Great Thinkers

JF's Great Thinkers' home | If you want to be enrolled, contact us

JF Prefixes:

Wanajamvi Huu ni mwendelezo wa uzi wa https://www.jamiiforums.com/great-thinkers/308989-duru-za-siasa-matukio-20.html Tutaangalia matukio mbali mbali yanayotokea nchini na dunia kwa nyakati...
11 Reactions
82 Replies
25K Views
Mwaka 2015 sio mbali, na kwa mara nyingine tena watanzania tutapata fursa ya kutumia haki yetu ya kikatiba kumchagua mtu mmoja ambae tunaamini kwamba ndiye atakaefaa kutuongoza kama taifa katika...
15 Reactions
81 Replies
16K Views
Kesho ndio lile sekeseke la kumpata Rais Bora wa Afrika, wastaafu, linaanza rasmi. Index inatangazwa kesho 25th Sept. Habari nilizo nazo za ndani kabisa ni kuwa ushindani mkali upo kati ya Rais...
0 Reactions
81 Replies
18K Views
ZANZIBAR INAJIBANZA KWA MGONGO WA MUUNGANO MTANGANYIKA ANALIPA KWA KILE ASICHOTUMIA ZIGO LA UENDESHAJI WA SMZ NI LA MTANGANYIKA Sehemu ya I Wanajamvi Katika mambo yasiyozungumzwa au kugusiwa...
8 Reactions
79 Replies
14K Views
Waziri Membe atangaza kutogombea Ubunge tena History has a penchant of repeating itself in the strangest of circumstances: Who would have known neither Malecela nor Kolimba will be in the...
20 Reactions
77 Replies
11K Views
Ifuatayo ni sehemu ya hotuba maarufu aliyoitoa Bw. Oscar S. Kambona ambaye alikuwa ni Katibu Mkuu wa Chama cha TANU na Waziri katika Baraza la Nyerere. Hotuba hii ilitolewa Bungeni (Dar) na...
11 Reactions
76 Replies
18K Views
You know what, I think this guy will be fit to be the President of Tanzania. He is a savvy, efficient and cunning! If he is the brain wizard who lifted CCM to where it is today by being teh force...
14 Reactions
75 Replies
8K Views
Kwa nyakati fofauti, wengi wetu tumejifunza katika historia ya nchi yetu kwamba moja ya sababu za msingi ambazo Mwalimu Nyerere alizitaja miaka 50 iliyopita kwamba ni kikwazo kwa Maendeleo ya...
21 Reactions
75 Replies
13K Views
For a political party to be successful it needs to position itself to assume power. For this reason it requires what I would call as the Triangle of Political Victory. In this triangle there are...
14 Reactions
72 Replies
7K Views
Mkapa ajuta • Ahuzunishwa wageni kuhodhi uchumi na Mwandishi Wetu | Tanzania Daima~Sauti ya Watu RAIS mstaafu, Benjamin Mkapa, amesema anajutia kitendo chake cha kuliingiza taifa...
1 Reactions
72 Replies
12K Views
SEHEMU YA KWANZA Mabadiliko ya uongozi ndani ya CCM yaliyotokea hivi karibuni yameleta matumaini kwa baadhi ya watanzania kwamba – ujio wa Mangula utarudisha imani na uhai wa CCM kwa umma...
8 Reactions
71 Replies
11K Views
Ni miaka miwili na miezi kumi tangu ndugu John Joseph Pombe Magufuli aapishwe kuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni mengi ya kutafakarisha yametokea tangu Magufuli awe Rais, na...
22 Reactions
71 Replies
18K Views
Sehemu ya I Ndugu wana Duru, Tunaomba tuweke rekodi vema kuhusu katiba mpya. Kuanzia mwanzo hadi sasa msimamo wa duru ni katiba mpya itakayoandikwa na wananchi haitapatikana. Utaratibu...
6 Reactions
71 Replies
9K Views
Ndugu zangu, Tarehe kama hii mwaka jana nilitoa hoja Bungeni kuhusu Mkataba wa Buzwagi uliosainiwa kifisadi huko Uingereza. Mengi yametokea katika Taifa letu toka Agosti mwaka 2007. Hebu...
0 Reactions
68 Replies
11K Views
Kumfahamu mtu yeyote ni lazima utazame historia yake ya utotoni aliosoma nao, aliocheza nao... walimu wake... walezi wake, majirani na kadhalika... Sasa sisi Tanzania ni nadra sana kusikia...
14 Reactions
68 Replies
20K Views
Kuna dadangu mdogo mmoja anataka kuja kusomea mambo hayo ya forensics (nadhani amekuwa kiangalia CSI na NCSI too much) na sasa anataka kujifunza mambo hayo ili kusaidia katika mambo ya kupambana...
2 Reactions
66 Replies
18K Views
Edward Lowassa is very ambitious man. He is believed to be very industrious. However, he has been very pushy, arrogant and seeks power at any cost. He behaves like a monster, walking like a...
0 Reactions
66 Replies
12K Views
Uzi utakuwa maalum kwa matukio mchanganyiko yanayojiri katika dunia yetu Matukio ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni. Ni katika kupashana habari na matukio
7 Reactions
66 Replies
23K Views
Hili ni jambo ambalo hunisumbua sana akilini mwangu, na ninaoma tulijadili kwa usikivu bila mipasho na ushabiki, ikiwezekana. Unaweza kuingia ofisini kwa mtu ukamkuta anaongea mambo ya kiumbea na...
13 Reactions
65 Replies
10K Views
Wakuu Great thinkers, napenda mijadala ya kwenye jukwaa hili maana wachangiaji na wakosoaji wanaotumia hoja na busara kuchangia, kukosoa, kushauri na kurekebisha. Watunga sera makini wanafuatilia...
37 Reactions
65 Replies
21K Views
Back
Top Bottom