Wana JF,
Ninaomba kuwashirikisha katika makala yangu hii kuhusiana na hali ya nchi yetu. Nimeandika kufuatia kauli ya Chiligati kuwa nchi ipo shwari na nini nimeona katika Mkoa wa Kwanza wa...
Uadui kwa taifa ni pamoja na kunyamaza wakati unajua ukimya wako unaangamiza wengi
Watanzania, Ni siku nyingine tena ya kumshukuru Mwenyezi Mungu kwamba taifa bado ni moja na lina umoja ule...
Was Zitto wrong?
By Sunday Citizen Team
The Income Tax of 1973, which was amended in 2002, bears the controversial Clause that Minister for Energy and Minerals, Nazir Karamagi told the...
(picha toka blogu ya Zanzibar Daima)
By. M. M. Mwanakijiji
I have been looking for some words to adequately describe our political situation in the country; I have found none that are good...
Na. Martin M. Malima
Tangazo la Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Zuberi Kabwe la kugombea Urais kama atapitishwa na Chama chake cha Chadema linaripotiwa na vyombo vya habari kuzua tafrani...
Kwa nyakati fofauti, wengi wetu tumejifunza katika historia ya nchi yetu kwamba moja ya sababu za msingi ambazo Mwalimu Nyerere alizitaja miaka 50 iliyopita kwamba ni kikwazo kwa Maendeleo ya...
Vita vya maneno kati ya JK na Kagame vinaasharia jinsi ambavyo Kagame haoni kama JK ana ushawishi au hata ufahamu wa historia ya Rwanda na hivyo kumkejeli jinsi ambavyo anaona inafaa. Kagame...
Elimu ya Ufundi Katika Utumishi wa Umma
Serikali imeamua kutekeleza kwa vitendo uamuzi wake wa kutokuwa na watu wasio na elimu ya kutosha katika utumishi wa umma. Katika kutekeleza hilo, Serikali...
As much as I would like to appease Dr. Slaa's fanatical base that he is heading to Ikulu comes 2015 but the truth ought to be told much earlier …that they are merely pegging their...
Deni la Taifa letu linazidi kupaa. Kwa mujibu wa takwimu za hizi karibuni, Deni hili tayari limeshavuka dollar za kimarekani Billion kumi na tano, sawa na takribani shillingi trilioni ishirini na...
Umewahi kujiuliza kwa nini nchi za Ulaya zinaendelea kutajirika kila kukicha huku za kwetu zikiendelea Kumasikinika?
Umewahi kujiuliza kwa nini wakati Life Expectancy kwao Ikiongezeka kwetu ndiyo...
Mambo mengi yamesemwa kuhusu tatizo la umeme nchini Tanzania, mimi nitaanza kwa kugusia mambo machache yanayoonyesha matatizo ya umeme yalivyokuwa makubwa ndani ya bara letu la Afrika...
TLDR; Watumishi wasio na vyeti vya ufaulu kidato cha nne, na hawajadanganya sifa zao, wengine wana sifa zilizozidi au zilizo sawa na cheti cha kidato cha nne kutokana na uzoefu na mafunzo mengine...
Mkapa ajuta
• Ahuzunishwa wageni kuhodhi uchumi
na Mwandishi Wetu | Tanzania Daima~Sauti ya Watu
RAIS mstaafu, Benjamin Mkapa, amesema anajutia kitendo chake cha kuliingiza taifa...
..hii ni sehemu ya mahojiano ya Waziri Mkuu Mstaafu Sinde Warioba alipozungumza na gazeti la raia mwema.
..alianza hivi:
"Mwaka 1985 hatukuwa na akiba ya fedha za kigeni. Tulikuwa...
Edward Lowassa is very ambitious man. He is believed to be very industrious.
However, he has been very pushy, arrogant and seeks power at any cost. He behaves like a monster, walking like a...
SHERIA YA LESENI MIAKA 45
Kauli ya waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano Mh Isack Kamwelwe kuhusu umri wa madereva kuendesha malori na vyombo vya abiria imepamba habari za wiki hii
Ni...
Mjadala huu utakuwa na sehemu kuu NNE.
SEHEMU YA KWANZA: Msingi Wa Mkataba Ulikiukwa, Woga Wa CCM Serikali Tatu.
Mchakato wa Katiba Mpya ulitoa fursa pekee kwa CCM kurekebisha kasoro...
Kwa siku kadhaa nimekuwa nikisoma Kitabu cha Ujamaa cha Julius Nyerere, na ni mengi ninajifunza tena na kubaini kuwa Mwalimu aliandika vision ya kutujenga kama Taifa hata kabla ya Azimio la...
Heshima wanajamvi.
Historia ya Tanganyika kabla ya uhuru na baada ya uhuru imeacha mambo mengi mazuri ambayo si vibaya tukajaribu kuyapitia kwa faida yetu na vizazi vijavyo.
Ningependa kujuzwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.