Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Ni ndani ya jiji la Arusha. Mataa ya Sanawari karibu mwezi sasa ni giza totoro. Nini tatizo haswa,ni wataalam au pesa? Nawasilisha
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Rais wa Marekani, Donald Trump amefanya mkutano wake wa ufunguzi wa kampeni zake za uraia katika Jimbo la Orlando Jumamne ambapo Kamati Kuu ya Chama cha Republican (RNC) imesema amefanikiwa...
0 Reactions
0 Replies
624 Views
Ilikua Siku ya Jumapili, Kaja kijana Dukani kwangu ambako ninauza mitungi ya gesi ya kupikia majumbani. yule kijana alifika dukani hana mtungi wala hela ya gesi. akamwambia kijana wangu wa dukani...
12 Reactions
58 Replies
4K Views
Polen na kazi, Niende kwenye mada moja kwa moja. Naomba kujua umeme ukishazalishwa ikitokea siku hiyo watumiaji ni wachache Mfano wakati wa usiku wa manane, Je ule umeme unaozid huenda wapi? Je...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
NI KIVIZIANA SASA NANI ATANZA SASA Marekani yakiri ndege yake kutunguliwa na majeshi ya Iran yadai kuishambulia ndege ya kijasusi isiyo na rubani ya Marekani Haki miliki ya pichaUS NAVY/KELLY...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wiki nne zilizopita nilipata fursa ya kutembelea wenzangu Europe, na nikaondoka kule nikiwa na simanzi kuhusu hii mitandao yetu hapa Tanzania na huduma zao za Internet. Kusema ukweli...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
  • Redirect
TISHIO LA UGAIDI MASAKI NA MKATABA WA VIENNA. Jumatano Juni, 19, 2019 wananchi wengi wa Tanzania hasa Dar es Salaam walishikwa na taharuki kufuatia taarifa ya tishio la mashambulizi ya kigaidi...
0 Reactions
Replies
Views
Wana bodi wasalaaam, nahitaji kufungua kampuni kwa kuunganisha majina yangu sijui kwa karne tulio nayo Kama bado yana ladha naomba kujua kirefu cha kampuni ya Patrick Ngiloi Olomi Panone
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Haka kaadui chetu kadogo kanapenda kuuma mguu usikakanyage tu mkia kata force kakupandie juu karibia na goti.kanatutia hofu sema sio kesi Ni mbwembwe zake tu kizazi Chao kina mambo ya hovyo
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwetu sie wa mtaani Kama jinsi tunavyoiona hali halisi ya mzunguko , pesa Hakuna ila vitu vipo, hivi kwanini tusifikirie plan B ya kuanza kubadilishana commodities?Mf chakula, Samani za ndani...
1 Reactions
7 Replies
859 Views
Mwanzoni wa mwaka huu mchezji Emiliano Sala alifariki katika ajali ya ndege aliyokodiwa. Yametokea mambo kadhaa ya kujifunza Polisi na mamlaka zingine zilianza uchunguzi kutafuta kama kuna jinai...
0 Reactions
2 Replies
801 Views
Sumbawanga: Kama kuna ujasiri, alichofanya Joyce Kalinda (32) mkazi wa kitongoji cha kalya kata ya kirando wilaya ya nkasi mkoa wa rukwa cha kujifanyia upasuaji mwenyewe na kutoa mtoto tumboni...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
TBS NA 'BOMBA ZA UMEME' Jumatano tarehe 19/06/2019 baada ya taarifa ya habari ya saa mbili usiku ITV alionekana mtaalamu wa TBS akiponda ubora wa alichoita 'bomba za umeme' kwamba zina mapungufu...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Na Mwanahabari Huru Najua watu wengi hupenda kuzungukia mbuga za wanyama, kwa ajili ya kufanya Utalii na hata baadhi wamekuwa wakiniuliza baadhi ya maswali kwakuwa huona napost sana makala za...
19 Reactions
39 Replies
11K Views
Miongoni mwa visa vilivyosimuliwa na wanafalsafa wakubwa Duniani ni hiki kisa. Ni kisa ambacho kinasadifu hali ilivyo na uhasama mkubwa uliopo kati ya ujinga na uelewa. Ni dhahiri kabisa...
0 Reactions
0 Replies
945 Views
Wadau mnaokatwa deni la heslb fanyeni kucheck kwenye salary slip zenu za mwez April na May mwaka huu muone kwan deni halijapungua baada ya makato. Je,hii hutokana na nini? Au ndo 6% yenyewe hii??
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Aliyewahi kuwa Waziri wa Michezo na Naibu Waziri Kiongozi katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Ali Juma Shamhuna amefariki dunia visiwani humo Inna lilahi wainna ilayhi rajiun. Mh Ali Juma...
3 Reactions
52 Replies
11K Views
Bibilia ni maktaba jap wengi tunaiita kitabu. Kwa utafiti wangu Binafsi ndio maktaba pekee ulimwenguni ambayo ikisomwa kwa tafakari na uchanya yenye uwezo wa kurudisha ustawi wa jamii katika...
2 Reactions
3 Replies
907 Views
The inaugural flight on the new Kigali-Guangzhou route had been fully booked by mid-day Monday. It had 234 passengers onboard, including State Minister for Transport Eng. Jean de Dieu Uwihanganye...
2 Reactions
2 Replies
873 Views
Back
Top Bottom