kwenye jeneza. Je, mtu hawezi athirika kwa maradhi kwa kubusu maiti iiyopakwa dawa ya maiti wakati akiaga mwilii wakati wa kutoa heshima za...
8 Reactions
80 Replies
10K Views
Habarini wana JF! Naifikiria Tanzania ambayo itakuwa na midahalo ya majibu zaidi ya malalamiko! Kwenye daladala pazungumziwe utatuzi wa uchafuzi wa mazingira katika mitaa yetu! N.k Kwenye...
0 Reactions
0 Replies
767 Views
https://africa-54.blogspot.com/2019/05/expert-hint-on-why-tanzania-dropped.html?m=1
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna hawa wasichana ninawataja kama ifuatavyo: Lecho Mushi, Mange Kimambi, Mwamvita Makamba, Madam Rita, Irene Iwoya, Jokate Mwegero, Nansi Sumari, Faraja Kota, Wema Sepetu, Hoyce Temu Nimeishia...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Taarifa kwa umma Kampuni ya UDA-RT inautaarifu umma kuwa huduma za mabasi yaendayo haraka jijini Dar es Salaam, imesitisha huduma zake kati ya Kimara - Kivukoni, Kimara - Gerezani, Morroco -...
7 Reactions
55 Replies
9K Views
Wafariki Wakisubiri Mwisho wa Dunia..!!! Waumini watano wanaotambulika chini ya mwamvuli wa imani ya Voodoo nchini Benin wamefariki dunia baada ya kuamuliwa kukaa kwenye chumba maalumu na...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa Interchange kama hii, Dar lazima ipendeze.. Hongera sana Tanroad.
8 Reactions
48 Replies
11K Views
  • Redirect
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Atashasta Nditiye amelieleza Bunge leo Jumanne Mei 14, 2019 kuwa kituo cha televisheni cha Azam jana Jumatatu kimepokea leseni ya kuonyesha chaneli...
4 Reactions
Replies
Views
kutokana na kuongezeka kwa uhitaji wa hii huduma miongoni mwa watu waishio maeneo ya mbali ya jiji hili ni wakati sasa hawa bodi ya maktaba kuanza kufungua maktaba kila wilaya ya jiji hili ili...
0 Reactions
1 Replies
792 Views
Siku nne tu baada ya Mh Tundulisu (mb) KUSHAMBULIWA kwa RISASI zaidi ya Arobaini (40),MSITAAFU huyu ilisemekana kuwa nae alishambuliwa na RISASI na Watu wanaosadikika kuwa hawajulikani, Mkuu huyu...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom