Katika mijadala mingi inaonyesha, inaonyesha kuwa watanzania wengi wanakubaliana kuwa chanzo cha matatizo ya nchi yetu ni uongozi. Wengine wanasema kuwa ni nchi inaongozwa bila dira. Wengine...
Mojawapo ya hoja ambazo hatuzikii mara nyingi kwa wale ambao wanambebesha Nyerere lawama na mzigo wa taifa letu kuwa ni yeye ndiye aliyelivuruga ni kuwa Nyerere alipokea taifa lenye hali gani ile...
MBUNGE wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema
Kwa ufupi
Katika shauri hilo namba 84 la mwaka 1980 lililofunguliwa na William Bakari na mwenzake dhidi...
Our annual revenues out of mining sector (Diamond, Gold, Tanzanite, etc) which contibutes to national GDPis 1.9%!
This was declared recently to Taifa.
So I wonder when Ashanti, Barrick...
Jana nimejiuliza sana kwa nini Tanzania tunahangaika na ukosefu wa umeme kila mwaka na hata kuzorotesha uchumi n kukua kwa maendeleo? nikajiuliza ni mvua, mabwawa au mitambo? Nikapata tamati kuwa...
Nakala hii imebeba mambo matano makubwa
1. Historia ya daraja la kigamboni
2. Ufisadi
3. Uwezo na tabia ya magufuli
4. NSSF na kutoa misaada
5. UUzwaji wanyumba za serikali
Update:
1...
Rejea thread ya Roulette ya tarehe 19 mwezi huu (Link) kua leo kutakua na mjadala kati ya Matola na zomba kuhusu tathmini ya utawala wa Rais Kikwete tokea aingie madarakani mwaka 2005 hadi sasa...
Na. M. M. Mwanakijiji
Utangulizi
Tatizo la upungufu wa nishati nchini linatafutiwa kisingizio. Naam, limetafutiwa kisingizio na kisingizio hicho kinazidi kukuzwa mbele ya macho yetu na kufanywa...
KWA NINI WAISLAMU HAWANA IMANI NA VITENGO VINAVYOHUSIKA NA TAKWIMU?
Hili ni suala muhimu kulipatia jibu na kulifahamu kwa kina sisi kama Waislamu. Wengi wana maoni kuwa kitendo cha Waislamu...
Kuna Wawakilishi na Wabunge ambao wamekuwa wakitoa lugha ya kuonesha kuchoshwa na Muungano na bila ya shaka wanazo sababu ambazo wanaamini zinawapa haki ya kutoa hisia hizo. Lakini wapo wengine...
Nianze na swali: Hivi unaweza kupeperusha bendera ya taifa mahali uishipo hata ikiwa wewe si kiongozi mtaani?
Nakumbuka wimbo ufuatao tuliimba chekechea, ile iliyoko pale karibu na 'Holofea'...
TOFAUTI KATI YA WANAZUONI (INTELLECTUALS)NA WASOMI (INTELLECTS)
Mwanazuoni ni nani? Je, kuna tofauti kati ya mwanazuoni(intellectual) na msomi (intellect worker/intelligentsia)? Ndiyo, ipo...
MZALENDO au NDUMILA KUWILI?
Tuwangalie kwa jicho angavu
Ni tatizo tusilolijua
Pande mbili za mheshimiwa na tusiyoyakumbuka
Wanajamvi tutakuwa na sehemu I-III kuhusiana na mwenyekiti wa bunge la...
Nimeshindwa kuelewa niiweke wapi thread hii baada ya kusoma makala moja pale Mwanachi kuhusu mada ambayo imekuwa inakera akili yangu muda mrefu sana. Thread ingeweza kuwa siasa, uchumi au kwenye...
Buzwagi saga
Minister Karamagi makes confession
By Sunday Citizen Team
Minister for Energy and Minerals Nazir Karamagi has officially admitted that he deleted from the proposed Buzwagi...
My verdict of the 27 ward by-election results: CCM is stabilising, CHADEMA is shrinking and CUF is disappearing
Dr Kitila Mkumbo
In November 2012 I wrote an article entailing my assessment of...
Tanzania tunaomba mfundishe coding kwenye mashuleni na kama hatuna walimu wa kutosha tuombe msaada kwa India. Kazi nyingi zijazo hasa kwenye engineering, design, accounting ... na ubunifu...
ZANZIBAR INAJIBANZA KWA MGONGO WA MUUNGANO
MTANGANYIKA ANALIPA KWA KILE ASICHOTUMIA
ZIGO LA UENDESHAJI WA SMZ NI LA MTANGANYIKA
Sehemu ya I
Wanajamvi
Katika mambo yasiyozungumzwa au kugusiwa...
Ningependa kujua ni sababu gani iliyomfanya Nyerere ajikite zaidi katika juhudi za ukombozi wa bara la Afrika kiasi cha kumfanya atumie muda mwingi, rasilimali za Taifa na maisha ya Watanzania...
Nilitarajia Operesheni sangara ingeingia kila Wilaya na Mkoa si kujiuza kuhusu CHADEMA na kupiga vita CCM na kuioanisha na UFISADI, bali ni kuwatikisa Wabunge na Serikali za Wilaya.
Naangalia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.